03/09/2026
Back Then💪💪
Hapa Kababa Hata Hakuwa Anaexist
Kababa Heshimu Mzazi
Who Do You Know Here??
Community Sports Organisation And Home of S.A Manyatta FC Run By Local Volunteers Currently Playing Embu North Sub County League
#WhiteArmy
03/09/2026
Back Then💪💪
Hapa Kababa Hata Hakuwa Anaexist
Kababa Heshimu Mzazi
Who Do You Know Here??
03/09/2026
Match Day Alert!!
We're Back Home💪
We Host Embu Supreme FC From Kibugu
At S.A Primary Grounds
From 3PM
30/08/2026
The Best Team Won
Umechezwa Mwingi Lakini Home Team Wamecheza Zaidi
Wao 3 Sisi 1
We Try Again Next Time🤗🤗
All The Best KV Tigers FC Kwa Shughuli Zenu
29/08/2026
Mtarudi Kwa Kichaka Ama Tuwatumie HEHA Movers🤣🤣
Wanyama Warudi Kwenye Wanafaa Kuwa
Itakuwa Mbaya Kesho
29/08/2026
Jina Inatoa Nani Teddy Muthomi
One Of Our New Signings🤝
He Made His Debute On Sunday Against Our Kababa
Saves Ziliwa Kali Kali
Amesema Ndo Mwanzo Wa Shughuli Bado Mengi
Shot Stopper
Mikono Mia Mia
26/08/2026
Another Banger!!
Away From Home,We Face League Leaders
KV Tigers FC
Majirani Derby,Pale KV Park Arena
1500hrs
Hii Vita Ya Majirani Msiingilie🤣
Itakuwa Mwecheche💯
24/08/2026
Zake Zake Huyu!!
Mtindo Kuwanyamazisha Wazoefu
Jina inatoa Ruly Isak
Kijana Bado Moto Huyu
White Army Product💯
24/08/2026
Kababa Kweli Hukuwa Na Mazuri Na Mzazi Wako Jana🤣🤣🤣
Next Time Husifanye Hivo
23/08/2026
Kababa Leo Kamekaza
Wao 1 Sisi 1
Direct From Corner Kick
Ní Kroœs ⚽️
He's Back,Next Opponent It Will Be Hard
Good Morning White Army Fam!!
Kababa Amebadilisha Location Tena
It's Now Confirmed!!
Shughuli Ni Pale Kairuri Grounds
1PM