AD Sports Media

Directions

AD Sports Media HOME OF GRASSROOTS FOOTBALL

πŸš¨πŸ‡°πŸ‡ͺ BREAKING NEWS Aliyekuwa Afisa Habari wa KMC, Khalid Chukuchuku, ameteuliwa rasmi kuwa Afisa Habari mpya wa Mombasa U...
02/10/2026

πŸš¨πŸ‡°πŸ‡ͺ BREAKING NEWS
Aliyekuwa Afisa Habari wa KMC, Khalid Chukuchuku, ameteuliwa rasmi kuwa Afisa Habari mpya wa Mombasa United.

Chukuchuku tayari amepewa majukumu na ameanza kazi katika klabu hiyo inayofundishwa na Kocha Abdulhamid Moalin.πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€πŸ‡°πŸ‡ͺ

🚨✍️ Mshambuliaji Omanya Lucky amejiunga na Mully Children’s Family (MCF) msimu huu akitokea Young Bulls FC ya Malindi, i...
02/10/2026

🚨✍️ Mshambuliaji Omanya Lucky amejiunga na Mully Children’s Family (MCF) msimu huu akitokea Young Bulls FC ya Malindi, inayoshiriki Division Two. ⚽πŸ”₯

Generation United vs Nasty Milan - Sunday 11th October - Waa Ground - 3PM - RASC ROUND OF 16 - Unaitabiri Vipi?
02/10/2026

Generation United vs Nasty Milan - Sunday 11th October - Waa Ground - 3PM - RASC ROUND OF 16 - Unaitabiri Vipi?

🚨πŸ₯ | ALBERT KAYOLE KEMBO AJERUHIWAInaripotiwa kuwa Kipa Albert Kayole Kembo, anayeitumikia Guardforce FC ya Likoni katik...
02/10/2026

🚨πŸ₯ | ALBERT KAYOLE KEMBO AJERUHIWA
Inaripotiwa kuwa Kipa Albert Kayole Kembo, anayeitumikia Guardforce FC ya Likoni katika Makala ya Saba ya Rashid Abdallah Super Cup, alivamiwa na vijana wa Vipanga jana alipokuwa akirejea nyumbani kutoka mazoezini.

Tukio hilo lilitokea majira ya saa kumi na mbili jioni, huku Kembo akipata jeraha kichwani na kuhitaji matibabu.

Tunamtakia Albert Kayole Kembo nafuu ya haraka na kurejea uwanjani akiwa salama. πŸ™πŸ’ͺ

Quick recovery, brother! ❀️⚽

"Ben McCarthy anaogopa kukutana na South Africa,naona anataka tumfute kazi but mimi namuambia Bennie you will finish the...
02/10/2026

"Ben McCarthy anaogopa kukutana na South Africa,naona anataka tumfute kazi but mimi namuambia Bennie you will finish the race" - Fred Arocho

Arocho anasema McCarthy anaogopa Afrika Kusini πŸ™„.

02/10/2026

Mombasa United Likoni fans

πŸ‡°πŸ‡ͺ✈️ Junior Starlets kuelekea HispaniaTimu ya Taifa ya Kenya ya Wasichana chini ya miaka 17 (Junior Starlets) itaondoka ...
02/10/2026

πŸ‡°πŸ‡ͺ✈️ Junior Starlets kuelekea Hispania

Timu ya Taifa ya Kenya ya Wasichana chini ya miaka 17 (Junior Starlets) itaondoka nchini leo kuelekea Hispania kwa ajili ya kambi yao ya maandalizi kabla ya Kombe la Dunia.

Junior Starlets wamepanga kucheza mfululizo wa mechi za kirafiki, zikiwemo dhidi ya Timu ya Taifa ya Australia pamoja na klabu mbalimbali, ikiwemo Real Betis na CΓ‘diz.

πŸš¨πŸ‡°πŸ‡ͺ  Kocha Mkuu wa Junior Starlets Mildred Cheche amethibitisha kuwa kiungo Mwanakombo Nlela Bakari atajiunga na timu hi...
02/10/2026

πŸš¨πŸ‡°πŸ‡ͺ Kocha Mkuu wa Junior Starlets Mildred Cheche amethibitisha kuwa kiungo Mwanakombo Nlela Bakari atajiunga na timu hiyo nchini Morocco kwa ajili ya Kombe la Dunia.

Nlela aliondoka Kenya kuelekea Marekani siku chache zilizopita baada ya kupata ufadhili wa masomo katika Spire Academy, Geneva, Ohio, akitokea Kombani Secondary School.

Hata hivyo, atarejea kuungana na Junior Starlets nchini Morocco kwa ajili ya kushiriki Kombe la Dunia. πŸ‡°πŸ‡ͺ⚽πŸ”₯

πŸš¨πŸ‡°πŸ‡ͺ Abubakar Ali Kwenye Rada ya Del MonteDel Monte FC ya Thika imeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Red Stars, Ab...
02/10/2026

πŸš¨πŸ‡°πŸ‡ͺ Abubakar Ali Kwenye Rada ya Del Monte

Del Monte FC ya Thika imeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Red Stars, Abubakar Ali, kuelekea msimu ujao.

Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, mazungumzo kati ya pande zote mbili yanaendelea huku Del Monte ikijaribu kukamilisha dili hilo.

πŸ”₯πŸ‡°πŸ‡ͺ MWANZO WA NDOTO KWA JAVAN OCHIENG!Jana, Javan Ochieng alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na Harambee Stars, akiingi...
02/10/2026

πŸ”₯πŸ‡°πŸ‡ͺ MWANZO WA NDOTO KWA JAVAN OCHIENG!

Jana, Javan Ochieng alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na Harambee Stars, akiingia kipindi cha pili dhidi ya Guinea. πŸ‘βš½πŸ‡°πŸ‡ͺ

Kutoka mitaa ya mabanda nchini Kenya hadi kufikia timu ya taifa - safari ya kuvutia sana! πŸ™ŒπŸ”₯

Hongera sana, Javan! Endelea kung'aa, kijana! πŸŒŸπŸ‡°πŸ‡ͺ

Address

Kwale

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AD Sports Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share