J SPORT

J SPORT

Share

Ukurasa huu unahusisha machapisho ya habari za michezo na burudani

15/10/2025





Share, repost, like acha dunia ijue serikali ya watekaji hii inawajibu wa kumwachia huru Polepole

22/08/2024

weka page yako
Tukufollow

09/09/2022

𝗕π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š π—‘π—˜π—ͺ𝗦: Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza michezo yote ya Ligi kuu England Wikendi hii imeahirishwa kuheshimu maisha ya Malkia na mchango wake kwa Taifa hilo.

Awali Serikali ya Uingereza iliziambia ligi za soka Nchini humo kwamba michezo inaweza kuendelea lakini uamuzi huo umefikiwa katika mkutano wa vilabu vya Ligi Kuu uliofanyika asubuhi ya leo Septemba 9, 2022.

Mtumbard TZ
Mtumbard TZn ThEvents In The StudiumiEvents In The StudiumEvents In The StudiumEvents In The Studium

06/09/2022

Club ya Simba SC imetangaza kumfuta kazi Kocha wake Mkuu Raia wa Serbia Zoran Maki kwa makubaliano ya pande zote mbili, Zoran anaondoka Simba SC baada ya kudumu kwa siku 57 toka alipotambulishwa rasmi July 12,2022.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Arusha