08/05/2024
Vunja Maliza Challenge- 16 COMBO EDITION
Are you ready to dive into a world of cue sticks, precision shots, and electrifying competition?
08/05/2024
Vunja Maliza Challenge- 16 COMBO EDITION
27/04/2024
Kishingo Bigwa - Combo 32
15/03/2024
This Weekend Again
Pool Combine /
-2
15/03/2024
NOPOT
After the end of the Mini-Launching in the Category of Mini-Championship Edition 2, last Sunday. Finally, POT SQUAD invites again the 32 Combine participants, [32 Combine], while the hitmen have come out to shape the fight. In the competition, the winner will collect Tsh 250K, while the second and third winners will get Tsh 100K, and 50K..- Nopot reports,
POT SQUAD
Speaking on the phone Saidi "Side" Owner of the POT SQUAD empire, "The response is great, people get a chance to play on a bigger scale, I think on Sunday the participants will be happier" He ended by welcoming all the stakeholders.
THE WINNERS
In the fight that ended last Sunday, it found another Bigwa who joins the Bigwa in the Premier League ready for other fights, BARAKA BK was able to be the champion in all Four Frames with the number of [4-3/5-3/5-2/5-2] , while PASKO-POP and KALOU ranked Second and Third.
APA
In another step, the management of Pool Table Arusha is satisfied with the response of the stakeholders of Pool Table Arusha, It also still gives opinion to the stakeholders to continue to support the investment as it will help a lot to raise talents in the street
15/03/2024
Third winner [ Championship Edition ]
- Congratulations
15/03/2024
MSHINDI WA PILI CHAMPIONSHIP EDITION -3
Pasko-pop Mshindi wa Pili katika Mini- Launching Championship iliyofanyika POT SQUAD- Hongera sana
15/03/2024
BARAKA BK- MSHINDI CHAMPIONSHIP EDITION -3
Katika pambano lilomalizika Jumapili iliyopita , Lilimpata Bigwa Mwingine anyeungana na Mabigwa ndani ya Priemier League tayari kwa mapambano mengineyo, BARAKA BK aliweza kuwa bigwa katika Frame zote Nne kwa idadi ya [4-3/5-3/5-2/5-2], huku PASKO-POP na KALOU kushika nafasi ya Pili na Tatu.
APA
Katika hatua nyingine uongozi wa pool table Arusha inaridhishwa na muitikio wa wadau wa Pool Table Arusha, Pia bado inatoa rai kwa wadau kuendelea kusupport Uwekezaji kwani utasaidia sana kuibua vipaji Mtaani
08/03/2024
POT SQUAD MIN LAUNCH
Baada ya Wiki mbili sasa Kupita tokea Uongozi wa Muda wa Pool table Arusha, APA- Arusha pool Alliance , kuomba wadau mbalimbali kujitokeza na ku- support Viwanja kwa ajili ya Mchezo wa Pol Table , hatimaye POT- SQUAD yawa kiwanja cha Tatu na Cha Kwanza kwa ukubwa kulinganisha na vilivyoko sasa. JOHNSON MFINANGA Mmilikiwa wa POT SQUAD alidhibitisha uwepo wa kiwanja hicho chenye Meza Nne (4) Mpya kutoka Kampuni ya KENICE,. "Napend kuwakaribisha wadau wote wa Pool Table Mkoa wa Arusha, Kiwanja hiki ni kipya na kila Kitu ni Kipya hapa, tunajua watu watafurahia kwa sababu sehemu ni kubwa na huduma zote zipo ( Vyakula na Vinywaji ), Pia watu wanaweza Kuingia Zaidi ya 100 na kukaa comfortable kabisa, Johnson alimaliza kwakutoa Rai kwa Wadau kutembelea eneo hilo.
NOPOT uliwasiliana na Uongozi wa APA na kudhibitisha taarifa hizo kuwa ni za kweli " Ni kweli POT- SQUAD ni Kiwanja kipya, kipo katikati ya Mji , tunategemea kuandaa Mini- Launching Tournament ya watu 16 ( Championship edition - WASHIRIKI uzani wa Kati ) siku ya Tar 10 /March/2024, k**a sehemu ndogo ya utambulisho kiwanja hicho na majaribio kwa meza zote Nne-4 , alisikika Mwenyekiti- APA ( Mr Fadhil Mollel, ;- Akiongea ), akaendele kusema " bado tunatoa rai kwa wadau wengine Maeneo mbalimbali kuweza kujitokeza kwenye uwekezaji wa Viwanja kwani itasaidia sana kuinua vipaji vingi mtaani".
NOPOT ilifanikiwa kutembelea Kiwanja hicho kilichoko BEGOT SPORTS BAR ,nakukuta Maandalizi Yakiwa yame-kamilika kwa asilimia 98% kuelekea Tarehe 10- March 2024, K**a sehemu ndogo ya Uzunduzi kabla ya Uzinduzi Mkubwa Siku ya Tarehe 16- March- 2024.
08/03/2024
POT SQUAD
08/03/2024
POT - SQUAD

MJADALA : RASIMU YA KATIBA APA:
https://no-pot.com/index.php/rasimu-katiba/
☝☝☝☝☝☝☝☝☝☝☝☝☝☝☝☝
BONYEZA LINK KUSOMA RASIMU YA KATIBA APA NATOA MAONI YAKO