Kenko Care Clinic Tunatoa huduma za ushauri wa kiafya, virutubisho lishe, elimu ya afya na bidhaa salama kwa changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo magonjwa sugu. 📍 Mkulima House, Mkabala na Mabibo Hostel 📞 0658 977936.
BLUESKY FITNESS GYM tunapatikana MURIET(dampo) Arusha. Ni gym ya yenye vifaa vya kisasa sana, Tredmill, multfunction machine, Cardio, Squat, Punching bag ipo na mazoezi mengine unayoweza wewe. Tunakukaribisha tupo wazi kwanzia Jumatatu - jumapili.
Fitness & Wellness. Marathon • Gym • Yoga • Aerobics • Cardio • Personal Training