Kenko Care Clinic

Kenko Care Clinic

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kenko Care Clinic, MKULIMA HOUSE MKABALA NA MABIBO HOSTEL, Arusha.

Kenko Care Clinic
Tunatoa huduma za ushauri wa kiafya, virutubisho lishe, elimu ya afya na bidhaa salama kwa changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo magonjwa sugu.

πŸ“ Mkulima House, Mkabala na Mabibo Hostel
πŸ“ž 0658 977936.

Photos from Kenko Care Clinic's post 19/12/2025

JE, MATATIZO YA UZAZI YAMEKUWA KIKWAZO KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU?.

Kukosa hedhi, maumivu ya tumbo, au kuchelewa kupata ujauzito si mambo ya kubeza.

Kenko Care tupo kukupa maarifa sahihi, mwongozo wa kiafya na usaidizi wa karibu bila madhara.

Afya yako ya uzazi ni msingi wa maisha bora.

Tuma β€œAfya ya Uzazi” WhatsApp 0658 977936
Au tupigie: 0768 277936.

Kenko Care – Afya yako Kwanza.

Photos from Kenko Care Clinic's post 17/12/2025

JE, UNASUMBULIWA NA GESI, KIUNGULIA AU TUMBO KUJAA KILA MARA?

Huenda lishe yako ina mchango mkubwa kwenye changamoto hizi.

Follow ujifunze:

βœ”οΈ Vyakula vinavyosababisha matatizo ya tumbo
βœ”οΈ Njia sahihi za kuboresha mmeng’enyo
βœ”οΈ Suluhisho za asili kwa afya bora ya tumbo

Afya bora huanza na lishe sahihi! ...

17/12/2025

πŸŽ„ Heri ya Sikukuu kutoka Kenko Care! πŸŽ„
Katika msimu huu wa furaha, tunawaletea PUNGUZO LA 30% kwa huduma zetu zote za kiafya β€” hususan zile zinazohusu afya ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke!

πŸ‘©β€βš•οΈ Kwa wanawake tunatatua:
β€’ Kukosa hedhi au hedhi isiyo ya kawaida
β€’ Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
β€’ Kukosa hamu ya tendo la ndoa
β€’ Uvimbe wa kizazi (fibroids)
β€’ Utoaji wa mayai hafifu
β€’ Maambukizi ya mara kwa mara ukeni

πŸ‘¨β€βš•οΈ Kwa wanaume tunasaidia kwenye:
β€’ Kupungua kwa mbegu za kiume
β€’ Mbegu dhaifu au zisizosafiri
β€’ Maumivu wakati wa tendo
β€’ Tatizo la kutojiamini kingono
β€’ Maambukizi ya mara kwa mara kwenye njia ya mkojo
β€’ Kutozalisha kabisa

🟒 Tunatumia virutubisho vya asili vilivyothibitishwa k**a AFACELL PLUS Moringa Extract kusaidia mwili kujiimarisha kutoka ndani.

πŸ“ž Wasiliana nasi:
0768 277936 | WhatsApp 0658 977936
Afya yako kwanza, ndiyo furaha ya familia yako πŸ’š

Photos from Kenko Care Clinic's post 16/12/2025

🌿UNATESEKA NA CHANGAMOTO ZA UZAZI?

Sasa unaweza kupata suluhisho asilia, salama na lenye nguvu kupitia AFACELL PLUS Moringa Extract πŸ’ͺ🏾

βœ… Husaidia kusafisha mwili na kuondoa sumu
βœ… Hurekebisha homoni na kuboresha mfumo wa uzazi
βœ… Huongeza nguvu na kinga ya mwili
βœ… Hupunguza msongo wa mawazo na kuchangamsha akili

Usikubali changamoto hizi ziendelee kukutesa.
πŸ“ž Piga: 0768 277936
πŸ’¬ WhatsApp: 0658 977936

Kenko Care – Afya Yako Kwanza! πŸ’š

Photos from Kenko Care Clinic's post 11/12/2025

Kenko Care tunakusaidia kurejesha afya yako kwa njia salama na ya asili

Ikiwa unateseka na matatizo ya mmeng'enyo, homoni, uzazi, vidonda vya tumbo, kiungulia au uchovu sugu…

Tuma "Afya" WhatsApp 0658 977936

Kenko Care: Afya yako kwanza.

