15/11/2022
Kabichi nyekundu inajulikana kuwa na vitamini A mara 10 zaidi na ina madini mengi ya chuma kuliko kabichi ya kijani.
Je unahitaji kabichi hii, tuna mbegu bora kabisa ya kabeji nyeku iitwayo
Wasiliana na team yetu ya mauzo kwenye mkoa wako kwa namba zifuatazo:
Arusha
David Simon +255 762 155 699
Ally Mfaume +255 68 346 3235
Dar es salaam &Zanzibar RBD
Pascal lusolela 0753 564 741
Iringa RBD
Nehemia Gideon 0762 271 632
Morogoro RBD
Wilfred Makange 0676 126 912
Mwanza RBD
Andrew Simon +255 765 982 182
Dodoma PDS
Naiman Mollel 0755 887 732
Tanga / Usambara PDS
Adam Batholomeo 0755 782 300
Mbeya PDS
Faraji M***a 0763 784 809
Masoko
Andrew Mboya 0768 252 447
Business Development Manager -Tanzania
Iddi Haridi 0759 922 889
14/10/2022
Tunapenda kuwatakia wa Tanzania wote heri ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
11/10/2022
with .repost
・・・
🍅🍅🍅Wateja wetu wanaendelea kufaidi nyanya bora kabisa kutoka kwetu.
Aina ya Nyanya ni Uwezo RzF1 kutoka kampuni ya
Kwa mahitaji ya mboga mboga za jumla na reja reja tuwasiliane +255786730511
11/10/2022
with .repost
・・・
Tuna mbegu bora za pilipili mbuzi nyekundu na njano.
Zinavumilia magonjwa
Zinafaa kwenye hali yetu ya hewa
Zinafanya vizuri mazingira yetu
Zina uzao mkubwa
Zina mvuno ulio sawa kwa kipindi kirefu
Mimea inayokua kwa uwiano sawa na kuvunwa sawa hivyo kukupa mavuno mazuri naya kuendelea.
Karibu sana Holland Greentech Tanzania kwa mbegu bora za aina zote za Mboga,pia kwa huduma za ushauri,masoko,kupima udongo na mimea,mifumo ya umwagiliaji na dawa za kibaiolojia ambazo ni salama kwa mazingira.
Karibuni sana.
Usisite kuwasiliana nasi:
Arusha
David Simon +255 762 155 699
Ally Mfaume +255 68 346 3235
Dar es salaam &Zanzibar RBD
Pascal lusolela 0753 564 741
Iringa RBD
Nehemia Gideon 0762 271 632
Morogoro RBD
Wilfred Makange 0676 126 912
Mwanza RBD
Andrew Simon +255 765 982 182
Dodoma PDS
Naiman Mollel 0755 887 732
Tanga / Usambara PDS
Adam Batholomeo 0755 782 300
Mbeya PDS
Faraji M***a 0763 784 809
Masoko
Andrew Mboya 0768 252 447
Business Development Manager -Tanzania
Iddi Haridi 0759 922 889
kenya
04/09/2022
with .repost
・・・
Baada ya kutambua soko linahitaji nini. Lazima mkulima aingie shambani azalishe zao husika ili kufahamu uzalishaji wake na usimamizi wa zao husika.
Picha: Kijana ambaye analima matikiti matamu (sweet melon) eneo la nje na ndani ya kitalu nyumba ili kuweza kutambua tofauti ya uzalishaji wake ndani na nje ya kitalu nyumba ili kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wakulima waweze kuzalisha kwa tija.
01/09/2022
with .repost
・・・
HIFADHI TAREHE 9-9-2022
Kisha ikifika tukutane Kerege- Bagamoyo - Pwani tujifunze pamoja kilimo bora cha nyanya.
Wataalam wetu wataongelea kuanzia uchaguzi wa mbegu mpaka sokoni. Usipange kukosa.
Tuwasiliane kwa nambari
Mkuza biashara kanda ya Pwani na Zanzibar
Pascal Lusolela +255 764 630 339
Meneja wa maendeleo ya Biashara Tanzania
Iddi Haridi Mohamedi +255 759 922 889
26/08/2022
Gamhar RZ F1 ni nyanya kwaajili ya kilimo cha nje na inafanya vizuri zaidi kipindi cha mvua nyingi. Nyanya hii ina matunda makubwa, matunda magumu na yakungaa na bila kusahau ina uzao mkubwa na kuvunwa muda mrefu.
Mawasiliano:
Arusha
David Simon +255 762 155 699
Ally Mfaume +255 68 346 3235
Dar es salaam &Zanzibar RBD
Pascal lusolela 0753 564 741
Iringa RBD
Nehemia Gideon 0762 271 632
Morogoro RBD
Wilfred Makange 0676 126 912
Mwanza RBD
Andrew Simon +255 765 982 182
Dodoma PDS
Naiman Mollel 0755 887 732
Tanga / Usambara PDS
Adam Batholomeo 0755 782 300
Mbeya PDS
Faraji M***a 0763 784 809
Masoko
Andrew Mboya 0768 252 447
Business Development Manager -Tanzania
Iddi Haridi 0759 922 889
09/08/2022
Rijk zwaan imekua mshindi wa kwanza katika kampuni za mbegu kwenye maonyesho ya kilimo ya Nane Nane 2022 kanda ya Kaskazini (Arusha) na mshindi wa kwanza kwa kanda ya kati (Dodoma).
