Hello everyone...the dates for signing in new members of Un 23 boys football club will be announced here soon...stay tuned and do more practise not to miss a golden chance...Thank you
Cyprus Football Academy
CFA is an open platform for all talented youth to explore and showcase their talents
KYFC was formed with a great aim of helping youth realise their talents and explore them at their tender age...it targets youth of the age 8years-22 years,it has a big aim too of helping the needy children,disabled and aged people in the society
08/03/2021
Cyprus FC eager to shine | SCORELINE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews L...
30/08/2020
Jilinde na uwalinde waliopo karibu nawe dhidi ya maambukizi ya virusi hatari vya korona. Unapohisi mwili umekutwa na dalili ya virusi hivi,piga simu kwa nambari ifuayayo
👇👇
719
Na utapata kuhudumiwa.
.Kenya Community Media NetworkrKenya Community Media Network (KCOMNET)T)
||Share|| Share||
18/08/2020
Kutokana na idadi ya wagonjwa wa homa ya covid-19 kupanda hospitalini,Serikali kupitia kwa wizara ya afya ilibuni mbinu ya huduma za matibabu ya kinyumbani(Home based care).Inapaswa mgonjwa awe na sehemu yake tengwa pa kuoga pamoja na chumba Cha ustaarabu(Msalani).
.
Kenya Community Media Network
Kenya Community Media Network (KCOMNET)
||Share||Share||
16/08/2020
Watoto wanapaswa kuendelea kupokea chanjo dhidi ya magonjwa mengine yanayoweza sababisha miili yao kudhohofika ikiwa watapatwa na magonjwa hayo.Janga la virusi vya corona visimfanye mzazi kukosa kumfikisha mtoto kwenye kliniki kupokea chanjo hiyo.
Hatua ya kumpa mtoto chanjo dhidi ya maradhi hayo mengine sugu,itakusaidia usitumie hela kwa matibabu dhidi ya ugonjwa ambayo ungezuia kwa kupitia chanjo.
.
.
Kenya Community Media Network
Kenya Community Media Network (KCOMNET)
||Share||Share||
15/08/2020
Kutokana na idadi ya wagonjwa wa homa ya covid-19 kupanda hospitalini,Serikali kupitia kwa wizara ya afya ilibuni mbinu ya huduma za matibabu ya kinyumbani(Home based care).Mhudumu wa afya atamchunguza mgonjwa kubaini iwapo yuko sawa kupokea matibabu akiwa nyumbani.
.
Kenya Community Media Network.
Kenya Community Media Network (KCOMNET)
||Share||Share||.
04/07/2020
Unaweza buni mbinu za kumsaidia mtoto kujieleza anapo jihisi Kuna Jambo linampa uoga na wasiwasi. Watoto hujisi kuwa huru wakipata fursa ya kuzungumzia Mambo yanayowasumbua.Kwa pamoja tuwalinde watoto.
.
.
Kenya Community Media Network.
Kenya Community Media Network (KCOMNET).
||Share||Share||
03/07/2020
Unywaji wa pombe kupita kiasi na uraibu wa dawa za kulevya unadhuru Kinga muhimu mwilini ya kuzuia magonjwa.penda mwili wako tunza Kinga.
.
.
Kenya Community Media Network.
Kenya Community Media Network (KCOMNET).
||Share||Share||
10/06/2020
Pesa za misaada pamoja na misaada mengine kutoka kwa Serikali na mashirika ya kimataifa,yapaswa ya tumike vizuri(Kwa usawa na uwazi)katika jamii wakati huu wa kupambana na virusi vya corona.
.
.
Kenya Community Media Network.
Kenya Community Media Network (KCOMNET).
.
.
||Share||Share||.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Kisii