27/04/2024
Maombi mawili tofauti yanapelekwa kwa Mungu,
1. Uniokoe na yule mwovu
2. Utupe leo riziki yetu
Maisha ndivyo yalivyo, kuna wakati/nyakati unashukuru Mungu amejibu maombi yako, kuna mtu kanyimwa ili upate.
Jifunze kushukuru. Jifunze kusubiri
✊
29/04/2023