10/05/2025
Kubwa kuliko
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Penalty Kings Tanzania, Sports, 1900 Rue desilets, Quebec, QC.
10/05/2025
Kubwa kuliko
09/23/2025
Wai sasa kuchukua nafasi ya timu yako kushiriki kwenye mashindano bora na pendwa ya Anabel Penalty King awamu ya pili.
Kumbuka nafasi ni chache.
Na usisahau kuja na ada ya usajili.
Sans pardon vs M1 Noir penalty king league
09/21/2025
Penalty king is back
M'mochuππ
09/19/2025
β½ Penalty King is back!
Mara hii tumekuja kuvingine π₯
Uzuri wa Anabel penalty king ni Ushindi wa wazi bila ubishi!
Hapa hakuna timu kubwa au ndogo, kila mmoja ana nafasi ya kuwa bingwa! π
Penalty ya sami kutoka tendance vs academie
I got over 10 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! π
08/20/2025
Kaeni mkao wa kula.
Hivi karibuni Anabel itakwenda kuanzisha ligi, msimu wa pili wa Anabel Penalty King hapa nyumbani yenye dau kubwa.
Tuwe tayari!!!!
π₯π HISTORIA IMEANDIKWA! ππ₯
Timu ya Nyota Kali imekuwa ya KWANZA duniani kushinda mashindano ya ANABEL PENALTY KING! πβ½
Safari yao imeonyesha ujasiri, nidhamu na morali ya ushindi.
Hongereni mashujaa wetu wa kwanza wa dunia! ππ
π Hii ni mwanzo wa enzi mpya ya Penalty King League β dunia nzima sasa itasoma historia ikianzia hapa.