25/08/2026
π₯π₯ TOBI π MAJEMBEE π₯π₯
Hii nayo itakua ni Ngeroo! π€π Two warriors, one ring, hakuna kurudi nyuma.
Tobi ako ready kuvunja predictions, Majembee ako ready kuonyesha mbona anaitwa MAJEMBEE! π₯Άπ₯
π₯ WHOβS GETTING DROPPED?
π₯ WHOβS SURVIVING?
π WHO OWNS THE GROUND?
Mtaa mzima imeamkaβ¦ Dondi Mtaani Ghetto! π₯π₯
Tobi vs Majembee β HII NI WAR! β οΈπ₯
25/08/2026
π₯π₯ DONDI MTAANI GHETTO π₯π₯
Theme: CHOREA CRIME NA MADRUGS π«π
Tukutane kwa Boxing Challenge ya nguvu, vipaji na burudani ya mtaani! π―π₯
Hii ni zaidi ya boxing β ni community, talent na ku-support vijana wetu. πͺπΎπ₯
Na pia tunasimama pamoja kum-support Mheshimiwa wetu anayesimama kwa kiti cha MCA. Julius Ndungu Kuriaπ€πΎπ―
MTAANI NI YETU, TALENT NI YETU, GHETTO NI YETU! π₯π₯
25/07/2026
Ni kesho..kosa uchekelewe.. na ujue aspirants wote wa next election watakua in attendance ππ
24/07/2026
Lakini k**a mhesh wako hayuko hapa.unatwambia watππ€.
21/07/2026
With Kiandutu United fc β I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers!
18/07/2026
Big shout out to my newest top fans! Douglas Okwemba, Asman Santos, Rooney Maish, A Di Kante, James Waweru
17/07/2026
Kamswakiiii...
Tupatane Sunday pale broadie
16/07/2026
Unatambua nani hapo.
10 years ago.
Na hizi jezi mtatwambia mlipeleka wapiπ
π