HALLLOOOO 👀
Ziwani Youth FC
Welcome to Ziwani Youth FC Official page
The Most Successful Club in Mvita.
”WekaDown.....Taptap”
15/06/2024
Ushindi mkubwa umepatikana hapa tukiwa nyumbani🏟️
ZIWANI YOUTH 5 -0 MARIAKANI UTD
15/06/2024
Siku ya Mechi
26/05/2024
It's MATCHDAY!!!
22/02/2024
Habari za jioni wadau.Tunawtangazia usajili wa wachezaji kwa sasa imefunguliwa katika timu yetu hii ya Ziwani Youth Fc.Kwa nafasi zilizoko ni;
*Left back
*Right wing
*Left wing
*Striker
K**a unachezea sehemu kati ya hizo unakaribishwa ufike katika uga(uwanja)wa Tudor primary .....siku ya jumanne tarehe 27,Feb,2024 majira ya saa nane na robo.
Coach mkuu Breik Kato Lila pamoja na wasaidizi wake ,..Bajella,Solo,Babaz,Baloteli,Abdulmlik Harith,n.k....watasaidiana kwa usajili huo.Munakaribishwa.Asanteni
PAKA MSHIKE PANYA.......
JEDWALI LA LIGI YA FKF DIV2 NI K**A LIFUATAVYO..........
14/02/2024
Habari zenu wadau......Natumai muwazima.Kwanza tunaomba radhi kwa kutoka nje ya mtandao kwa muda mrefu
Il tumerudi rasmi na habari moto moto.Ungana nasi ili ziikupite.Kwa sasa vijana wa ZIWANI YOUTH FC wameshikilia nafasi ya pili wakiongozwa na BUMBANI FC.
Wiki hii tunamalizia mechi yetu ya mwisho dhidi ya TAITA ESTATE FC kabla ya kuenda mapumziko.Jitahidi usikose,njoo uone kabumbu invyotembezwa uwanjani....Asanteni karibuni sana.
14/01/2024
TUMEFUNGWA KWA MBINDE
Hapana kwa leo tusiongelee Mpira
Poleni sana msijali yatapitaaaa yanamwishoooo.
12/01/2024
Nasemajeeeeeee...Kitakacho wakuta Shimanzifc hawatakaa wasahau 😆
11/01/2024
Kazi yakuwafunga hao tuachieni sisi.
NEXT MATCH
🆚 Shimanzifc.
⌚ 3PM K.O 👊🏾
🗓️ 14-1-24
🏟️ MBARAKI STADIUM MOMBASA.
09/01/2024
Huku Juu Kileleni Kuna Baridi sana, Mabingwa hua wanavumiliaje Baridi lote hili, tena wanakaa peke yao🤔
Ziwani Youth FC 2-1 Sango Sportiff Fc
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Ziwani
Mombasa
80102