29/04/2026
Kikosi kazi dhidi ya Simba SCπ°πͺπ½
β½οΈ Shabani Fundi Sports
π Uchambuzi wa Mechi & Takwimu
π‘π’ Yanga Updates | Ligi Kuu TZ
π Pia: Biashara Samunge Market
π© DM kwa matangazo & ushirikiano
29/04/2026
Kikosi kazi dhidi ya Simba SCπ°πͺπ½
29/04/2026
Young Africans Sports Club π Simba SC Tanzania
π Fainali ya Kombe la Muungano
Leo ndio siku ya maamuzi! π°ππ΄
Usikose update zote za LIVE, matukio ya uwanjani,
uchambuzi wa papo kwa papo na kila kinachoendelea dakika hadi dakika!
π² Zote zitapatikana kupitia ukurasa wa
shabanifundisport
Ukichelewaβ¦ utakuwa umechelewa kila kitu! π€π₯
π Follow sasa usipitwe na chochote
29/04/2026
β½οΈβ½οΈβ½οΈ
THE DAY - HATIMAYE ILE SIKU IMEFIKA. Siku ya kuwafundisha nidhamu na kurudisha heshima ya Wananchi. Let's Goooo!πͺπ₯
π°...πππππ πππ
β
βπ
ββ½ Young Africans π Simba SC
βπ
29.04.2026, Wednesday
βποΈ New Amaan Complex, Zanzibar
βπ 20:15 EAT
β
β
β
29/04/2026
Mwamuzi wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Dickens Mimisa Nyagrowa ameteuliwa kuwa mwamuzi wa kati katika pambano la leo la Kombe la Muungano kati ya Yanga na Simba visiwani Zanzibar.
Atasaidiwa na Ali Mbwana na Yussuf Shombe kutoka Zanzibar, huku I'haq Mwalile wa Tanzania Bara akishika nafasi ya nne.
29/04/2026
Young Africans Sports Club π Simba SC Tanzania
shabanifundisport
π Fainali ya Kombe la Muungano
π Uwanja: New Amaan Complex
β° Saa: 2:15 Usiku
Hii sio mechi⦠hii ni vita ya ubabe!
Taji linatafutwa, heshima inachezwa, historia inaandikwa leo! π°ππ΄
Dakika 90 za mapambano, nani atabeba kombe?
Usikose, hii ndio Kariakoo Derby ya kweli!
Hii ni moja ya kauli za hovyo kutoka kwa viongozi wa mpira. Kwa kuwa huyu ni last born hili nalo litapita. Lakini tumeitunza. Hii ni kauli ya pili kutoka kwenye hii timu na hawakuwahi kuadhibiwa. Risiti ni muhimu
28/04/2026
Mtulie mlisema hafokei waamuzi wa nje
Hapa sijui ni wapi sasa ?
28/04/2026
Wachezaji wa klabu ya Junguni United inayoshiriki Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), wamelazimika kuomba msaada katika misikiti ili kupata nauli ya kurejea βmajumbani kwaoβ baada ya kutelekezwa na viongozi kutokana na hali mbaya ya kiuchumi.
Hali ndani ya klabu hiyo yenye makazi yake Pemba imeelezwa kuwa ya kutisha, ambapo kati ya wachezaji 10 waliosajiliwa, wanane tayari wameshaondoka kisiwani humo.
Wachezaji wawili waliobaki wanaripotiwa kuingia mitaani kuomba chakula kwa wananchi baada ya viongozi waliokuwa wakiwahudumia kutopokea simu na kukimbia majukumu yao.
Uongozi wa klabu umethibitisha kuwa hawana uhakika wa kusafiri kwenda Unguja kwa ajili ya mechi za mzunguko wa 25 na 26. "Timu imeshindwa kujiendesha kwa ukosefu wa fedha... fedha ndiyo chanzo cha migogoro ndani ya timu," amekiri Msemaji wa Junguni, Suleiman Sultan Hemed.
Junguni United kwa sasa inashika nafasi ya 15 kwenye msimamo ikiwa na pointi 10 tu baada ya mechi 23, huku kukiwa na hofu kuwa klabu hiyo inaweza kufutika kabisa kwenye ramani ya soka la Zanzibar ikiwa wafadhili hawatajitokeza haraka.
