28/05/2020
BREAKING NEWZ
Ligi kuu nchini Italy maarufu k**a Serie A kurudi jumamosi ya tarehe 20 June 2020 .
Soka linaelekea kurudi barani ulaya👈
Budu B sport newz 24 hrz
sports anlysis and updates
28/05/2020
BREAKING NEWZ
Ligi kuu nchini Italy maarufu k**a Serie A kurudi jumamosi ya tarehe 20 June 2020 .
Soka linaelekea kurudi barani ulaya👈
Budu B sport newz 24 hrz
28/05/2020
BREAKING NEWZ
Premier league kurudi Jumatano tarehe 17 June 2020 .
source Goal.com
Budu B sport newz 24 hrz
16/05/2020
Mechi imemalizika hivo
Dortmund wametoka kifua mbele dhidi ya Schalke 04 mabao yakifungwa(Halland⚽,Guerero⚽⚽,Hazard⚽)
16/05/2020
Erling Halaaaaaaaaaaand Goaaallllll
min 29
Dortmund 1 schalke 0
16/05/2020
Ligi kuu ya nchini Ujerumani maarufu k**a BUNDESLIGA kuendelea leo baada ya kusimamishwa takribani mwezi mmoja .
15/05/2020
Back in Business
support yako muhimu
17/03/2020
Mashindano ya Euro 2020 yamesogezwa mbele mpaka June 2021ili kuepusha kusambaa kwa virusi vya Corona.
😥😥😥 Mungu tuepushe na janga hili 🙏🙏🙏
13/03/2020
jinsi corona ilivoharibu furaha yetu wana michezo huu mwaka umeanza vibaya 😥😥😥💔💔 mungu tuepushe na janga hili.
13/03/2020
Maneno ya kocha wa wolves "Nuno" kuhusu Corona.
13/03/2020
BREAKING NEWZ
Beki wa Manchester City Benjamin Mendy Yuko katika uangalizi binafsi baada ya mtu mmoja katika familia yake kukutwa na virusi vya Corona. Mungu tunusuru na janga hili 🤲🤲🤲.
source (sky sport).
13/03/2020
BREAKING NEWZ
kocha wa Arsenal Mikel Arteta na mchezaji wa Chelsea Hudson Odoi wamekutwa na virusi vya covid-19,ndo wanakua wanamichezo wa kwanza kukutwa na virusi hivo nchini Uingereza,kuna uwezekano wa ligi ya Uingereza kusimamishwa.
Mungu tuepushe na janga hili
12/03/2020
Yanga wakubali kichapo cha bao moja kutoka kwa vijana wa Kinondoni KMC ikumbukwe yanga wametoka kumpiga Simba jumapili ilopita"wanachukua point kwa matajiri wanagawa kwa maskini" ushujaa wa yanga huo