05/02/2021
Habari jamaa na marafiki wa familia ya michezo Smart Area Sports Club tunaomba kutangaza au kuarika timu yeyote kwa ajili ya mchezo wa kupimana nguvu ikiwa k**a sehemu ya kuimarisha undugu na urafiki wa familia ya michezo hasa wa mpira wa miguu
Ahsante sana
Smart Area Sports Club
Send a message to learn more
05/06/2020
K**a atuondoki vilee
Ado ado tunaondoka
Vijana mzigoni
Mzimba Junior
Van Sali
Jacob Joshua
Noah De Grizman
Pizzo Man Tz
Juma Saidy
15/05/2020
TBT flani ya kibaba
Inshaallah allah tuondolee corona mapema turudi katika majukumu yetu ya kila siku
23/04/2020
Stay_safe
Stay_home
Usichukulie_poa_corona_ipo_na_inaua
Inshaallah allah atunusuru ili nalo lipite
28/03/2020
Kesho saa 9 kamili
Smart area sports club
Vs
Kijiweni fc
Muda saa 9 kamili
Venue kwa mringo ⚽⚽⚽
26/03/2020
Muhimu kwa afya
Morning vibe
16/03/2020
Team smart
Team vyaboli
Mpira pesa mpira ajira vijana mzigoni
Haina kufeli mapambano yanaendelea
11/03/2020
Vyaboli from smart area
Wize Wide
Boe Chizza