DIMBA

DIMBA

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DIMBA, Coach, BANGLA , MOMBASA, Mombasa.

27/12/2023

psg
ni timu ilioanzishwa na vijana wadogo.
Timu ilioanzishwa kwa minajili ya kushinda vikombe ila hilo isiwe wazo kwa timu yeyote ile, hili ndilo letu lakufunga siku.

27/12/2023

ndo slogan wanayo itumia vijana hawa
Timu ya bangla talent ni timu pekee katika kitongoji cha bangla amboyo ni academy . Inayo shirikisha watoto kutoka umri wa miaka kumi hadi senior..japo ni timu ndogo ila inapata ufadhili kiadogo kutoka katika shirika la vijana . vijana hawa wamejitolea kucheza mpira na ni timu nayo sifika kw nidhmu yahali ya juuna wakaazi wa mtaahiyo

27/12/2023

Hii ni timu ya Arena fc, moja wapo ya timu inayo patikana katika kitongoji cha Bangladesh ,ni timu yenye mafanikio sana ...kwa kweli kwenye badi super cup 4thedition waliweza kuipuka na kwa namba mbili na kuweza kujiwekiea kitita cha laki moja hamsini
slogan huwa

ina shiriki league ya Mombasa county association

27/12/2023

jiunge nani nikiwa nakuletea michuano yote kutoka kitongoji cha bangaldesh mombasa. Pata kujionea vipaji ya vijana kutoka humu

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mombasa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


BANGLA , MOMBASA
Mombasa