27/04/2026
Huyu jamaa kwanza hana miaka 19 k**a wanavyo Sema.. Hiki kijeba kina miaka zaidi ya 27. Ni beki mzuri sana, nimemwona.
Anamakosa madogo madogo tu ambayo akiyafanyia kazi atakuwa beki tegemeo kwa timu yake na hata timu ya Taifa kwa miaka kadhaa ijayo.
Lakini licha kuaminiwa na kupewa nafasi, asipangwe kwenye Dabi. Huo ndio utakuwa mwisho wake k**a ilivyo kuwa kwa HUSSEN KAZI.
Kazi alikuwa bonge moja LA beki, wengi tulimwona atafika mbali. Ila kuaminiwa kwake kwenye Dabi ndicho kilicho mpoteza mpaka sasa hajulikani k**a bado anacheza mpira au ameamua kuchukua Bodaboda ya mkataba.
Kosa lililo gharimu kipaji chake ni kumchezea Faulo Aziz Ki eneo la kumi na nane, ni namna gani ambavyo alikutana na mchezaji mkubwa anaye itaka mechi kubwa.
Aziz alikokota mpira hadi kwenye eneo hatari kisha akasubir dogo aingie kwenye mtego, naye akili yake ilivyo kuwa ndogo akamchezea madhambi.
Hatukatai kuwaamini vijana kwenye Dabi ila eneo la ulinzi ni k**a kuchukua maamuzi ya kusinzia na fegi kwenye Kibanda cha nyasi.
Huyu jamaa pichani bado hana ukomavu, atapiga kazi mbele ya Namungo na Mlandege ila kumpa majukumu ya kumzuia PDD..
Ni kazi ngumu sana k**a kutafuta bikira wodi ya wazazi. Bahati mbaya sana Simba anaenda kukutana na Yanga isiyo na majeruhi hata mmoja. Simba inaenda kukutana na Maxi aliyerudi kwenye ubora wake, na k**a haitoshi wanaenda kukutana na PDD mwenye ugwadu βPacome + Depu + Dubeβ
Msiharibu kipaji cha jamaa, kiuno chake kidogo msimpe CHUPI LA PEPE KALE.
27/04/2026
Zitungwe kanuni za kuilinda Derby ya Kariakoo , ipo siku viongozi wajinga wajinga wataipeleka kwenye viwanja vya mazoezi k**a walivyo ipeleka kwenye uwanja wa mazoezi wa Afcon
Caf hawezi kuruhusu mechi zake zichezwe kwenye kila uwanja ndio maana kwa Tanzania tuna Benjamin Mkapa na Aman Complex tu
Mechi ya Simba na Yanga ina hadhi kubwa kuanzia ufuatiliaji hadi Marketing ya mpira wetu kimataifa
Kupeleka mechi kubwa k**a hii kwenye uwanja ambao una ukuta wa mabati ni aibu
Kazi kwenu Azam Tv kutufichia aibu hii , setting ya camera ifiche aibu za Derby yetu
Sikubaliani na maamuzi ya Derby kuchezwa Uwanja wa Isamuyo ki usalama na ki masoko ni maamuzi ya hovyo
Mengine endeleeni na ushabiki
27/04/2026
Waamuzi wa Morocco kuchezesha Dabi...
Taarifa kutoka Morocco zinasema, Shirikisho la Soka la Morocco limetangaza kuwa limepokea ombi rasmi kutoka Shirikisho la Soka la Tanzania la kuteua waamuzi kutoka Morocco kuchezesha mchezo kati ya Simba na Yanga.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Morocco, mchezo huo utakua ni wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa katika Dimba la Meja Jenerali Isamhuyo tarehe 3 Mei 2026.
Kwa mujibu wa taarifa, waamuzi walioteuliwa kutoka nchini humo Morocco ni jopo litakaloundwa na:
βͺοΈ Hamza El Fariq β Mwamuzi wa Kati
βͺοΈ Lahcen Azkaou β Mwamuzi msaidizi wa kwanza
βͺοΈ Hamza Nassiri β Mwamuzi msaidizi wa pili
βͺοΈ Mustapha Kachaf β Mwamuzi wa akiba (wa nne)