23/09/2025
🎙️ CELESTINE ECUA ::
“Mimi si mchoyo uwanjani k**a ambavyo watu wanasema na ninajua kucheza kwa ushirikiano, jambo ambalo mashabiki wataliona katika mechi zijazo. Michuano ndio kwanza imeanza ni mapema sasa kusema mambo mengi ila kinachohitajika ni kukamilisha malengo ya timu na kuhakikisha unapata nafasi ya kucheza bila kuchambua sana,”
“Hatua ya kuanzia benchini ndani ya timu hiyo wala sio kitu kinachonisumbua, kwani naendelea kujipanga kujipa muda zaidi wa kucheza kupitia muda ninaopatiwa sasa. Ndani ya kikosi kila mchezaji ana kipaji kikubwa ndio maana wale wanaoanza na hata wanaoingia wamekuwa wanahusika kutengeneza ushindi,”
“Kwa wala sioni shida kuanzia benchini na hiyo haimaanishi anayeanzia benchini, sio mchezaji bora ila ni fikra tu za watu.”
USINUNUE TENA MIKEKA CHIMBO HILI HUKU NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP KILA SIKU JISAJILI HAPA👇👇
USINUNUE TENA MIKEKA CHIMBO HILI HUKU NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP KILA SIKU JISAJILI HAPA👇👇
Pata Bonasi ya TSH 10,000 unapojisajili. Karibu tushinde pamoja. https://play.bangbet.com/npats1.html?c=Tu4z4S
KISHA TUMA NENO NIUNGE AU NJOO WHATSAPP 0620 412 0620 412 415
17/08/2025
🚨🚨 DONE DEAL: Yakoub Suleiman Ali is now a Red✅
Simba wamekamilisha usajili wa kipa wa JKT Tanzania,Yakoub Suleiman Ali (25).
Pamoja na JKT kuweka ngumu ila Mo amepita nae Shwaaaaaaa😄
Jambo limeisha Yakoub Suleiman Ali atajiunga na Simba baada ya CHAN✅
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415
17/08/2025
UPDATES 👇
Tanzania 🇹🇿 'Taifa Stars' itacheza dhidi ya Morocco 🇲🇦 kwenye hatua ya robo fainali ya CHAN 2024 baada ya kushika nafasi ya pili Kundi A.
Tanzania 🇹🇿 Vs Morocco 🇲🇦
🗓Ijumaa Agosti 22, 2025.
🏟 BENJAMIN MKAPA.
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415
17/08/2025
UPDATES, SELEMANI & MAEMA 👇
Seleman Mwalimu na Neo Maema usajili wao ulikamilika Ijumaa, Agosti 15 usiku siku ambayo dirisha la usajili wa Kimataifa lilifungwa saa 23:59 ( saa tano na dakika 59 usiku), Seleman Mwalimu 'Gomez' anahesabika k**a usajili wa Kimataifa maana alikuwa anacheza nje hivyo tayari yupo kwenye mfumo.
Kuna watu wanaweza kujiuliza dirisha ambalo limefungwa ni lipi? Dirisha ambalo limefungwa ni lile la wachezaji ambao wamesajiliwa kutoka nje ya Tanzania yaani hapa anaweza kuwa umesajili mzawa ila k**a umemtoa kwa timu ya nje ya Tanzania dirisha lake limefungwa siku ya Ijumaa, Agosti 15, 2025.
Mfano Seleman Mwalimu mzawa ila yeye dirisha lake alivyosajiliwa Simba Sports Club limefungwa Agosti 15 kwa maana hapa ndio siku ya mwisho ya kumuombea ITC mchezaji ambae umemsajili kutoka nje kwa ajili ya msimu wa 2025/2026.
Lakini pia k**a umemsajili mchezaji wa Kimataifa ila umemtoa kutoka timu ya ndani ya Tanzania yeye dirisha lake linafungwa pamoja na wengine Septemba 07, 2025, mfano Khalid Aucho amejiunga na Singida Black Stars ila yeye ametokea timu ya ndani ya Tanzania hivyo yeye yupo kwenye wale ambao dirisha la usajili linalofungwa Septemba 07, 2025.