11/12/2025

Unahitaji ushauri wa kiafya au huduma bora kutoka Kenko Care?
Tupo kwa ajili yako!

Wasiliana nasi sasa kupitia WhatsApp au simu:
0768 277936

Afya Yako Kwanza!_

08/12/2025

UNASUMBULIWA NA VIDONDA VYA TUMBO?
Dalili k**a:
πŸ”₯ Maumivu ya tumboni
🀒 Kutapika damu au kuona damu kwenye kinyesi
βš–οΈ Kupungua uzito bila sababu

Usiendelee kuteseka!
βœ… Suluhisho salama na la asili lipo.
πŸ“Tunapatikana Dar es Salaam
πŸ“ž Piga sasa: 0768 277936

KenkoCare

08/12/2025

πŸ”₯ UNASUMBULIWA NA ACID REFLUX (KIUNGULIA)?

πŸ’’ Dalili k**a:
– πŸ”₯ Moto kifuani
– πŸ˜– Kiungulia kooni
– 😡 Kupaliwa ukiwa umelala
– 🀒 Kichefuchefu

🩺 Zinaweza kuashiria changamoto kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.

🌿 KENKO CARE CLINIC tunakusaidia kwa njia mbadala na salama kwa afya yako.
πŸ›‘οΈ Pata ushauri na suluhisho la kutumia bidhaa asilia kupunguza na kudhibiti tatizo.

πŸ“ž 0768 277936
πŸ“ Tunapatikana Dar es Salaam.

08/12/2025

UNAWEZA KUWASILIANA NASI KUPITIA WHATSAPP NA KUHUDUMIWA KWA HARAKA.

BONYEZA NENO WHATSAPP HAPO CHINI KULIA.

02/12/2025

UPASUAJI SIYO SULUHISHO! NI BORA KUTIBU MAPEMA KABLA TATIZO KUWA KUBWA.

Dalili za tezi dume kukua au kuvimba zinaweza kuathiri sana maisha yako ikiwa hutatibiwa kwa wakati. Dalili hizi ni pamoja na:

- Kushindwa kumaliza haja ndogo vizuri
- Kukojoa mara kwa mara hasa usiku
- Maumivu au hisia ya kuumwa wakati wa kukojoa
- Mkondo wa mkojo dhaifu au kutokwa na mkojo bila kujizuia.

Ukichelewa kutibu, matatizo yanaweza kuongezeka na kuhitaji upasuaji ambao si suluhisho la kwanza. Ni bora kuchukua hatua mapema kwa tiba sahihi na ushauri wa wataalamu.

Kwa msaada na tiba bora, wasiliana nasi:
KENKO CARE CLINIC
Simu: 0768 277936.

03/02/2025

🌟 Suluhisho Makini la Changamoto ya Vitambi kwa Wanawake! 🌟
Wanawake wapendwa, tunajua changamoto zinazohusiana na vitambi zinaweza kuwa ngumu, lakini tuko hapa kusaidia! Tunatoa virutubisho vya asili ambavyo vitakusaidia kupunguza vitambi na kuboresha afya yako kwa ujumla.
Usikose nafasi hii ya kuboresha maisha yako! Virutubisho vyetu vitakufikia mikoani kupitia mawakala wa usafirishaji.
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa nambari 0768277936 ili kupata msaada na taarifa zaidi.
Pamoja, tunaweza kufanikisha malengo yako ya afya! πŸ’ͺ









Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


MKULIMA HOUSE MKABALA NA MABIBO HOSTEL
Arusha
16109

Opening Hours

Monday 07:00 - 23:00
Tuesday 07:00 - 23:00
Wednesday 07:00 - 23:00
Thursday 07:00 - 23:00
Friday 07:00 - 18:30
Sunday 07:00 - 23:00