Afya na tiba ya uzazi

Afya na tiba ya uzazi

Share

TUNATATUA CHANGAMOTO ZA MFUMO WA UZAZI KWA MWANAUME NA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE

06/03/2024

CHANZO CHA MWANAUME KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA.

SOMA ZAIDI👇

Baada ya mwanaume kufanya mapenzi na kuridhika awamu ya kwanza huweza kurudia tendo na kuendelea kwenye awamu ya pili, hapo katikati hukutana na kipindi ambacho kitaalam hujulikana k**a refractory period

_Refractory period: Hiki ni kipindi cha muda baada ya kufika kileleni ambapo mtu hana msisimko wa kufanya tendo_

(the span of time after having an or**sm during which a person is not s*xually responsive).

Ukiwa kwenye kipindi hiki huwezi kufanya tena tendo la ndoa,wala kufika kileleni.

Muda wa Kipindi hiki hutofautiana kati ya mtu na mtu, huweza kuchukua dakika chache mpaka hata zaidi ya siku moja,

Ukiwa na afya bora ya mwili kwa ujumla ikiwemo afya ya moyo,kula vizuri,kufanya mazoezi n.k huweza kupunguza muda wa kipindi hiki.

CHANZO CHA MWANAUME KUSHINDWA KURUDIA TENDO.

mwanaume kushindwa kurudia tendo au kushindwa kwenda roundi ya pili,tafsiri yake ni kwamba yupo kwenye kipindi cha refractory period,

Swala la kwamba amekaa muda gani au hali hii imedumu kwa muda gani,kwa lugha nyingine tunaweza kusema refractory period yake imekuwa ya muda mrefu au muda mfupi.

Kumbuka: K**a tulivyosema awali, mtu akiwa kwenye kipindi ambacho hujulikana k**a “refractory period”,

hupoteza hisia au hamu ya kufanya tendo tena na wakati mwingine hushindwa kabsa kufanya tendo tena,

huweza kupata shida ya uume kushindwa kusimama tena, na kushindwa kufika kileleni.

CHANZO HALISI YA REFRACTORY PERIOD KUCHUKUA MUDA MREFU NI NINI??

Mpaka sasa hakuna sababu ya moja kwa moja,kwanini baadhi ya watu huwa na kipindi kirefu zaidi “Long refractory period” kuliko wengine,

Ingawa baadhi ya tafiti zimeonyesha vitu vyenye uhusiano wa karibu sana na tatizo hili, vitu hivo ni pamoja na;

1. Mabadiliko ya vichocheo mwilini ikiwemo kichocheo cha Prolactin,

Utafiti wa mwaka 2002 ambao ulifanyika kwa kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25 ulionyesha uhusiano wa karibu kati ya refractory period na uzalishwaji wa vichocheo aina ya prolactin.

Pia utafiti huu ulionyesha kwamba vichocheo vya Prolactin vinaweza kuhusika katika uwezo wa mwanaume kufika kileleni kwa zaidi ya mara moja yaani “multiple or**sms”.

2. Sababu zingine ni pamoja na;

🟢Afya ya mtu kwa ujumla ikiwemo; afya ya moyo,mishipa ya damu,usukumaji wa damu,presha ya damu,magonjwa k**a kisukari n.k

🟢Ubora wa mahusiano husika, je tendo hilo linafanyika kwa mtu unayempenda,unavutiwa naye,unakuwa na hamu naye kila wakati, je hufanyi tendo ukiwa na hasira?, je hampo kwenye ugomvi,migogoro n.k

🟢Kuwa na shida ya msongo wa mawazo au Stress

🟢Pia mnafanya tendo mara ngapi(frequency of s*x), unaweza kuchukua muda mrefu kwenye kipindi cha refractory period ikiwa unafanya tendo mara nyingi zaidi, hii inaweza kusababisha wewe kushindwa kabsa kurudia tendo,kushindwa kufika kileleni,uume kushindwa kabsa kusimama n.k

Zingatia mambo haya ili kukabiliana na tatizo hili;

✓ Hakikisha unafanya mazoezi ya mwili ikiwemo;

🟢Kutembea
🟢Kukimbia n.k

✓ Hakikisha unazibiti shida ya Uzito mkubwa

✓ Hakikisha unakula mlo kamili,mlo wenye afya, epuka vyakula vya mafuta mengi sana,chumvi nyingi n.k

✓ K**a una magonjwa ya moyo, Ugonjwa k**a kisukari,Presha n.k hakikisha unapata tiba

✓ Epuka matumizi ya Pombe kupita kiasi

✓ Epuka uvutaji wa Sigara au kutumia dawa zozote za kulevyia.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA+255656002345