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415
15/08/2025
"Licha ya Niyonzima kipindi flani kuondoka Yanga na kwenda Simba lakini bado Wananchi mpaka leo wana thamini kile kilicho fanywa na Fabrigas akiwa na jezi yao 🙌🏼
Yanga wanajua kutunza heshima ya Ma Legend wao huwezi kusikia kirahisi taswira ya Mchezaji alie fanya makubwa kwao iki chafuliwa kirahisi rahisi 🙌🏼
Katika hili Wananchi mnatoa Somo kubwa 🙌🏼"
_____✍️
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415
15/08/2025
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa huku kikieleza wasiwasi wake juu ya taarifa ya klabu hiyo ya Agosti 14, 2025, iliyodai mchango wa Shilingi milioni 100 iliyotoa kusaidia kampeni za uchaguzi za Chama cha Mapinduzi CCM ulitoka kwa GSM Foundation.
Taarifa ya leo Agosti 15, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, CHADEMA imesema kitendo cha Yanga kuhusishwa na mchango huo ni kuingiza michezo kwenye siasa, jambo linalokiuka kanuni za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) zinazokataza vilabu kujihusisha na siasa
Taarifa hiyo imesema hatua hiyo inakinzana na misingi ya uhuru wa vilabu vya michezo na inakiuka Kanuni za FIFA (lbara 4, 12 na 17) zinazopiga marufuku vilabu kujihusisha na siasa huku ikisisitiza kuwa, Yanga k**a klabu yenye wafuasi wenye itikadi mbalimbali za kisiasa, inapaswa kubaki huru, ikiunga mkono umoja na mshik**ano wa wanachama wake, badala ya kuunga mkono chama kimoja.
CHADEMA imesema kitendo cha Yanga kutumia fedha za wanachama wake ambao wengine sio wanachama wala mashabiki wa CCM na kuzipeleka kuisaidia CCM ili iendelee kubaki madarakani ni kuwadharau wanachama wake wanaoamini kwenye vyama vingine na ni kinyume na historia ya vilabu vinavyounganisha Watanzania wote kupitia michezo.
Aidha CHADEMA imeitaka Yanga irudishe fedha hizo kwenye mfuko wa klabu au kutamka wazi k**a klabu ni tawi la CCM, na pia iombe radhi kwa umma huku ikitoa wito kwa viongozi wa Yanga kujitathmini na kuzingatia uhalali wao wa kuongoza taasisi inayowaunganisha Watanzania wote bila kujali itikadi zao za siasa.
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415
15/08/2025
Kwenye page ya upande wa comments kwenye post zote za mwisho mada ni kuhusu klabu ya Wananchi, Young Africans SC kujihusisha katika suala la kisiasa.
Leo Yanga wametoa "TAARIFA KWA UMMA" ya maelezo na kuomba Radhi kuhusu hili SAKATA LA mchango wa 100M kwa CCM, ila bado haijawa suluhisho la moja kwa moja, watu bado wanapiga spana, wanachama kwa wapinzani.
Upande wa watani,
Wanachekelea tuu, wakisubiri lolote liwakute Young Africans wakihimiza (ubaya ubwela).
Kutokana na Kitendo cha Mashabiki wa Tanzania kuweka Comment zao kwa wingi inaweza kuwagharimu, Young Africans na FIFA wakaanza kufuatilia suala hilo.
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415
11/08/2025
DEAL DONE ☑️
Beki wa kati raia wa Ghana 🇬🇭 Frank Asink anajiunga na Yanga SC akitokea Singida Black Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja.
Beki Asink leo anawasili Tanzania, Yao Kouassi anaondolewa kwenye mfumo na Frank Asink anaingia kukamilisha idadi ya wachezaji 12 wa Kigeni.
Taratibu ndogo ndogo za kukamilisha usajili wa Frank Asink kwenda Yanga SC ndio zimebaki.
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415
11/08/2025
Updates :
Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo kutoka KMC , Ahmed Pipino kwa mkataba wa miaka mitatu . Makubaliano yamefikiwa baina ya vilabu vyote viwili ✅
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415
11/08/2025
Nina uhakika kuwa Yanga wamekubali kumuuza Clement Mzize katika klabu ya Espérance Sportive de Tunis, baada ya Chan Mzize ataanza maisha mapya uarabuni!
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415
10/08/2025
🚨🚨 BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espérance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.
De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila k**a watamkosa basi watagonga hodi Simba kuulizia huduma ya Dese Mukwala.
Chaguo namba moja ni Mzize na chaguo namba mbili ni Mukwala.
NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP LA ODDS KILA SIKU BURE WHATSAPP 0620 412 415