Uvira Média

Uvira Média

Partager

les informations musicales , sportives et politique au niveau mondial ��

09/11/2024

Kwakweli uvira vipaji vipo Ila wasani wamesha kuwa wa vivu sana Kabisa atujuwi shida nini

Leo kwenye page ya H.A KARIM ka posti
👇

wa ambiye Tuta kutana kule mbele 👆 k**a sio ku Air-port✈️ basi itakuwa Ku port🚢wala Ku parking 🚎☝️

Nilizani H.A Karim atasema wata kutanana ata kwenye studio kumbe ana ata mawazo yoyote wakufunga mwaka huu 🙆

Kwasasa H.A Karim atusikiyi ata kitu chochote Youtube yake atujuwi k**a naye manager wake njo amesha mutema ao njo naye amesha Pata kimama kina muchanganya kichwa mupaka anasaulika kazi yake.

amewezaka iposti Youtube imefanya mwaka moja ukakuja posti ilifanya miaka miwili Youtube ukakuja tena kutowa nyimbo inaitwa naiko na miezi mitano Youtube H.A Karim mbona bidi zako zimeshuka sana tuambiye shida nini kufanya mwaka moja bila kazi, nauka posti tena ukafanya ingine mwaka moja na miezi Saba bila kufanya kazi yoyote! duuuh 🤣😂

H.A Karim kumbuka k**a wa shabiki wako wana omba kitu kizito kwa sasa kiaku funga mwaka basi usifanyi vitu k**a umefanya apo awali 🤦waoneshe k**a ungali H.A Karim wawo naungali musani mukubua

H.A KariH.A KarimvH.A KariméUvira MédiaZUvira MédiaYa_Habari

20/10/2024

Washindi wa Tuzo Za Muziki Tanzania TMA 2024

DIAMOND PLATNUMZ
- Msanii Bora Wa Kiume Wa Mwaka
- Video Bora Ya Mwaka (Achii)
- Wimbo Bora Wa Dansi (Achii)
- Mtumbuizaji Bora Wa Mwaka

HARMONIZE
- Wimbo Bora Wa Mwaka (Single Again)
- Albamu Bora Ya Mwaka (Visit Bongo)

MARIOO
- Msanii Bora Wa Kiume
- Mwandishi Bora Wa Kiume

ZUCHU
- Msanii Bora Wa K**e
- Mtumbuizaji Bora Wa K**e

YOUNG LUNYA
- Msanii Bora Wa HIPHOP
- Wimbo Bora Wa HIPHOP (Stupid)

CHRISTIAN BELLA
- Msanii Bora Wa Dansi
- Mtunzi Bora Dansi

ALIKIBA
- Wimbo Bora Wa Mwaka (Mahaba)

RAYVANNY
- Wimbo Bora Wa Singeli (Kitu Kizito)

NANDY
- Msanii Bora Wa K**e Wa Mwaka

JUX
- Kolabo Bora Ya Mwaka (Enjoy ft Diamond)

CHINO KID
- Msanii Bora Chipukizi

S2KIZZY
- Producer Bora Wa Mwaka

DULLAH MAKABILA
- Msanii Bora Wa Singeli

FOLEX
- Director Bora Wa Mwaka

DJ ALLY BI
- DJ Bora Wa Mwaka.

Uvira Média

Photos from Uvira Média's post 16/10/2024

KUAMAJINA ANAITUA Mr Morgan15 officiel MUSANI ANAYE FANYA VIZURI SANA AKIPATIKANA UVIRA KAVIMVIRA

NI MUSANI ANAYE FANYA VIZURI SANA KAVIMVIRA K**A UNAPENDA UMUJUWE ZAIDI NENDA KWENYE ANAITUA UTAPANA NYIMBO ZAKE PAKO

1.

2.

3.

LEO KUENYE PAGE YAKE KAULIZA WASHABIKI ZAKE WANA MUSHAURI NINI KWAKUENDA MALIZA MWAKA UHU ?

JE AKIKUPA NAFASI UNAWEZA MWAMBIYA KITU GANI

NA KASEMA LE 30 YAIYI MWISHO WA MWEZI ANA ACHIA KITU CHAKE APO WA SHABIKI MUKAE KARIBU YA SIM ZENU KWA SABABU UYU MTOTO ANAJUWA IMBA SANA NA ANAOMBA SAPOTI YENU SANA

Uvira Média

Photos from Uvira Média's post 15/10/2024

|𝗘́𝗹𝗶𝗺𝗶𝗻𝗮𝘁𝗼𝗶𝗿𝗲𝘀 𝗖𝗔𝗡 𝟮𝟬𝟮𝟱 🇹🇿⚔️🇨🇩|

FIN DU MATCH au stade Benjamin Mkapa, les Léopards ont fait du boulot grâce à un
Meschack Elia du grand jour, et se qualifient pour la phase finale de la CAN 2025.

🏁 Tanzanie 🇹🇿 𝑽𝒔 🇨🇩 𝗥𝗗 𝗖𝗼𝗻𝗴𝗼 0:2 FT

💪🏽

|𝗘́𝗹𝗶𝗺𝗶𝗻𝗮𝘁𝗼𝗶𝗿𝗲𝘀 𝗖𝗔𝗡 𝟮𝟬𝟮𝟱|

12/12✅️ QUALIFIÉE pour la phase finale de la CAN 2025.

Bravos aux Léopards 🐆 👏🏽

Uvira MédiaUvira MédiaUvira Média

15/10/2024

|𝗘́𝗹𝗶𝗺𝗶𝗻𝗮𝘁𝗼𝗶𝗿𝗲𝘀 𝗖𝗔𝗡 𝟮𝟬𝟮𝟱 🇹🇿⚔️🇨🇩|

C'est la MI-TEMPS au stade Benjamin Mkapa, les deux nations se quittent dos à dos.

