06/05/2026
KOCHA YANGA ATIMULIWA
Tetesi na habari mbali mbali kuhusu mpira wa miguu
06/05/2026
KOCHA YANGA ATIMULIWA
MATOKEO UEFA CHAMPIONS LEAGUE JANA
FT: ATLETICO MADRID 1-2 BARCELONA SC (3-2 ON AGGREGATE)
FT: LIVERPOOL 0-2 PSG(0-4 AGGREGATE)
RATIBA YA LEO: UEFA CHAMPIONS LEAGUE
ARSENAL VS SPORTING LISBON
BAYERN MUNCHEN VS REAL MADRID
06/02/2026
Burkina Faso wanajenga Uwanja ambao unafanana kila kitu na Uwanja wa Amani Complex Zanzibar. Uwanja wao unatarajiwa kukamilika mwezi wa nne mwaka huu
06/02/2026
FOUNTAIN GATE WAHAMIA ARUSHA, WAIKACHA MANYARA
03/01/2026
EXCLUSIVE: Edwin Balua anaelekea Saudi Arabia ๐ธ๐ฆ
Makubaliano yamefikiwa na masharti binafsi yamekubaliwa kikamilifu. โ
Simba SC wamekubali ofa ya mkopo kutoka klabu ya Al-Entesar.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22 anatarajiwa kusafiri kwenda Saudi Arabia Jumanne ili kukamilisha taratibu na kutambulishwa rasmi. Ukurasa mpya umefunguliwa kwa mmoja ya washambuliaji vijana wanaosisimua zaidi barani Afrika. ๐โฝ
01/01/2026
Sudan wamefanikiwa kufuzu kwenda Hatua ya 16 Bora bila kufunga hata bao moja lililofungwa na mchezaji wao.
Ushindi wao pekee ulikuwa dhidi ya Equatorial Guinea, na ulipatikana kupitia bao la kujifunga.
Urithi wa soka Afrika. Uchawi wa AFCON. Chochote kinaweza kutokea. โฝโจ
01/01/2026
DRAW YA AFCON Raundi ya 16 Bora๐จ
Hatua ya mtoano 16 Bora iko tayari, kosa moja tu umeaga mashindano.
๐ฒ๐ฆ Morocco ๐ Tanzania ๐น๐ฟ
๐ฒ๐ฑ Mali ๐ Tunisia ๐น๐ณ
๐ฉ๐ฟ Algeria ๐ DR Congo ๐จ๐ฉ
๐ช๐ฌ Egypt ๐ Benin ๐ง๐ฏ
๐ธ๐ณ Senegal ๐ Sudan ๐ธ๐ฉ
๐ณ๐ฌ Nigeria ๐ Mozambique ๐ฒ๐ฟ
๐จ๐ฎ Cรดte dโIvoire ๐ Burkina Faso ๐ง๐ซ
๐ฟ๐ฆ South Africa ๐ Cameroon ๐จ๐ฒ
Je, Stars itaweza kuukwaa mfupa mgumu wa Morocco? Toa maoni yako ๐ฅ
01/01/2026
Big thanks to Jackson J. Luhweja
for all of your support! Congrats for being top fans on a streak ๐ฅ!
10/02/2025
MATOKEO โฝ
FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga SC.
FT: KMC 2-0 Singida BS
10/11/2024
Big shout out to my newest top fans! ๐ Jackson J. Luhweja
Drop a comment to welcome them to our community, fans