14/05/2026
Baada ya kushinda ubingwa wa ligi kuu Rwanda wamerejea nchini kwao.
Hivi ndivyo klabu ya Al Hilal ilitembelea uwanja wake wa nyumbani baada ya kumaliza ligi kuu ya Rwanda waliyokuwa wakishiriki msimu huu na kuwa mabingwa wa ligi hiyo.
14/05/2026
Baadhi ya vilabu vilivyofungiwa na Fifa kusajili barani Africa.
πͺπ¬ Zamalek SC
π©πΏ ES SΓ©tif
πΉπΏ Pamba Jiji FC
πΉπΏ Young Africans SC
π±πΎ Al Ittihad SC
π§πΌ Sua Flamingoes FC
π²π¦ Olympic Club de Safi
π²π¦ Wydad AC
14/05/2026
Wengi wanafurahishwa na urejeo wa The special one Jose Mourinho pale Real Madrid, makocha na wachezaji wa zamani wameelezea juu ya matumaini yao mazuri kwa Jose Mourinho kuisuka upya Madrid.
Jana Perez aliandika kuwa k**a waliweza kufanya sajili bora akiwataja Figo, Ronaldo, na Beckham wakafanya vizuri pale. Awamu ya pili akawasajili Kaka, Ronaldo na Benzema na wakaja kufanya vizuri kanini ashindwe kufanya hivyo tena?.
Ni wazi Perez anaamini ndani ya kile alichowahi kukifanya kinaishi na anaweza kuijenga Madrid hatari k**a ya siku za nyuma.
Je wewe unaamini kurejea kwa Mourinho ndani ya Madrid itakuwa mwanzo wa Madrid kurudisha makali yake?
Leonard gaba βπΎ
13/05/2026
"Hatujafurahishwa, tumekosa nafasi nyingi hasa kipindi cha pili tulikuwa na nafasi ya sisi kuongeza zaidi ya mabao mawili mengine, hatuna sababu yoyote ya kujitetea zaidi tusonge mbele kwa ajili ya mechi zijazo."
π£οΈAbdi Hamid Moallin kocha mkuu wa Yanga SC.
13/05/2026
MKAKATI WA KUWAZUIA β
K**a siku ngumu kwa upande wa Yanga ni leo kwanza game waliisusa mapema mno baada ya Mwamnyeto kujifunga bao. Dube amecheza k**a timu ilikuwa mazoezini mwisho wa siku wachezaji wanashutuka wapo kwenye mchezo wa ligi kuu tena mchezo unaohitaji alama 3.
Dodoma jiji alikuwa Simba mwenda pole leo akaifata kanuni ya huruma siyo malezi wakaelewa wapinzani wamepotea kipa na beki zake hawana uwepo mchezoni wakaiua game kilahisi sana tena sana.
Maumivu kwa wananchi ni ya pande mbili kwanza unapoteza mchezo wa kwanza katika ligi ambapo unbeaten inazuiliwa pili gap linaweza kupungua ikiwa mpinzani atashinda kesho na kubaki alama 2 π₯΄.
Dodoma jiji wanachukua points 4 nyumbani kutoka kwa Simba na YangaππΎππΎπ₯.
Leonard gaba βπΎ
13/05/2026
LABDA CARDOSO AMEPIGA HESABU ZA JUU.
Ni wazi jana Mamelod Sundown wamepoteza nafasi ya kuwa mabingwa wa Betway Premiership baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Ts Galaxy. Baada ya mchezo mashabiki wa Mamelod Sundown walitoa hisia zao wakitaja kutofurahishwa na uwezo wa Miguel Cardoso.
Maisha ya soka yalivyo ya kushangaza mashabiki wa Mamelod Sundown walikuwa na imani kubwa na Cardoso wakati wanamchukua kutoka Esperance de Tunis baada ya muda mfupi mambo yamebadilika.
Mawazo yangu nahisi Cardoso ameutazama zaidi ubingwa wa klabu bingwa Africa kuliko ubingwa wa ndani mara ya mwisho Mamelod Sundown kubeba ubingwa wa klabu bingwa Africa ilikuwa 2016.
Ikumbukwe aliyechukua nafasi ya Cardoso pale Esperance amekwisha timuliwa baada ya kupoteza ubingwa wa ligi ambaye ni Patrice Beumele Yanga wanamkumbuka sana huyu. Je k**a Cardoso ataifanikisha Sundown kunyakua taji walilo likosa miaka karibia miaka kumi watamtimua kwa kukosa ligi?.
Leonard gaba βπΎ
13/05/2026
ORUMA AWAITA YANGA WAJINGA WAJINGA
"Sasa hivi sio tu Kwenda Jumba la Maaajabu hata wakivalia Kwenye Korido za Maajabu TFF na TPLB chukueni Millioni 30 hizo za watu wajinga wajinga
Note; Anyways nipo zangu Bize natazama Bao la Maajabu la Chama K**a Chakula cha Usiku. Ni K**a Dozi,asubuhi Mchana na Jioni."
βοΈ Ameandika Wilson Oruma
12/05/2026
π¨ Vinicius Jr believes JosΓ© Mourinho's arrival on the Real Madrid bench would be a ππππ πππππ.
He thinks the Portuguese manager would get the team working collectively, El Chiringuito report. π€
Fabrizio βπΎ
12/05/2026
KAMPANY NA RECORD YAKE.
Jumapili ya wiki hii klabu ya Bayern Munich itasherehekea ubingwa wao walioubeba msimu wa ligi kuu Bundesliga 2025/26. Bayern chini ya kocha Vicent Kampany ameweka record ya kihistoria kwa kuchukua ubingwa akiwa amefunga magoli mengi zaidi.
Vicent Kampany ameivunja record ya kocha Hans Flick aliyebeba ubingwa wa Bundesliga na kikosi cha Bayern Munich msimu 2019/20 akifunga jumla ya magoli 100. Msimu huu Kampany ameiwezesha klabu hiyo kufunga mabao 117 ikiwa bado mchezo mmoja kutamatisha ligi hiyo.
Leonard gaba βπΎ.
fans
12/05/2026
Hawa Usm Alger huwa wana hesabu kali sana kucheza kimataifa mpaka hapo nafasi waliyopo lakini wameshapa ticket ya kucheza kombe la shirikisho.
12/05/2026
Jamaa kajiona LULU baada ya Real Madrid kuwa serious nae, amewapa vigezo ambavyo akina Fernando Fernandez, Eduado Fernandez ,Pedro Lopez na Jose Martinez watakaa pembeni kumshauri Perez.
Hataki kupagiwa mchezaji wa kusajili sijui majina makubwa hiyo sio ishu yake.
Hataki kuingiliwa ki maamzi k**a kupanga mikakati ya timu hilo atalisimamia yeye na anasema kazi ya mchezaji ni uwanjani hataki ushauri kutoka kwa mchezaji π€£π€£
Hapa Madrid itanyooka utoto ulizidi vijana walimuona Perez babu