24/02/2024

# # #


JINSI YA KUPATA MTOTO WA JINSIA UITAKAYO

0656002345

MTOTO WA KIUME AU WA K**E ANATOKEAJE?
Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yani XX
Na mbegu ya mwanaume inabeba chromosome XY
Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na Y kutoka kwa mwanaume mtoto wa kiume hupatikana
Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na X kutoka kwa mwanaume mtoto wa k**e hupatikana
FAHAMU SIFA ZA CHROMOSOMES X na Y za mwanaume
Ili uweze kufanikiwa kuchagua mtoto wa kiume au wa k**e lazima ujue sifa za chromosomes hizi zinazoamua jinsia ya mtoto
SIFA ZA CHROMOSOMES Y
1.Zina spidi kubwa sana kwahiyo k**a yai lipo tayari zenyewe zitawahi kwenda kurutubisha
2.Zina maisha mafupi sana kulinganisha na X
SIFA ZA CHROMOSOMES X
1.Zina spidi ndogo sana
2.Zina maisha marefu kulinganisha na Y
Baada ya kujua sifa za chromosome ambazo ndo zinatusaidia kuamua jinsia twende moja kwa moja kwenye jinsi ya kupata mtoto wa jinsia unayotaka
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUAMUA JINSIA
1.Lazima mwanamke ajue mzunguko wake (menstrual cycle)siku ya 1-28
2.Lazima mzunguko wako uwe na mpangilio sahihi(unaweza ukachunguza mzunguko wako kwa miezi minne mfululizo)
3.PH ya uke lazima iwe kiwango sahihi 4-5.5
4.Ushirikiano kati ya mwanamke na mwanaume

JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME
Ili uweze kupata mtoto wa kiume kisayansi unashauriwa kushiriki tendo la ndoa siku ambayo yai litakuwa limetoka k**a mzunguko wako uko sahihi ni siku ya 14
Njia nyingine ya kujua yai limetoka baba anaingiza vidole viwili ukeni wakati wa asubuhi na ukikuta uteute ujue yai limetoka kwahiyo jioni mnashiriki tendo la ndoa kwa ajili ya kupata mtoto wa kiume

KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA WAKATI YAI LIMETOKA ILI KUPATA MTOTO WA KIUME?
Kisayansi chromosome Y ambayo inahusika katika kutunga mimba ya mtoto wa kiume ina spidi kubwa sana ni nyepesi na haiwezi kisihi mda mrefu kwahiyo ukishiriki tendo la ndoa wakati yai limetoka maana ake unaongeza nafasi ya kupata mtoto wa kiume

JINSI YA KUPATA MTOTO WA K**E
Ili ufanikiwe kupata mtoto wa k**e utatakiwa ushiriki tendo la ndoa siku tatu kabla ya yai kupevuka yani hapa ni baada ya kujua mzunguko
KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA SIKU TATU KABLA
Hii ni kwasababu chromosome X ambazo ndo zinaunda mtoto wa k**e huwa zina sifa ya kuwa na maisha marefu na kutembea taratibu hivyo yai likitolewa litakuta chromosome X ziko hai

KUNA BAADHI YA WAZEE WA ZAMANI WANAAMINI HAYA KATIKA KUPATA MTOTO WA JINSIA UNAYOTAKA
KUPATA WA K**E
Kula samaki ,mboga za majani,matunda,bidhaa za maziwa,mbegu za matikiti majia na alzeti nk
Wakati wa kufanya tendo la ndoa mwanamke akae juu nk

KUPATA WA KIUME
Kula nyama, ndizi ,Vyakula vya chumvi k**a chips ila usizidishe chumvi,karanga na vyakula vingine vya potassium na sodium
Chromosomes Y zinahitaji pH ya alkane kuliko asidi ndio maana wazee waliona hili
Kuna mengi kuhusu wazee wa zamani ila nmeongelea haya ya mlo kwa maana yana mantiki kibaiolojia

MAMBO YANAYOWEZA ATHIRI KUPATA MTOTO UNAYEMTAKA
1.Kushindwa kuhesabu siku( tumia chart niliyokuwekea)
2.Mzunguko mbovu wa hedhi
3.KUtokuwa na PH sahihi ukeni

22/02/2024

*Wanawake wengi sana wanasumbuliwa na ugonjwa hatarishi wa PID bila kufahamu kwani Mara nyingi wakienda hospitali wataaambiwa wana U. T.I na fungus*

*Ukweli ni kwamba ni P.I.D - Ni maaambukizi ya bacteria katika via vya uzazi vya mwanamke..kirefu chake ni PELVIC INFLAMATORY DISEASE*..

