29/12/2021
Na hii ndo Ratiba kamili ya SIMBA SC katika mchuano ya CAFCC GROUP STAGE.
karibu upate update za michezo kila siku
29/12/2021
Na hii ndo Ratiba kamili ya SIMBA SC katika mchuano ya CAFCC GROUP STAGE.
29/12/2021
SIMBA USO KWA USO NA CHAMA.
Klabu ya simba sc imepangwa kundi moja timu anayochezea aliyekuwa mchezaji wao wa zaman CHAMA JR ambayo ni RS BERKANE katika michuano ya CAF CONFEDERATION CUP .
je? Unaiona simba ikipenya katika kundi hili?
Kumbuka zinapita timu mbili tu
Nitajie au tabili hizo timu
28/12/2021
Katika NBC Premier League
tunamaliza mwaka kwa mitanange hii Je, nani kufunga mwaka kwa kukusanya alama 3?
Kwa kifurushi cha ahilingi 20,000 unatazama michezo hii.
28/12/2021
Pazia la
kufunguliwa Jumapili hii Januari 02 kwa michezo ifuatayo na kuruka LIVE kupitia .