NGUTU YOUNG STARS FC

NGUTU YOUNG STARS FC

Share

Young Stars club is a football club located at Ngutu Sub-Location,Nyakianga Location, Mathioya Sub-co

04/03/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jamjeck Wachira, Kui Beutygal, Muhia Muthoni, Henry Irungu, Waithira Hadad, Roseline Gitahi, Peter Criz

03/03/2024

Mathioya Super tournament by Dkt EDWIN Mugo Gichuki..
3-2 on penalties ....We match on to the Semis Finals
FCπŸ’₯πŸ’₯
Other Results
Nyangiti FC 2-1 Kanjahi FC
Storm FC 0-0 Chui FC (3-1) Penalties

12/02/2024

Majirani wetu wadogo Karung'e FC waliteleza k**a walevi chakariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mwisho wa siku Kilio cha kugunaguna k**a mwifi alinaswa na umati mwenye hamaki za mkizi

11/02/2024

Form Iko pale Ngutu mida ya saa kumi. Derby ya KijijiπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Watawezana ama matokeo tuko nayo tayari πŸ˜‚πŸ˜‚.... We shall be there no matter what

20/01/2023

Hapo Jumapili tarehe ishirini na mbili Ugani Ngutu;Timu ya Wolves almaarufu k**a Nyathiru kutoka Kangema watamenyana na Vijana wa Ngutu Young Stars mida ya Saa Kumi alasiri.
Njooni nyote tuburudike pamoja πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ⚽⚽⚽.

Photos from NGUTU YOUNG STARS FC's post 30/10/2021

Hali si hali Jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚baada ya kuvuruga mechi, kutafuta talent far and wide, Tutangulia Kutongoza mrembo mwishowe Vijana wapole wapenda amani wanatoka nyuma na Kuenda na Mtoto wa watu nyumbani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”πŸ’”Full Time Ngutu Young Stars 3-2 Chui Beba beba pwaaaaaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸ™Œ.... It's Officially Home where it belongs πŸ₯‡πŸ₯‡βš½βš½βš½πŸ†πŸ†πŸ†... Sub County final here we come
young Stars hoyeee

Photos from NGUTU YOUNG STARS FC's post 18/10/2021

Team Ngutu Young Stars in Action in the just concluded Anthony Maina wa Maai Gitugi Ward finals. The final was played between chui and Ngutu Stars at gitugi finished 0-0 at regular time and Went to penalties only for Chui team and fans to disrupt the Shooting when they went down 3-1 with Two spot kicks to go for both sides. Total Hooliganism witnessed but we hope the decision that would be made will follow the rules of the game and Justice is done to us... We keep going on the Sub-county finals πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
young Stars hoyeee
Maina wa Maai Check

08/10/2021

Hatimaye baada ya Ngoja ngoja ya Miezi Miwili sasa ni Rasmi kwamba Fainali za dimba la Mheshimiwa Anthony Maina wa Maai zitang'oa nanga jumapili Ijayo tarehe 17 mwezi huu wa Oktoba 2021. Ambapo Ngutu Young Stars FC watatitinga na Chui FC fainali huku mechi ya kutafuta mshindi wa nafasi ya tatu na nne mtawalia itakuwa kati ya Kambara FC vs Dream FC. Njoo tushangilie vijana wetu pamoja,Mihemko na Madaha yote uwanjani Utaipata kenye kenye naye Mtangazaji Samito_Mwanaspoti01. Kosa uchekwe

Photos from NGUTU YOUNG STARS FC's post 03/06/2021

Imekwisha Anza, ni kubwa na yavutia. Wasaa wa Vijana kuonyesha talanta zao, azimio kuu likiwa kukuza talanta mashinani eneo Bunge la Mathioya
Twende Grao
TournamentπŸ’ͺπŸ’ͺ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Murang'a?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Kangema
Murang'a