VIASHIRIA VYA UGONJWA HUU NI

👉Kutokwa na Uchafu sehemu za siri k**a mtindi,mweupe,cream,njano,kijani au brown,na wakati mwingine unachanganyika na damu

👉kuwashwa ukeni

👉kutoa harufu mbaya sehemu za siri

👉kupata maumivu chini ya kitovu wakati wotee

👉kupata maumivu makali wakaati wa tendo la ndoa

👉Hedhi kuvurugika

👉Maumivu wakati wa kukojoa

MADHARA YA UGONJWA HUU UKIKAA MUDA MREFU NI .?

*Tatizo hili limekuwa likiua ndoto za wanawake wengi pindi wanapohitaji kuwa & watoto au familia kwani Madhara ya tatizo hili ni*

👉kushindwa kupata ujauzito

👉Mimba kuharibika mara kwa mara

👉Mimba kutunga nje ya kizazi

👉kupata saratani ya CERVIX shingo ya kizazi

👉mirija ya uzazi kuziba

👉mirija ya uzazi kujaa maji

👉mirija yako kuharibika kabisa

👉kupata tatizo la hormone inbalance..

👉kuwa mkavu Ukeni ambapo inakusababishia maumivu wakati wa tendo la ndoa

👉kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa

N.b *Sio kila uchafu unaotoka ukeni ni Fungus au U.T.I pekee kuwa makini ,Kwa ushauri na matibabu wasiliana nasi*
Kwa mawasiliano no; 0656002345

20/02/2024

KWANINI MWANAMKE UTUMIE FERMINE CLEANSER ..

Ni mchanganyiko wa mafuta & madini ya asili ,na Ina uwezo mkubwa Sana wa kurudisha na kuongeza kinga kwenye uke kwa kuzalisha bacteria waziri wanaolinda uke ( Normal Flora )

FAIDA ZA KUTUMIA FERMINE CLEANSER

👉Huondoa UTI & Fungus zenye kujirudia Mara kwa Mara

👉Huondoa tatizo la harufu mbaya na muwasho

👉Huondoa na kukinga tatizo la Kutokwa na uchafu

👉Husafisha mirija ya uzazi hivyo huweka urahisi katika unasaji wa mimba

👉Inafanya uke kuwa msafi & harufu nzuri

👉Huzuia na kuondoa bacteria wanaosababisha Magonjwa ya wanawake

Ili kuipata wasiliana nasi kwa namba

0656002345

👉Pia tunatoa ushauri na matibabu kwa wenye matatizo ya P.I.D , Hormonal inbalance , U.T.I & Fungus sugu , Matatizo ya Hedhi , Mimba kuharibika mara kwa mara , Kukosa ujauzito & Mengineyo mengi ..

Namba zetu ni
0656002345

Tunapatikan
Arusha _ Mega complex

18/10/2023

FAHAMU MADHARA YA PUNYETO KWA MWANAMKE

FAHAMU MADHARA AU ATHARI PUNYETO KWA MWANAMKE.

_Mara nyingi tumekuwa bize tukizungumzia madhara au athari za kujichua kwa wanaume bila kuzungumzia madhara hayo kwa wanawakee.

_Ukweli ni kuwa wanawake nao wanajichua au wanapiga punyeto k**a wanaume na kitendo hicho kina madhara kiafya k**a ilivyo kwa wanaume hivyo kukaa kimya bila kulizungumzia hilo ni kutowatendea hakii.

🤏HAYA NI BAADHI YA MADHARA ANAYOWEZA KUYAPATAA MWANAMKE ALIYEJICHUA AU KUPIGA PUNYETO.

👉Inaweza kuharibu kizazi chakoo.

👉Inakufanya uwe na uke kuwa mlegevu yaani mtepeto.

👉Inapelekea uke wako kukosa ladha hivyo itapelekea kukimbiwa na mume wako.

👉Inakufanya kuwa na hasiraa za marakwamara zisizo na sababu.

👉Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukizoea sana itakupelekea kufanya mapenzi na jinsia mojaa.

👉Utakaposhiriki tendo la ndoa na mwanaume utachelewa sana kufika kileleni.

👉Inakupotezea hisiaa,inakufanya ukose hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

👉Hupelekea uke kutoa majimaji mara kwa mara au maji yale ambayo hutokea bila ya tendo la ndoa kutowepo hivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

👉Huwezi kujua raha ya tendo la ndoa ukizoea sana punyeto.

👉Inakuletea maumivu ukeni yasiyo na sababu.

👉Inakufanya uwe mvivu wa kufanya tendo la ndoa.

