Paranza the hip-hop artist

Paranza the hip-hop artist

Share

-CEO of Mkimbizi Creative Youths ( our Performances on YouTube)
-2023&2024 Dowa hip hop award winner
-Former Rap music and poetry teacher(at NG)
........

29/08/2026

Tukisubiri Video ya Justice/We’re the same, tunaendelea ku enjoy audio ya Dada yako ft π™…π˜Όπ™” π˜Ώπ™Šπ™‡π™‡π˜Όπ™ π™Šπ™‚ on YouTube gusa link hiiπŸ‘‡ https://youtu.be/KCqTbmkmZnc?si=r-iMkUPG26zoG5vu

27/08/2026

soon the music video for "Justice/ We're the same"!

24/08/2026

Kwenye hii ngoma Kuna wafaume/kings wawili wa inchi mbili tofauti. Hii ngoma haikuwakutanisha tuu,iliwafanya watembeleane kwenye inchi zao mbili za utawala, na Kila mmoja ilimulazimisha kula chakula cha inchi ya mwenzake. Hivi ndivyo ilivyofanyika; (Afro king "Jay Dollar" na hip hop king "Paranza") Afro king alilazimika ku rap na kuimba, na hip hop king alilazimika kuimba afro na kuchana, yaani wote waliingiliana kikazi Kwa kufanya yote; kuimba na kuchana. Mpaka sasa, Bado hakuna ubishi kuhusu aliyefanya vizuri zaidi kwenye comment za YouTube, maana yake Jay Dollar & Paranza, inchi zao mbili ziendelee kuwa mbili, zisiwe Moja Ili mmoja awe king. Wewe unaonaje? Twende YouTube utoe maoni yako! πŸ‘‡
https://youtu.be/KCqTbmkmZnc?si=bRSZxb8qXL97Zv-F

23/08/2026

Nani atatoka na Dada wa mtu Baada ya kanisa/church Leo? "Dada Yako" song ft π™…π˜Όπ™” π˜Ώπ™Šπ™‡π™‡π˜Όπ™ π™Šπ™‚ YouTube πŸ‘‡
https://youtu.be/KCqTbmkmZnc?si=PYRnvNxsxDWWVm1g

Photos from Paranza the hip-hop artist's post 21/08/2026

Kesho ngoma "Dada yako" ftπ™…π˜Όπ™” π˜Ώπ™Šπ™‡π™‡π˜Όπ™ π™Šπ™‚, Leo Umeme/electricity imetuangusha ila kesho tuombe sanaaa, "Dada yako" itatoka nzima Ili usikie jinsi Jay dollar anavyo funika ma rappers wengi ku rap hapa nyumbani! Twendelee na challenges TikTok πŸ‘‡
https://vt.tiktok.com/ZSVPAaXgw/

20/08/2026

I was a head teacher & a teacher of Advanced class at CRS in 2019. I used to reward hard working students. Nyota is one of the students who won my reward on top 4! Proud to see her making big moves which inspire this new generation! I stopped teaching and become a rapper..... With long hair now! Some old performances are here πŸ‘‡
https://youtu.be/E7rkcikXR1g?si=DcHMwrhMHk1AfTt8

19/08/2026

Dada yako challenge ft π™…π˜Όπ™” π˜Ώπ™Šπ™‡π™‡π˜Όπ™ π™Šπ™‚

17/08/2026

kaka π™…π˜Όπ™” π˜Ώπ™Šπ™‡π™‡π˜Όπ™ π™Šπ™‚π™‡π˜Όπ™ π™Šπ™‚ ananiumiza kichwa Kwa wivu, maneno ya vitisho vingi, na chuki eti kisa amejua napendana na Dada yake! Neno Moja kwake Kaka nampenzi wangu, afuu tuendelee na challenges πŸ‘‡
https://vt.tiktok.com/ZSV6hTEkh/

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Blantyre?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Blantyre