fursa.zetu.africa

Directions

fursa.zetu.africa TUNASAIDIA WATU KUTIMIZA NDOTO ZAO

03/10/2026

NGOJA NIWAAMBIE KITU LEO HUKO NJE NDOTO ZA WATU WENGI ZIMESHINDWA KUTIMIA SABABU WATU WANAPAMBANA KATIKA KUFANYA VITU VYENYE MANUFAA MADOGO TENA WENGI WETU TUNAJUA KABISA KIPATO CHA HIKI NINACHOFANYA NI KIDOGO ILA HUWA TUNAJIKINGA KWENYE MWAMVULI WA NENO SA NITAFANYAJE SI BORA HIKI KIDOGO KULIKO KUKOSA KABISA JE, UMEWAHI KUWAZA NIKIKUTANA NA KITU KIPYA KINANILIPA ZAIDI ITAKUWAJE? TUJIFUNZE KUPITIA STORY YA ELIZABETH AMBAYE HII BIASHARA IMEBADILI MAISHA YAKE COMPLETELY ELIZABETH NI BINTI AMBAYE SASA ANAMIAKA 26 ELIMU YAKE NI FORM FOUR ELIZA ALILELEWA NA WAZAZI WOTE WAWILI GHAFLA BABA AKE ALIFARIKI NDUGU WA BABA WALIMPOKONYA MAMA YAKE ELIZA MALI ZOTE IKIWEMO NYUMBA PASIPO KUJALI K**A ANA MTOTO, WALIMWACHA NA NYUMBA MOJA TU HALI ILOSABABISHA MAMA ELIZA AWE NA MAISHA YA KAWAIDA TU NA HUKU AKIMPAMBANIA MWANAE, ELIZA ALIPOKUWA MKUBWA ALIMWONEA HURUMA MAMA YAKE HIVYO AKAANZA KUTAFUTA AJIRA YA KUWEZA KUMSAIDIA KUINGIZA KIPATO.

ELIZA AMEWAHI KUJIHUSISHA NA MAMA NTILIE NK NA MARA YA MWISHO ALIKUWA WAKALA WA TIGO PESA




03/10/2026

Na matokeo ya huo ujasiri ndio haya! Leo hii Noela ni msafiri wa dunia (World Traveler) akifurahia maisha kupitia fursa hii! ✈️🌍 Mbali na faida kubwa ya mauzo ya kila siku ya bidhaa, kampuni inamlipa bonasi ya kuanzia Milioni 3+ kila mwezi moja kwa moja benki. Huu ndio uhuru wa kifedha tunaouzungumzia 💰


❤️💞❤️

03/10/2026

Ushuhuda unaoishi! 📌 Huyu ni Noela, ni mshirika wa karibu sana katika biashara yetu ya kidijitali. Mwonekano wake wa mwanzo (kushoto) ni kabla hajaanza biashara na kulia ni baada ya kuanza. Hii inaonyesha nguvu kubwa iliyopo kwenye kuchukua maamuzi sahihi.


❤️💞❤️

03/10/2026

Ukiweka juhudi na utalaamu kwenye biashara yako k**a unavyowajibika kwa mwajiri, matokeo yake yatashangaza wengi. 🚀💯


03/10/2026

Fursa yetu iko wazi kwa kila mtu , YAAN KADA MBALIMBALI WANAFANYA HII BIASHARA KWA MUDA WAO WA ZIADA NA WANAJIONGEZEA KIPATO—bila kujali taaluma, cheo, au shughuli unazojishughulisha nazo kila siku! Unachohitaji ni nia na utayari wa kubadili maisha yako na kufikia malengo yako.

👉 Unasubiri nini? Jiunge nasi leo uanze safari yako ya mafanikio! 0756300605


❤️💞❤️

03/10/2026

Hii ni biashara ambayo tunaifanya kimataifa, mbali na kupata faida ya pesa unapata faida ya lifestyle ambapo unapata fursa ya kusafiri maeneo tofauti duniani ukiwa umelipiwa kula kitu.
K**a wewe ni kijana na una ndoto kubwa, hii ni fursa sahihi ya kufanya.
Ni fursa itakayokukutanisha na watu sahihi wenye ndoto kubwa watakaokuomgoza na kukusimamia hatua kwa hatu mpaka kufikia mafanikio
K**a unatamani kuwa sehemu a team na kujenga biashara kubwa huu ndo wakati wako.

📞0756-300605 kupata mwongozo



Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fursa.zetu.africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category