26/07/2023
Mwanzoni kabisa Wakati Tetesi Zinatoka Simba Kuwa Sakho Anahitajika huko UGAIBUNI Simba Waliamua Kuliamsha Upya Dili la Luis Jose Miquissone.
Kumbuka Sakho Ameuzwa Kiasi Cha Bilioni Mbili Na point Moja (2.1TSH)
Kwa Hesabu Ya Kawaida Hapa Mshahara Wa Luis Ni Milioni thelalthini na Nne (34MTSH) Kwa Mwezi.
Kwa Miaka MATATU aliye Saini Huyu Mwamba Atakuwa Amelipwa Kiasi cha TSH Bilioni Moja Points kadhaa.
Hivyo Luis ANAISHI na Fedha Za Mauzo Ya Papeh Osman Sakho Ambaye Ametimkia Ufaransa. Biashara Ni Akili
26/07/2023
... ππ¨ BREAKING!
π¨ Bosi wa Singida Fountain Gate (SFG), Japhet Makau amesema usajili wa Benard Morrison ni suala la muda tu na mashabiki wakae kwa kutulia kwani mambo mazuri yanakuja zaidi msimu huu.
Morrison tayari amemalizana na Singida FG kwa ajili ya kuitumikia msimu ujao wa Ligi Kuu na CAFCC.Makau alisema kuwa; βIshu ya Morrison tusubiri Agosti 2, ambapo tutatambulisha kikosi chetu. Sisi tuna imani nae na atafanya vizuri na atacheza kwa jinsi ambavyo kocha atamtumia, naamini wachezaji tuliowasajili wanaenda kufanya vizuri kwenye timu yetu.β
26/07/2023
Jana Leo Messi amecheza mchezo wake wa pili na timu yake mpya na kufunga magoli mawili na assist moja.
Goli la kwanza la Messi assist ilitoka kwa BABU, Sergio Busquets.
08βββ½οΈ Lionel Messi
22βββ½οΈ Lionel Messi
53ββπ― Lionel Messi
FT: INTER MIAMI 4-0 ATLANTA UNITED
Ikiwa ni Mechi mbili tu, tayari ameshafunga goli tatu na assist moja.
THE GOAT THIGS π
05/06/2023
tangu atue Young Africans makipa wazawa wa Tanzania wamekuwa wakijifunza kitu kutoka kwa Djigui Diarra π
Haya sasa tumesha tua Tanzania . .naauliza tu kati ya mama na mbeya CITY kipi bora ππ°π₯
05/06/2023
"...Mwaka jana nilikosa kiatu cha Ligi mwaka huu nimechukua cha CAF, Mungu ana mipango yake najipongeza kwa sababu k**a unafanya kazi na una malengo yako unahitaji kufika hatua fulani na umefanikiwa ni jambo kubwa."
"Mpira wa Afrika ukiangalia mchezaji anakiwango kizuri miaka miwili sio rahisi, kuna vitu unatakiwa kufanya na vingine usifanye ili uwe una perform vizuri, ni msimu mzuri sana nikichukua kiatu cha Ligi ya Tanzania utakuwa msimu bora tangu nimeanza mpira.β
π Fiston Mayele
05/06/2023
OFFICIAL π¨
βοΈ Rais wa klabu ya Yanga SC Eng Hersi Said amethibitisha kuwa beki Mtanzania Ibrahim Bacca ameongeza nyongeza ya mkataba wake na Uongozi umemongezea mshahara mkubwa
Awali Ibrahim Baca alisaini mkataba wa miaka mitatu hadi January 2025 ameongeza tena,π¨.
05/06/2023
Real Madrid imeachana na wachezaji 4.
β
Marco Asensio
β
Mariano Diaz
β
Eden Hazard
β
Karim Benzema