Hongera kwa timu nzima ya Rijk Zwaan na Hollandgreentechtz kwa kushirikiana na wadau wote kwenye sekta ya kilimo
06/08/2022
with .repost
・・・
Nane nane 2022
Mikoa ya Morogoro na Mwanza pia tunapatikana kwenye maonyesho ya nane nane. Fika ujipatie huduma bora kutoka kwa wataalam sahihi. Tuna bidhaa bora kabisa zinazopatikana kwetu tu kwani bidhaa zeto zote tunasambaza na kuuza wenyewe.
Karibuni sana
Tuwasiliane:
Arusha
David Simon +255 762 155 699
Ally Mfaume +255 68 346 3235
Dar es salaam &Zanzibar RBD
Pascal lusolela 0753 564 741
Iringa RBD
Nehemia Gideon 0762 271 632
Morogoro RBD
Wilfred Makange 0676 126 912
Mwanza RBD
Andrew Simon +255 765 982 182
Dodoma PDS
Naiman Mollel 0755 887 732
Tanga / Usambara PDS
Adam Batholomeo 0755 782 300
Mbeya PDS
Faraji M***a 0763 784 809
Masoko
Andrew Mboya 0768 252 447
Business Development Manager -Tanzania
Iddi Haridi 0759 922 889
#882022
05/08/2022
Sherehe za Nane nane bado zinaendelea nchi nzima, katika banda letu la Nanenane Dodoma opposite na Soko la Ndugai ukiingia geti kubwa pita kulia utaona Kitalu nyumba kipo kushoto Karibu na Banda la Dodoma jiji, tumepata fursa ya kutembelewa na RC Rosemary Senyamule na Waziri Mashimba Ndaki kujionea shughuli mbali mbali zinazofanywa na Rijk Zwaan. Karibuni wote…!!!
Mawasiliano:
Arusha
David Simon +255 762 155 699
Ally Mfaume +255 68 346 3235
Dar es salaam &Zanzibar RBD
Pascal lusolela 0753 564 741
Iringa RBD
Nehemia Gideon 0762 271 632
Morogoro RBD
Wilfred Makange 0676 126 912
Mwanza RBD
Andrew Simon +255 765 982 182
Dodoma PDS
Naiman Mollel 0755 887 732
Tanga / Usambara PDS
Adam Batholomeo 0755 782 300
Mbeya PDS
Faraji M***a 0763 784 809
Masoko
Andrew Mboya 0768 252 447
Business Development Manager -Tanzania
Iddi Haridi 0759 922 889
#882022
03/08/2022
with .repost
・・・
OFA OFA OFA
Msimu huu wa sikukuu Holland Greentech Tanzania pamoja na Rijkzwaan Tanzania tumetoa offer kwenye mbegu za mboga mboga.
Tunaelekea msimu wa mvua ambako mbegu yetu ya nyanya Jarrah RZ na Abale RZ zinafanya vyema nchi nzima.
Ofa kwenye Mbegu ya Jarrah
*sasa utapata nyongeza ya mbegu kwa kila mbegu utakayonunua kuanzia leo tarehe 3 mwezi wa 8 mwaka 2022. Nunua 1 tukupe 1 bure
Mbegu ya pilipili Boomer
*Ofa kwenye mbegu ya Boomer kwa kila mbegu 500 unayonunua tutakupatia mbegu 100 bure
Mbegu ya pilipili Habib
*Ofa kwa kila mbegu 200 unazonunua tutakupatia mbegu 100 bure.
Wahi OFA hii msimu huu wa sikukuu ya wakulima.
Mawasiliano:
Arusha
David Simon +255 762 155 699
Ally Mfaume +255 68 346 3235
Dar es salaam &Zanzibar RBD
Pascal lusolela 0753 564 741
Iringa RBD
Nehemia Gideon 0762 271 632
Morogoro RBD
Wilfred Makange 0676 126 912
Mwanza RBD
Andrew Simon +255 765 982 182
Dodoma PDS
Naiman Mollel 0755 887 732
Tanga / Usambara PDS
Adam Batholomeo 0755 782 300
Mbeya PDS
Faraji M***a 0763 784 809
Masoko
Andrew Mboya 0768 252 447
Business Development Manager -Tanzania
Iddi Haridi 0759 922 889
#882022
02/08/2022
with .repost
・・・
Maonesho ya 88 Morogoro
Holland Greentech Tanzania tuko maonesho ya nane nane Morogoro. Karibu ujipatie mafunzo na bidhaa bora toka
1. Rijkzwaan - seeds (mbegu)
2. Rivulis - drips(mifumo ya umwagiliaji ya matone)
3. Koppert - biological pest control (sumu za kibaiolojia)
4. Robinson - Green house (nyumba kitalu)
Karibu sana,tuwasiliane
RBD Morogoro
Wilfred Makange
+255 67 612 6912
Business Development manager Tanzania
Iddi Haridi Mohamedi
+255 759 922 889
irrigation