SIMBA TV

SIMBA TV

Share

THE AM OF THIS PAGE IS TO GIVE OUT THE UPDATES OF OUR TEAM SIMBA SPORT CLUB ......SIMBA NGUVU MOJA�

01/08/2023

🛫 Ankara 🛬 Istanbul 🛫 Muscat 🛬 Dar es Salaam.

Safari ya kurudi Tanzania 🇹🇿 inaanza.

01/08/2023

BUZA KUMENOGA: Matukio mbalimbali katika picha kutokea Buza ambako Simba SC inazindua hamasa ya kuelekea Agosti 06, 2023.

Endelea kuwa karibu na chaneli yetu ya


01/08/2023

✍️Baadhi ya Wachezaji Wa Simba Jana Walifanikiwa kufanyiwa Medical Check Up Ili kujua Afya Zao Kutokana na Kuchelewa Kuwasili Kambini hii ilisababishwa na Mambo ya Usajili Na Wengi Waliofanyiwa Walikuwa ni Wachezaji Waliosajiliwa na Klabu hiyo!

Awamu ya kwanza Ilifanyika Kwa Waliokuepo walifanyiwa Kabla ya Kuwasili Kambini!

Klabu Kubwa Mambo Makubwa 🙌

31/07/2023

💥💥

18/07/2023

Kramo atambulishwa kwa wachezaji wenzake tayari kwa kujiunga na mazoezi ya pamoja ..SIMBA NGUVU MOJA

15/07/2023

Msijifanye bize na huo usajili wenu wa kho! kho! kho! kho! yao! yao! leo mmecheza mechi ya kirafiki na mmekandwa!!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


9999
Arusha