* Kwa mawasiliano 0656002345

AFYA SALAMA HUKAA KATIKA MWILI SALAMA IJAL AFYA YAKO.

13/10/2023

Unajua hedhi Bora ni ipi? "Jifunze leo"?

1. Hupatikana Mara moja ndani ya mwezi mmoja na sio Mara mbili.
2. Hedhi bora haina maumivu ya kumfanya mtu ashindwe kufanya kazi.
3. Hupatikana kwanzia siku tatu(3) mpaka Saba(7).
4. Haina uzito na wala mabonge mabonge( maini au mapande) yoyote.
5. Haitoki K**a vitone vitone na wala haina miwasho.
6. Sio nyingi ya kukufanya ubadilishe pedi Mara kwa Mara na wala haina utelezi wowote.
7. Haibadiliki tarehe kwa zaidi ya siku saba kwa kuwahi au kuchelewa.

Je unapata hedhi bora? K**a hupati piga namba hizi au whatsap 0656002345

11/10/2023

😭 SABABU ZA KUWASHWA UKENI..

👉Kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani bila kujali jinsi, muwasho unaweza kuwa umesababishwa na ugonjwa wa ngozi, zinaa au mzio.

1️⃣ (Allergy) Muwasho huongezeka pale unapokaa na kukiwa na unyevunyevu.

👉Kinachosababisha muwasho katika sehemu za siri za mwanamke ni maambukizi ya fangasi ukeni, kuvimba uke wakati wa hedhi , tatizo la shingo ya kizazi, wasiwasi, tatizo la mfumo wa kinga na kisukari.

👉Maambukizi ya fangasi ni moja ya tatizo kwa wanawake linalosumbua.

👉Tatizo hili husababishwa na fangasi
Dalili kuu ni kuwashwa ukeni, kuvimba na kutoa uchafu mweupe k**a maziwa.

🧏‍♂️ Nini cha kufanya?

1️⃣ Weka sehemu za siri katika hali ya usafi na ukavu, kwa maana unyevunyevu unaweza kusababisha maambukizi.

2️⃣ Vaa nguo isiyobana sana, iliyotengenezwa kwa vitu asilia k**a pamba.

3️⃣ Badili nguo ya ndani angalau kila siku.

4️⃣ Kila baada ya kukojoa au kujisaidia haja ndogo kuosha sehemu za siri kuanzia mbele yaani ukeni na baadaye nyuma kwenye haha kubwa
0656002345

10/10/2023

Ovarian cyst ni Uvimbe WA maji maji unaotokea kwenye yai la UZAZI kwa mwanamke ( O***y) pamoja na ukuta unaozunguka maeneo ya yai. ☘️☘️ ZIFUATAZO NI BAADHI YA SABABU ZINAZOPELEKEA ( Ovarian cyst) 1️⃣Matumizi ya kukithiri ya Dawa ya kusaidia kuchavusha YAI .mfano dawa ya Clomiphene 2️⃣ MABADILIKO KATIKA VICHOCHEO ( HORMONAL CHANGES). 3️⃣ Kupotea Kwa uwiano sawa WA Vichocheo VINAVYOHUSIKA na uandaaji pamoja na kuratibu mwenendo wa UZAZI Kwa MWANAMKE ( HORMONAL IMBALANCE) 4️⃣MARADHI SUGU pamoja na MAAMBUKIZI YANAYOSHAMBULIA MFUMO WA UZAZI KWA MWANAMKE ( PID). 5️⃣ Historia ya ovarian cyst katika familia. 6️⃣MATUMIZI YA HOLELA YA P2, 7️⃣Kuziba Kwa MIRIJA ya UZAZI kutokana MAGONJWA ya ZINAA, UTOAJI Mimba HOLELA na nk 8️⃣Mtindo mbovu WA MAISHA, lishe DUNI, uzito ULIOKITHIRI, UTUMIAJI WA VILEVI, SIGARA na madawa

☘️🍃🌳 wasiliana nasi kwa huduma Maalum ya VIPIMO pamoja na ya KIMATIBABU 0656 002 345

15/08/2023

Najiskia Raha mie kupata nrejesho kutoka kwa watu niliowahudumia jaman 😘😘🔥🔥

15/08/2023

Mrejesho from my customer 🔥🔥🔥🔥

15/08/2023

Madhara ni mengi ambayo yanatokea endapo mtu utazembea kujitibu so usichukulie pw Kinga ni Bora kuliko tiba

15/08/2023

Karibu upate cleanser nzry ya kujisafishia isiyo na madhara kabisa na ambayo itakukinga dhidi ya magonjwa K**a Uti,PID,fangas suluhisho lipo na kwa Bei nafuu sanaaa
0656002345

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00