MyHealth my weath

MyHealth my weath

Share

Am. Mr.health nawasaidia wote wenye changamoto za afya kwa kutumia viinilishe toka america

05/09/2025

Njia sahihi za kujiepusha na maambukizi ya njia ya mkojo (UTI):

✅ 1. Kunywa maji ya kutosha
- Kunywa angalau glasi 6–8 za maji kwa siku kusaidia kusafisha bakteria kwenye kibofu.

✅ 2. Usijizuie mkojo kwa muda mrefu
- Jisaidie mara tu unapohisi kukojoa. Kujizuia mkojo huongeza uwezekano wa bakteria kuzaliana.

✅ 3. Jisafishe kwa usahihi
- Baada ya kujisaidia, safisha kuanzia mbele kwenda nyuma (hasa kwa wanawake) ili kuepuka kupeleka bakteria kutoka sehemu ya haja kubwa hadi njia ya mkojo.

✅ 4. Epuka sabuni na dawa zenye kemikali kali
- Usitumie sabuni au dawa za kusafisha sehemu za siri zenye manukato au kemikali — zinachochea maambukizi

✅ 5. Kojoa baada ya tendo la ndoa
- Husaidia kutoa bakteria walioweza kuingia wakati wa tendo la ndoa.

✅ 6. Vaa nguo za ndani zilizotengenezwa kwa pamba
- Zinasaidia sehemu za siri kuwa kavu na kuzuia ukuaji wa bakteria. Epuka chupi zinazobana sana au za
- call 0693721011 kupata tiba ya uhakika na ushauri zaidi

21/08/2025

UMUHIMU WA KUFANYA DETOXIFICATION (kutoa sumu)
✅ 1. Huongeza Nguvu na Mvuto wa Mwili

Detox huondoa sumu zinazochangia uchovu na kutojisikia vizuri. Baada ya detox, mtu huhisi mchangamfu, mwenye nguvu na mwenye ari mpya.

✅ 2. Huimarisha Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula

Inasaidia kuondoa taka tumboni na kurejesha utendaji mzuri wa tumbo, ini, na utumbo mpana. Hii husaidia kupunguza gesi, kuvimbiwa na kuharakisha mmeng’enyo.

✅ 3. Huimarisha Ngozi na Muonekano wa Nje

Ngozi husafishwa kutoka ndani kwa ndani. Hii huchangia kupunguza chunusi, madoa, na kuifanya ngozi kung’aa.

✅ 4. Huongeza Kinga ya Mwili

Kwa kuondoa sumu zinazolemaza mfumo wa kinga, detox husaidia mwili kupambana na magonjwa kwa ufanisi zaidi.

✅ 5. Husaidia Kupunguza Uzito

Detox inaweza kusaidia mwili kuchoma mafuta kwa haraka, hasa ikiwa unasindikizwa na lishe bora. Pia hupunguza hamu ya vyakula visivyo na afya.

✅ 6. Huondoa Msongo wa Mawazo

Baadhi ya sumu mwilini huathiri hata mfumo wa fahamu. Detox huweza kusaidia kuweka akili sawa, kupunguza huzuni
Karibu kwa mawasiliano zaidi
WhatsApp 📞0693721011
Normolcall📞0693721011
mwili afya yako es salaam na viunga vyote

14/08/2025
13/08/2025

*Umuhimu wa tunda la kiwi kwa afya ni mkubwa sana.* Hapa kuna faida kuu:

1. *Lina vitamini C nyingi*
🕯️Husaidia kuongeza kinga ya mwili.
🕯️Huchangia ngozi kuwa na afya na mng’ao.

2. *Husaidia mmeng’enyo wa chakula*
🕯️Lina nyuzinyuzi (fiber) nyingi zinazosaidia kumaliza choo kwa urahisi.
🕯️Lina enzyme iitwayo *actinidin* inayosaidia kuvunjavunja protini tumboni.

3. *Hulinda moyo*
💡 Hupunguza shinikizo la damu.
💡Husaidia kupunguza mafuta mabaya (cholesterol).

4. Hulinda macho
💡Lina *lutein na zeaxanthin* ambazo ni muhimu kwa afya ya macho.

5. *Husaidia usingizi bora*
💡Tafiti zinaonyesha kula kiwi kabla ya kulala husaidia kulala haraka na usingizi wa kina.

