FEASSSA SOCCER RANKING 2022
BOYS SECONDARY:
1.Kibuli(UG)
2.Highway(KE)
3.St. Mary's Kitende(UG)
4.Buddo(UG)
5.St. Andrews (UG)
6.Katoro (TZ)
7.Ebwali(KE)
8.Kiwira(TZ)
9.ES Gasiza(RW)
10.Trust St. Patrick (TZ)
GIRLS SECONDARY;
1.St. Noa(UG)
2.Wiyeta(KE)
3.Kawempe Muslim(UG)
4.Dagoretti(KE)
5.Amus(UG)
6.Alliance(TZ)
7.Isevya(TZ)
8.Sacred(TZ)
9.IP Mukarange (RW)
Congratulations to Kenyan teams!!!
Kimatuni United Football Club.
We nurture football talents! Self sponsorship! Welcome!
We lost 3:2 to Masuno FC.
Scores;
1. Philip.
2. E. Wafula.
Congratulations to both teams!!
# KUFC!!
Another exhibition match is loading!!
We're heading to Masuno playing ground @ 2PM !
# Masuno FC vs Kimatuni United FC.
We're still unbeaten to Masuno FC as far as our history is concern. We've a winning percentage of about 95% but we don't underrate them, it's football and anything can happen.
Our predicted lineup is here!
1. C. Wasike. (GK)
2. M. Wamuteke. (RB)
3. E. Wanjusi. (LB)
4. F. Nyongesa. (CB)
5. E. Juma. (CB)
6. D. Simiyu. (CDM)
7. M. Simiyu. (RW)
8. H. Wanjala. ( RCM)
9. P. Wabwire. (CF)
10. E. Wafula. (LCM)
11. N. Wabwire. (LW)
Substitution.
1. F. Makokha. (CB)
2. P. Oduor. (LW)
3. H. Simiyu (CM)
4. L. Wanjala. (CAM)
5. S. Wabwire. (LB)
6. A. Wafula. (CF)
7. I. Malaba. (CDM)
8. M. Barasa. (CB)
All the best team!
United FC.
!
Full-time:
Kimatuni United 3:1 Namalenge FC.
Scores;
1. Edwin Wanjusi.
2. Mark Simiyu.
3. Francis Nyongesa.
Congratulations Boyz!!
# Kimatuni United FC.
# Soka !!
Full-time!
Kimatuni FC 2:2 Kimatuni Utd.
Scorers;
E. Wafula.
Haron Wanjala.
Congratulations team!!
Jumapili hii ya tarehe 10/07/2022 tumealikwa kwenye kinyang'anyiro cha mchezo wa kambumbu # Wapopa Soccer Cup. Hii ni awamu ya tano ya shindano hili ambalo lilizinduliwa Agosti 2020.
Tuliwaelezea hapo awali kuwa vilabu zote kutoka wadi ya South Bukusu zitaungana kulingana na maeneo ambako zinatoka ili tupate timu nne za kushiriki.
Baada ya kuungana tutatumia majina haya kwenye usajili.
1. Tabuti FC.
2. Kibachenje FC.
3. Kimatuni United.
4. Lumboka FC.
Kulingana na mdhamini wa mitanange hizi bwana Silas Wapopa, timu zote nne zitapata zawadi k**a ilivyo desturi.
ZAWADI.
1. Ksh. 20,000
2. Ksh. 10,000
3. Ksh. 7,000
4. Ksh. 5,000
Tunaomba timu zote zianze kujiandaa vyema na tuzingatie sheria za shirikisho la soka duniani siku ya mchezo. Kila mmoja anapaswa kufika kwenye uwanja saa moja unusu asubuhi.
Mashindano haya yameratibiwa kwenye uwanja wa shule ya msingi ya Lumboka.
Ikiwa kuna mwanasiasa yeyote angependa kuwa nasi siku hiyo aje auze sera zake kwa njia inayostahili na tudumishe amani tusilete vurugu zozote.
Tunaomba wakaaji wote wa South Bukusu watokezee siku hiyo kwa madhumuni ya kushangilia timu zao.
Kufikia hapo sina la ziada ila kukutakia wikiendi bomba mbeleni. Tusambaze ujumbe!!
# Wapopa Cup!
# 5th Edition!
# South Bukusu Ward!
# Khupa khucheee!!!
Full-time Results!
Kimatuni Utd 2:1 Musiya FC
13' ⚽ Caleb
37' ⚽ Abu!
64' ⚽ Musiya !
Congratulations guys!
Up next: Quarter Final!💪
01/07/2022
Ukulima ni nguzo yetu !!
😂😂😂 Historia imesalia! Mchezo wetu dhidi ya Nasyanda FC umeishia sare tasa ( 0:0) baada ya dakika 90. Licha ya asimilia kubwa ya kikosi chetu kuwa ya vijana chipukizi tulionyesha mchezo mzuri.
Mechi ya pili itakuwa tarehe 5/7/2022 dhidi ya Mabusi FC . Takriban vilabu 18 zinashiriki kwenye ligi hii.
United FC.
ya ligi!
.
Jumapili hii tarehe 24/04/2022 kutakuwa na shindano la soka awamu ya nne ya Wapopa Super Cup.
Itakuwa ni kivumbi kati ya vilabu nne kutoka wadi ya Bukusu Kusini. Hizi ni :
1. Kimatuni United FC
2. Mateka FC
3. Lumboka United FC
4. Kibachenje FC.
Kwenye awamu ya tatu klabu ya Lumboka iliibuka mshindi baada ya kuwafunga Kibachenje FC 4:3 kupitia mikwaju za matuta. Kibachenje walimaliza nafasi ya pili huku Mateka FC na Kimatuni United kumaliza nafasi za tatu na nne mtawalia.
Mechi zimeratibiwa kung'oa nanga saa tatu asubuhi kwenye uga wa shule ya msingi ya mtakatifu Anthony Mateka.
Mshindi wa kombe hili atapata tuzo ya shilingi elfu ishirini na elfu kumi, elfu saba na elfu tatu kwa nafasi za pili, tatu na nne mtawalia. Vilabu ambazo zitashiriki mfanye maandalizi yenu mapema.
Kombe hili limedhaminiwa na bwana Silas Wapopa!
# Kongole sana bwana Wapopa!!
# Wapopa Super Challenge cup!!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
P. O Box, 108
Bungoma