22/04/2026
Mwanamke mmoja nchini Nigeria aitwaye Peace Samuel alijifungua mtoto wa kiume akiwa na umri wa Miaka 65.
Peace alikuwa amekaa kwenye ndoa Kwa miaka 40 Bila Mtoto lakini mume wake aliendelea kumvumilia licha ya changamoto hizo za uzazi.
MUNGU ni zaidi ya Sayansi, wakati madaktari wakisema umri wa mwanamke Kuzaa ni huu ila MUNGU naye anaamua kuwashangaza kwa namna yake, pia wewe usikate tamaa Kwa Kila jambo lako omba MUNGU tu akujaalie uzima lolote lita timia, amini hivyo tu.
Hongera sana Peace.
08/03/2026