Wana lunga lunga oyee
LUNGA LUNGA SOKa
soka letu
Nawata heri na baraka Wana lunga lunga
07/03/2022
Namfananisha mwamba mmoja hapa lunga lunga
Kesho kimbembe kinaanza apo kichukwa katika uwanja wa waillerz lingwe vs lunga lunga creans
07/08/2021
Kipa wa LINGWE FC Said salim ,unaambiwa na kipa wa DOGODOGO FC kasiran manula kua jitahidi sana kimazoezi ili ufike angalau kiwango Cha Athumani chikoba maneno hayo yalitoka kwa kipa aliye kulia kwake
07/08/2021
Ujumbe kwa LINGWE FC Mnaambiwa na wanangu wa DOGO DOGO FC kua mnatakiwa kupiga zoezi kwa wingi na muache kumdharau kocha
07/08/2021
Wanangu wa DOGO DOGO FC wanawambia WEILLERS FC kua polen kwa usumbufu kwaajilii ya fainaly yenu Apo makwenyeni ila ligi za kishamba K**a izo msiingie jaman Mana hawajielewi bado Wana ushamba
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Lungalunga
Karen
LUNGALUNGA