10/07/2023
oldonyo lengai v marathon
OLADRUN ni kampuni inayojishughulisha na uandaaji wa mbio na utalii
10/07/2023
23/03/2023
*๐Nyakati tatu kwa siku katika mwezi wa Ramadhani uzihifadhi zisikupite kwa vyovyote vile usizilinganishe na thamani yoyote ile ya kidunia , nazo ni nyakati tatu kwa idadi ya siku za Ramadhani zinakua kwa Jumla nyakati (90) nazo ni k**a yafuatavyo:๐*
1- ๐Wakati wa kwanza ni wakati wa kufuturu, hakika andaa futari yako mapema na ujipe faragha kwa ajili ya dua, kwasababu mwenye kufunga wakati wa kufungua kwake ana Dua inayokubaliwa ambayo hairudi patupu, jiombee mwenyewe, wazazi wako, familia yako, vipenzi vyako, na waombee maiti wa kiislamu kwasababu wanahitaji kutoka kwako Dua.๐
2- ๐Ama wakati wa pili: Ni mwisho wa usiku jipe faragha uwe pamoja na Allah kwasababu yeye anaita akisema nani anaomba nimpe nani anataka msamaha nimsamehe, na uzidishe katika usiku huo kwa kumuomba Allah msamaha.๐
3- ๐Ama wakati wa tatu: Ni kukaa kwako baada ya swala ya Alfajiri katika mahali uliposwali ukifanya adhkar mpaka jua likachomoza kwasababu ibada hiyo na thawabu zake ni sawa na umra na hijja iliyo kamilika.๐
๐Hizi ni nyakati tisini, na uwe na pupa/juhudi na wakati mwingine uliobaki wote kwa kumtaja Allah, na ujiepushe na usengenyaji kwasababu unamaliza thawabu zako, na weka azma isikupite swala ya faradhi kwa wakati na uchukue fursa ya kutekeleza Swala za sunna, kwasababu ni siku thalathini, na niharaka iliyoje tukijikuta tunasema imeisha, Allahul Mustaan!๐
*๐Hata ukinuwia kueneza maneno haya nuwia kwa ajili ya khayr, huenda Allah akakufariji kwa mazito katika mazito ya Dunia na Akhera๐*
*๐Na kumbuka: fanya khayr hata ukaiona ndogo vipi kwasababu hujui jema gani litakuingiza peponi๐*
*๐ ๐ฎRAMADHAN MUBAARAK*๐ ๐ฎ
17/03/2023
Baada ya zumaridi kwenda mbiguni sasa ni zamu yangu next Interview na millardayo โฆโฆ
14/03/2023
Happiness is the best therapy ๐ท๐๐พ๐ฅฐ๐ซงโจ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Sekei
Arusha