Football Dictionary

Football Dictionary

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Football Dictionary, Sports, Arusha.

Our service is to provide sports updates & news
The goal is to preserve sporting events in one place as memory
*Football dictionary Youtube*
https://www.youtube.com/channel/UCTHX0XbXb28rR7GrcJiCJKw

footballdictionary463550034.wordpress.com 02/08/2021

Timu lille yaibuka mshindi wa kombe la (Trophée des Champions)kwa bao 1-0 dhidi ya Paris Saint-Germain Kiungo wa kati wa timu ya lille xeka mwenye umri wa miaka 26 mwenye uraia wa ufaransa na mfungaji wa bao katika dakika ya 30 ya mchezo na kuifanya lille kushinda fainali kombe la (Trophée des Champions) kwa bao 1-0 dhidi ya PSG...

footballdictionary463550034.wordpress.com Timu lille yaibuka mshindi wa kombe la (Trophée des Champions)kwa bao 1-0 dhidi ya Paris Saint-Germain Kiungo wa kati wa timu ya lille xeka mwenye umri wa miaka 26 mwenye uraia wa ufaransa na mfung…

TIMU YA CHELSEA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2-1 DHIDI YA ARSENAL KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KWENYE UWANJA WA EMIRATES HUKO LONDON 01/08/2021

Kai Havertz aliifungia chelsea goli la kwanza katika dakika ya 26 ya mchezo akipokea pasi nzuri kutoka kwa Timo werner na kufunga goli kwa shuti kali lililompita goli kipa wa arsenal Bernd leno Tammy abraham akiwatoroka mabeki wa timu ya arsenal kai havertz Granit Xhaka aliifungia Arsenal bao la kusawazisha katika dakika ya 69 kwa kichwa kutoka kwa krosi ya Nicolas Pepe....

TIMU YA CHELSEA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2-1 DHIDI YA ARSENAL KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KWENYE UWANJA WA EMIRATES HUKO LONDON Kai Havertz aliifungia chelsea goli la kwanza katika dakika ya 26 ya mchezo akipokea pasi nzuri kutoka kwa Timo werner na kufunga goli kwa shuti kali lililompita goli kipa wa arsenal Bernd leno Tam…

RATIBA NA MATOKEO YA MECHI ZA KIRAFIKI TIMU ZA LIGI KUU YA UINGEREZA (PRE SEASON) 30/07/2021

Arsenal Hibernian 2-1 Arsenal - Tuesday July 13, Easter Road Arsenal 4-1 Millwall - Saturday July 24, London Colney Arsenal 4-1 Watford, Wednesday July 28, London Colney Aston Villa Walsall 0-4 Aston Villa - Wednesday July 21, Banks's Stadium Stoke 2-0 Aston Villa - Saturday July 24, Bet365 Stadium Aston Villa vs Nottingham Forest - Wednesday July 28 - cancelled…...

RATIBA NA MATOKEO YA MECHI ZA KIRAFIKI TIMU ZA LIGI KUU YA UINGEREZA (PRE SEASON) Arsenal Hibernian 2-1 Arsenal – Tuesday July 13, Easter Road Arsenal 4-1 Millwall – Saturday July 24, London Colney Arsenal 4-1 Watford, Wednesday July 28, London Colney Aston Villa Wal…

MANCHESTER UNITED IMETHIBITISHA MAKUBALIANO YA BEKI VARANE KWA PAUNI MILIONI 41 OLD TRAFFORD 27/07/2021

Klabu hizo mbili zimetangaza kuwa beki huyo mwenye umri wa miaka 28 atahamia Ligi Kuu ya Uingereza maarufu k**a (Premier League),Manchester United wamethibitisha makubaliano na Real Madrid kuhusu kumsajili Raphael Varane.Beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 28 atakuwa ni saini kubwa ya pili ya Ole Gunnar Solskjaer wa msimu wa joto baada ya kuwasili kwa Jadon Sancho mapema mwezi huu....

MANCHESTER UNITED IMETHIBITISHA MAKUBALIANO YA BEKI VARANE KWA PAUNI MILIONI 41 OLD TRAFFORD Klabu hizo mbili zimetangaza kuwa beki huyo mwenye umri wa miaka 28 atahamia Ligi Kuu ya Uingereza maarufu k**a (Premier League),Manchester United wamethibitisha makubaliano na Real Madrid kuhusu k…

26/07/2021

SIMBA YATIMIZA LENGO, YATWAA UBINGWA WA FA

Simba imetawazwa mabingwa wa Michuano Azam Sports Federation Cup baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Yanga(1-0) katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika(Kigoma).
Simba wametwaa ubingwa wa Azam Sports Federation Cup pamoja na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara
Goli la simba lilifungwa dakika ya 77 na kiungo Taddeo Lwanga kwa kichwa baada ya kumalizia mpira wa kona uliopigwa na Luis Miquissone.