🏁 Tanzanie 🇹🇿 𝑽𝒔 🇨🇩 𝗥𝗗 𝗖𝗼𝗻𝗴𝗼 0:0 MT

💪🏽

Uvira MédiaUvira MédiaUvira Média

Photos from Uvira Média's post 10/10/2024

KARIBU SANA KING OF THE BEST MELODY CHRISTIAN BELLA … Leo Tuko shoot clips Video ya NIKO TU Remix YANI LEO PATA CHIMBIKA KABISA 🇧🇮

LEO KING WA TANZANIA CHRISTIAN BELLA KATIMBA BURUNDI 🇧🇮

AMEKUJA KUKAMILISHA KAZI YA REMIX YA NIKO TU

KWAKWELI CHRISTIAN BELLA SIYO MUDANGANYIFU K**A RAYVANNY AFANDE READ ukweli awa wasani wamewezaka towa ahadi isiyo kamilika

LEO MR CHAMPAGNE ANA FURAHA SANA KWA UJIWO WA CHRISTIAN BELLA

MIMI NINA SWALI MOJA TU UNAPENDA IKUWE NA GARAMA NGAPI TWAMBIYE MU COMMENTAIRE
Nauna penda GANI AIK**ATE WA aowa 🇹🇿

Uvira Média
Uvira MédiatChristian bella obama obama
Christian bella obama Mista ChampagneaMista ChampagnenRayvannyeAfande Ready baba Naro Afande Ready baba NaroNAfande Ready baba NaroUAfande Ready baba Naro Médiai_ya_habari

09/10/2024

Show show show show vitu viko moto 🔥moto🔥 uvira

AcAchillianeo ka posti kwenye page yake
👇👇
Muda sasa wa Ngoma mpya
Ni sikilize mimi leo, sio ule wa jana... BACK TO BACK Mpaka 2025

Je unaipa jina gani iyi song 🎵🎤
Nauna isikubiri ukiwa wapi

Watu wetu wa uvira tunaomba sapoti yenu sana kwa wasani wetu wa uvira

Uyu mwaka tutakosa wapi tutapana iyi tunzo Kabisa

Sitaki kuipamba sana Ila uyu uyu niatari kwenye song za mwisho wa mwaka
Tusubiri kitu kizuri kutoka kwake Kabisa

Najiuliza kitu kwenye kichwa kwanga je na itakuwa mu ali gani iki kitu kikitoka sita sema mengi 🤐

Uvira MUvira MédiaLUvira MédiaaLady SapnaMLady SapnaAMatty Amissi
Matty Amissi_média_zaidi_ya_habari

Photos from Uvira Média's post 09/10/2024

Anaitwa Bernard Baru mwimbaji mzuri sana kauliza je umesha pokeya tayari ngoma je umesha isikiliza vizuri

K**a tayari tupe vesi moya tu mu commentaire sasa
K**a bado wayi usikilize chapu

Nausisauliki k**a njo mwonekono mupya wa

Ngoma yetu mpya sijuwi umeipokeaje shabiki yangu♥️

K**a hujabahatika kukutana nayo basi bonyeza apa ili uburudike na kitu kipya Kijijini🛖

Unamusikiliza ukiwa fasi gani
👇🏻👇🏻👇🏻
https://youtu.be/ho59XRfswFM?si=mgqsNM-uFg8GsCDo

Uvira Média

Lady Sapna
Matty Amissi

09/10/2024

Wandugu kusema kweli vipaji vipo uvira siyo Siri
Je umesha wayi kusikiya ngoma za Luepa G
K**a bado wende enjoy sasa kwenye andika tu

Bila kusaulika le 31 octobre kuna kitu kikubwa pale kwenye karibu na njo kuna jambo la warapar wote uvira

usikose kuzuriya SHOW KUBWA k**a iyo

Kingiliyo ni Yako tu na muda ni mapema sana

K**a auyawayi kusikiya kazi yawa rap wetu ao kazi ya jikaze usikose kwakuwa vitu vitakuwa moto moto sana mupaka uta enjoy sana

Kwakweli uvira kuna vipaji sana

Uvira Média

Lady Sapna
Matty Amissi

09/06/2024

FILAM ZETU

Tayari kundi Wanawake Tunaweza Uvira aiza TWU kwa ufupi wameachia Cover ya FILAM Yao ya kwanza kabisa Toka kundi Hilo kuanza, ambalo watakwenda kuzindua Rasmi iyo le 23/06/2024 pale THE PALME HOTE Mulongwe Av. Fizi Upande wa chini

Kupitia page Yao wameandika
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
"FILAM inayotarajiwa kuzinduliwa Rasmi mjini Uvira iyo le 23/06/2024 tayari cover tumekuwekea hapo chini

Tukukumbushe tu itakua pale THE PALME HOTEL mida ya Saa nane mchana Mpaka usiku
Kiingilio ni Invitation tu

Ikiwa Bado hujapata invitation Yako Bado hujachelewa tuandikiye inbox tutakufikishia Nyumbani Kwako"

Wacheki pia kupitia namba hizi hapa
Tel: +243 858462967, 97510

Uvira Média
Uvira Média Uvira Média 🎤

30/05/2024

🚨 « Komasava » (comment ça va) de Diamond Platnumz sera remixé avec Gims. Le morceau arrive BIENTÔT !

29/05/2024

Best Hip Hop Song 2024 Trust Me😎

Tawa Boy Feat Mtoto Wa Mama 🦾

Are you ready 🔥

Tupa maoni Yako apo chini 👇

Uvira Média

Vous voulez que votre entreprise soit Gym la plus cotée à Uvira ?

Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.

Emplacement

Téléphone

Adresse


Kavimvira
Uvira