TRA United Fans

TRA United Fans

Share

Get all News about TRA United SC
#Wakusanya Kodi βš–οΈ
*Established on 2017
#KodiYetu #MaendeleoYetu 🟑βšͺ

27/05/2026

πŸ•‹

Tunawatakia Walipa Kodi na Waislamu wote Duniani Sikukuu njema ya Eid-al-Adhaβš½οΈπŸ•ŒπŸ™

Tukumbuke kulipa Kodi kwa hiyariπŸ€—πŸ‘

| |

27/05/2026

πŸ•‹

Walipa Kodi tunawatakia Watanzania na Waislamu wote Duniani Sikukuu njema ya Eid-al-Adhaβš½οΈπŸ•ŒπŸ™

| |

26/05/2026

πŸŽ‚

Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa kiungo wa mpira

Walipakodi wote tuungane kwa pamoja kumtakia kila lenye kheri katika maisha yake.

| |

26/05/2026

πŸŒ™πŸ•Œβ™₯️

Maandalizi ya Eid ya Kuchinja (Eid-Al-Adha) kwa Wakusanya Kodiβš½οΈπŸ‘

Tuambie, tumchinje nani hapo??πŸ€·β€β™‚οΈ

| |

Photos from TRA United Fans's post 26/05/2026

🀩

πŒπˆπƒπ…πˆπ„π‹πƒ πŒπ€π„π’π“π‘πŽ, Kwenu mnamuita jina ganiπŸ€·β€β™‚οΈ?

Photos from TRA United Fans's post 25/05/2026

πŸŽ₯πŸ“ΈπŸ“½

Picha na matukio yaliyojili leo kwenye Media Day.

24/05/2026

😒

Matokeo Mabaya kwa Wakusanya kodi 😒😒
Tujipange kwa mchezo ujao

24/05/2026



Dakika ya 83’

TRA UNITED FC 1️⃣-2️⃣FOUNTAIN GATE FC

βš–οΈ | πŸ’°β„’οΈ

24/05/2026


Game on 62’

TRA UNITED FC 1️⃣-✌️FOUNTAIN GATE FC
Mapambano yanaendelea, Walipa kodi msiwe na wasiwasiπŸ˜‡

βš–οΈ | πŸ’°β„’οΈ

24/05/2026

⏸️

TRA United SC 1️⃣-2️⃣ Fountain Gate
Uchawi upo, leo nimeamini😒😒

| | πŸ’°β„’οΈ

24/05/2026

Gooooal Goooal Goooal
Dakika 36'
Huwezi kugoma kulipa kodi ukiwa umekuja na TIN NUMBER πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Arusha