6. *Ni chanzo kizuri cha madini*
💡 K**a *potassium*, *folate*, *vitamini E*, na *vitamini K*.

tips÷
ANZA LEO KUTUMIA CHAKULA K**A DAWA KABLA YA KUANZA KUTUMIA DAWA K**A CHAKULA
Kwa ushauri,matibabu wasiliana nasi hivi leo 0693721011

01/08/2025

MATIBABU YA PRESHA_ TUMIA MICRO2 CYCLE NA RELVIN TEA NA
PURE & BROKEN KUTIBU NA KUPONA KABSA
TATIZO LA PRESHA
FAIDA ZA MICRO2 CYCLE TABLETS & PURE
• Huzuia Damu kuwa nzito isivyo kawaida
• Husaidia damu kuzunguka kwenye mishipa (capillary) kwa urahisi
• Ni nzuri kwa kukinga na kuondoa stroki,Pumu, Presha na kupona kabsa
• Inasaidia oxygen na virutubisho kusambazwa kwa urahisi /Huzuia KUSINYAA KWA MISHIPA YA DAMU
• Huongeza ufanisi wa mwili kuweza kujiponya wenyewe
• Huondoa mafuta ya Lehemu( Cholestral) kwenye kuta za mishipa ya damu
• Huongeza ufanisi wa macho kuona vizuri
Huzuia kuganda kwa damu
• Huondoa maumivu ya miguu yanayotokana a kuziba kwa mishipa midogo.
• Huimarisha mfumo wa Neva ...
• NZURI KWA WASIOPATA USINGIZI
• Nzuri kwa wenye MAUMIVU YA KICHWA MARA
KWA MARA

30/07/2025

Mtu mwenye ugonjwa wa bawasiri (hemorrhoids) anaweza kupata madhara mbalimbali, hasa k**a tatizo halitapewa matibabu mapema. Madhara haya yanaweza kuwa ya kimwili na ya kisaikolojia pia. Hapa chini ni baadhi ya madhara yanayoweza kumpata mtu mwenye bawasiri:

🩸 1. Kutokwa na Damu Wakati wa Kujisaidia

Hili ni dalili na pia madhara makubwa. Damu hutoka wakati wa kujisaidia hasa ikiwa bawasiri ni ya ndani (internal hemorrhoids).

Inaweza kupelekea upungufu wa damu (anemia) endapo hali hii itaendelea kwa muda mrefu.

🔥 2. Maumivu Makali na Kujisikia Kuungua

Hasa kwa bawasiri ya nje (external), mgonjwa hupata maumivu, kuchoma au kuungua sehemu ya haja kubwa.

💨 3. Kuwashwa na Maambukizi

Ngozi ya sehemu ya haja kubwa huweza kuwashwa sana na wakati mwingine kupata maambukizi ya bakteria kutokana na kujikuna au kushindwa kujisafisha vizuri.

🚽 4. Kushindwa Kujisaidia Vizuri

Mgonjwa huweza kuhisi haja lakini anapata shida kujisaidia au kuogopa kwa sababu ya maumivu.

13/05/2025

Ubora wa tendo la ndoa unapungua sana kwa wanaume wengi na hii ni kwa sababu ya mfumo wa maisha

# Msongo wa mawazo
# Aina ya vyakula na vinywaji
# Ulevi na sio unywaji
# Matumizi ya dawa za kubust
# Kujichua
# Kuangalia video na picha za uchi
# magonjwa sugu
# matumiz ya madawa mbalimbali kiholela

Dalili zinazowasumbua wengi ni k**a hizi

@ kushindwa kusimamisha uume vzr
@ kwenda bao moja na kushindwa kurudia kwa wakati
@ uume kulegea ktkt ya safari
@ kushindwa kufika kileleni kwa wakati
@ kukosa ladha ya tendo na kupoteza ham haraka
@ mbegu chache na nyepesi ambazo haziwezi kurutubisja yai ka mwanamke

Kwa kawaida mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na wanawake watatu tofauti kila siku na wote wakarizika lakini hii kwa sasa ni uongo

Sasa basi usiogope na kukosa amani na kushusha heshima yako na wanaume wote kwa ujumla, njoo bright future tukupatie virutubisho tiba visivyo na kemikali vitakusaidia kuboresha mfumo na urudi sawa bila kuathiri afya yako

Tupo nchi nyingi kwa tz tupo mikoa mingi nipigie au piga
0693721011

06/05/2025

UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE

Siri ya mwanamke kuonekana mrembo na kijana kuondoa chunusi, mabaka, makunyanzi ya usoni na ung'arisha ngozi kwa njia ya Asili.

FEMINERGY CAPSULE* Imetengenezwa kiasili na kwa kiwango cha hali juu cha mbegu za zabibu ambazo hujulikana kuwa na kiwango kikubwa kinachopambana ba uzee kinachoitwa PROANTHOCY ANIDISM(OPC)

_Kazi ya feminergy_
➡Huondoa makunyanzi.
➡Huondoa makovu yaliyo achwa na chunusi.
➡Hung'arisha ngozi na kuondoa mabakaa yasiotakiwa.
➡Huifadhi unyevu wa ngozi.
➡Huzuia magonjwa yaletwayo na umri k**a kansa, kisukari, Magonjwa ya moyo, Macho na Alzheimer's (Watu wazima kupoteza kumbukumbu) Huifanya Organi zako kufanya kazi bila kuzeeka mapema.

