13/11/2025
Chuma 20 already installed upande wa roofing imebaki chuma nne pekee na leo usiko moja inawekwa so zitakua zimebaki tatu pekee. then hapo nyuma mumeekewa Curtain wall ya hewa safi na kuavoid watu kuanguka na huko nyuma ya stadium π, hii material ya white inakaa mabati then hiyo place arroe mbili ziko skyboxes zimemeanza kuundwa .
13/11/2025
Hivi ndivyo Talanta ilianza. From Uwongo to Reality. watch vedeo here
https://youtu.be/FngXKSrQnVU?si=dxug9bXldd284fuR
13/11/2025
Hapa ndio talanta stadium ilijengwa after breakdown of the ground by H.E WILLIAM https://youtu.be/FngXKSrQnVU?si=dxug9bXldd284fuR
12/11/2025
more talanta stadium Updates watch here the transformation. Chuma za roofing zimebaki 5 only of which moja yake inaweza wekwa leo by jioni ., Curtain wall inapelekwa polepole juu ya hizo crane zinafaa zitolewe kwanza https://youtu.be/FngXKSrQnVU?si=dxug9bXldd284fuR
12/11/2025
By jioni watakua wanaweka chuma ya 20 tubakishe 4 pekee photos mtazipataa masaa yake
11/11/2025
wacha nitakasirika niwaundie Documentary ya talanta ya 1hourπ
10/11/2025
kesho nitawapea updates za Stadium talanta
10/11/2025
musupport kijana yenyu amenisumbua inbox sana,links tangu last 3weeksπ
πππππ πππ - ππππ [ ππ
π
πππππ πππππ ]
Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.
08/11/2025
Flag Logo Shield for Talanta stadium
08/11/2025
Curtain wall work tukipea kila side 25% completion that is 25x4 sides=100% curtain wall work to be competed. So tuseme 1 side is 25% Complete then the other side iko half tuseme ni 15% meaning 25+15=40% so Curtain wall work iko kitu k**a 40% complete na 60% incomplete. then Roofing Steel beam ziko total 24 ukitoa extension na zenye zinajazwa kwa Gap zimerukwa rukwa. so Roofing steel ni 17 already istalled remaining 7 so out of 100% tuseme roofing iko at 77% Complete then 23% incomplete,