ESCO Sports ARENA

ESCO Sports ARENA

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ESCO Sports ARENA, Stadium, arena & sports venue, 89100, Mombasa.

12/04/2024

Tunakuja Westlands in fire 🔥 ESCO Lodge Arena is being brought to live coming soon usikose because sports inaletwa ground as you chill with the Dj mixes ukipiga Sheree ESCO is coming soon than expected 🔥🔥🔥

12/04/2024

Imethibitishwa kuwa nahodha mkuu wa klabu ya Manchester City Kyle Walker huwenda akawa sehemu ya kikosi kitakachoanza kwenye mchezo wa marejeano dhidi ya Real Madrid utakaochezwa katika Etihad.

Chanzo:Diario AS

11/04/2024

Leed united inawania sign ya kiungo wa kati wa Man city ambaye kwa sasa yuko mkopo West Ham.Leed united wako tayari kutoa Euro milioni 30 wakati wa dirisha la kiangazi iwapo wataweza kupandishwa daraja kuja ligi kuu la EPL.

11/04/2024

🚨 Manc City wanampango wa kumsajili kiungo wa Bayern Munich Jamal Musiala msimu Ujao, 🇩🇪

Source Miguel Delaney

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mombasa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


89100
Mombasa