_Faida za feminergy_
°Husaidia mishipa ya damu itanuke na kusinya hivyo kuiwezesha presha ya damu.
°Husaidia madhara ya mionzi ya jua, simu, Tv na mionzi mingine mwilini mwako.
°Husaidia kupambana na Allegy, Athma na mwili kukosa Nguvu.

Kwa nini uchague feminergy
--->Ni ya Asili.
Imetengenezwa na mbegu za MIMEA mbali mbali pamoja na amatunda.

NOTE: Leo inapatikana Kwa KWA BEI YA PROMOTION
Call 0693721011

21/04/2025

CONSTIRELAX ( constipation relaxation) ni dawa ya asili iliyotengenezwa na mitishamba kwa ajili ya kupunguza, kutuliza na kuponya shida ya kukosa choo na kutatua shida ya choo kigumu. 👉imetengenezwa na *fructo-oligosacharide.( FOS) - husaidia kuzalishwa kwa bacteria wanaosaidia kuneng'enya chakula, -husaidia mtumbo mdogo kunyanyo virutubisho sahihi kutoka kwenye chakula, *radix astragali extract - inaongeza kinga ya mwili, - hutoa sumu na kuondoa tatizo la cancer. - hupunguza na kuondoa maumivu mwilini.

FAIDA ZA CONSTIRELAX*
○ Inasafisha tumbo vizuri mno na kuondoa hali ya kuvimbiwa (constipation)
○ Inaondoa sumu zote tumboni
○ Inaondoa dalili za Bawasiri sugu (Acute Hemorrhoids) k**a kuvimba, kutoka damu.
○ Inaboresha mzunguko wa maji maji mwilini na kuondoa viuvimbe vinavyo sababishwa na maji maji.
○ Inasaidia kutibu aina mbali mbali ya vidonda vya tumbo (Peptic & Gastric)
○ Tiba nzuri ya Mawe kwenye figo.
○ Inaboresha ngozi yako kwa kuondoa sumu ndani.
○ Inaondoa gesi na uchafu wote usiotakiwa tumboni.
Call 0693721011

19/04/2025

*JE, NJIA ZA KUSAMBAA KWA P.I.D NI ZIPI??.*

P.I.D husambazwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa 👇;
~Njia ya ngono au kuchangia nguo za ndani.
~Mtu anaweza pia kupata ugonjwa huu kwa kutoa ujauzito(Abortion),
~kuharibika kwa ujauzito au baada ya kufanyika kwa utaratibu wowote ule unaofungua via vya uzazi.
~ Kaswende, kisonono, fangasi sugu pamoja U.T.I SUGU pia husababisha PID.
~ Kutosafishwa vizuri baada ya mimba kutoka.
~Kuweka njiti za kuzuia mimba
~ Matumizi ya kuzuia mimba kiholela.
~ Ulaji mbovu na kutozingatia usafi.
~Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
*Kumbuka🤏,* Mwanaume hawezi kuugua PID lakini HUWEZA kubeba vimelea hawa kwenda mwanamke. Akibeba BACTERIA HAWA KWA MUDA MREFU HUWEZA KUSABABISHA MAGONJWA YA NGONO, UTI SUGU N.K.

*DALILI ZA PID NI ZIPI??.*
Dalili za ugonjwa huu hutofautiana kulingana na hatua husika. Siyo kila mwanamke huonesha dalili za kufanana na mwingine.
Pamoja na uwepo wa tofauti hizi, dalili za ujumla za ugonjwa huu ni;

✅ Maumivu makali sehemu ya chini ya tumbo haswa wakati wa hedhi.
✅ Homa kali
✅ Kutokwa na damu katikati ya mzunguko wa hedhi au kutoka nyingi. Wengine siku zako hupotea kabsa.
✅Mlango wa kizazi huwa mwekundu sana, ambao mara nyingi hutoa uchafu mzito wenye rangi ya njano au mweupe wenye harufu kali sana igawa kuna wengine huwahayana harufu.
✅ Pia maumivu wakati wa tendo la ndoa na maumivu ya kiuno na mgongo mara kwa mara.
✅Kuvurugika Kwa mzunguko wa hedhi
✅ Kutokwa na majimaji mazito ukeni yenye harufu ingawa kuna wengine huwa hayana harufu.
✅Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
Maumivu wakati wa haja ndogo na wakati wa tendo la ndoa.
Baadhi ya wanawake huwa hawaoneshi dalili hii kubwa, na hudhani kuwa wapo sawa kabisa. Changamoto huja wakati wa kutafuta ujauzito, wengi hush*tushwa na ugumu katika kufanikisha zoezi hili.

K**A UNACHANGAMOTO ZA UZAZI KARIBU KWA USHAURI NA TIBA WHATSSAPP/ CALL NUMBER

0693721011

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Arusha