Photos from Football Dictionary's post 22/07/2021

NEW AWAY KIT 2021/2022
1. Totenham spurs
2. Inter milan
3.Paris saint german

22/07/2021

JE WAJUA?
Pedro anabaki kuwa mchezaji pekee katika historia kushinda mataji na makombe mengi yakiwemo👉️ Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ligi ya Europa, Kombe la Super European, Kombe la Dunia la Klabu, EURO na Kombe la Dunia. 🏆

21/07/2021

BREAKING NEWS

SWANSEA CITY IMETHIBITISHA KUWA KOCHA MKUU STEVE COOPER AMEAMUA KUACHANA NA KLABU HIYO.

STEVE COOPER alisema:
"Ninajivunia sana kile tulichofanikiwa katika misimu miwili iliyopita, haswa kufika fainali ya mchujo, lakini nahisi k**a ni wakati mzuri wa pande zote kufanya mabadiliko.

SWANSEA CITY:"Ni klabu ya kupendeza, na ina wafuasi wa kila aina, Na ninawashukuru sana wachezaji wa timu na wafanyikazi wote kwa ushirikiano wenu. Ninaitakia timu mafanikio mema kwa siku zijazo"

16/07/2021

OLIVIER GIROUD ANAENDELEA NA MATIBABU NA AC MILAN KABLA YA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI NA KLABU HIYO YA SERIE A.

Mshambuliaji wa Chelsea Olivier Giroud amewasili kwenye kliniki ya La-Madonnina milan huko nchini italia karibu saa nne asubuhi kwa saa za KIITALIANO.
Mshambuliaji huyo atasaini mkataba wa kuichezea Ac Milan kwa miaka miwili, na ada ya uhamisho karibu (£855,000), pamoja na (£855,000) k**a bonasi ambayo jumla itakamilika € 2million
AC Milan tayari wamemsainisha Fikayo Tomori kutoka Chelsea msimu huu wa joto, kwani walianzisha chaguo lao la pauni milioni 25 kumnunua mlinzi huyo.
Klabu ya Italia AC MILAN ilimaliza ya pili kwenye Serie A msimu uliopita, ikipata kurudi kwa Ligi ya Mabingwa kufuatia kutokuwepo kwa miaka saba.

16/07/2021

Lionel Messi: MSHAMBULIAJI WA BARCELONA AMEKUBALI KUONGEZEWA MKATABA NA KUPUNGUZA ASILIMIA 50 YA MSHAHARA WAKE KWA KUSHINDWA KULIPA ADA YA KIFUNGO CHAKE HUKO UHISPANIA

Lionel Messi Mshindi mara sita wa tuzo ya Ballon d'Or alikaribia kuondoka Nou Camp msimu uliopita wa joto baada ya kutoa ombi la uhamisho lakini ilishindikana kuondoka kwasababu ya kushindwa kulipa ADA ya kifungu chake huko Uhispania kiasi cha € 700million. Mshahara wa mshambuliaji huyo wa Argentina utapunguzwa kwa asilimia 50 chini ya makubaliano mapya

MESSI ""akiongea na wanahabari:""
" sababu ninakaa kwenye klabu Sasa ninakaa kwa sababu rais aliniambia kuwa njia pekee ambayo ningeweza kuondoka ni kwa kulipa kifungu cha kutolewa cha € 700m, ambayo haiwezekani."

Photos from Football Dictionary's post 14/07/2021

UHAMISHO WA JADON SANCHO:WINGA WA BORUSSIA DORTMUND WA PAUNI MILLION 73 KWENDA MANCHESTER UNITED

Man Utd italipa Borussia Dortmund pauni milioni 73 kwa Jadon Sancho, ambaye tayari amekubali masharti ya kibinafsi; Sancho alikuwa mmoja wa wachezaji watatu wa England kukosa penati katika kupigwa kwa mikwaju ya penati Jumapili dhidi ya Italia huko Wembley, pamoja na mwenzake wa siku zijazo Marcus Rashford wa manchester united na Bukayo Saka wa Arsenal.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Arusha
00000