Yanga Sports Club For Life - Naipenda yanga

Yanga Sports Club For Life - Naipenda yanga

Share

Yanga Sports Club For Life (naipenda Yanga)

30/03/2024

๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ

๐Ÿ†
โšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šMamelodi Sundowns FC
๐Ÿ“† 30.03.2024
๐ŸŸ Benjamin Mkapa
๐Ÿ•– 9:00PM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ


25/03/2024
20/12/2022

Messi anawasalimia

15/11/2022

Taarifa kwa Umma


06/11/2022

๐ŸšจTUNISIA

Kikosi kimewasili salama Tunisia, tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu wa marudiano dhidi ya Club Africain, tarehe 09.11.22, Jumatano.


04/11/2022

WANANCHI

Kuweni makini sana na watu K**a hawa.Ukiwaona wanavyolalamika Kwenye media "vyombo vya habari"unaweza kusema amewekeza Yanga sc.

04/11/2022

Guadiola alipewa malengo ya kuchukua Uefa pale Man City nadhani alifika Fainali mara moja. Lkn hakufukuzwa. Kwa nn? Kwa sababu bado wana matumaini ya siku moja atachukua kombe. Klop wakati anafika Liverpool aliwaambia anahitaji kutengeneza project na itachukua miaka 5 mpk kupata wanachokitaka watu wa Liverpool ndicho alichopata baada ya miaka 5 alibeba EPL trophy ambayo ndo ilikuwa ndoto yao kwa takribani miaka 30. Nabi umempa timu Mwaka na nusu unataka awe ameshafanya yale mnayoyahitaji. Kiafrika Africa tunataka vitu visivyowezekana viwezekane lkn ktk kuuheshimu mchezo wa mpira wa miguu basi tunapaswa kuwa wapole. Hawa klabu Africain ni mabingwa wa champions league 1991 na wana makombe 40 kwa ujumla ikiwa 29 ni domestically mengine 11 ni ya nje. Ni timu kigogo kwenye vigogo Africa. Ni vile tu tangu 2015 walipata mtikisiko lkn ES Tunis,Monastir msingengekuwa mnawasikia. Inawezekana kuna mahali tunapaswa kuongeza nguvu kwaajili ya msimu ujao lkn kwangu mm hata tukitolewa natamani Nabi aachwe amalize ligi kisha Uongozi ufanye mabadiliko kwa msimu ujao ili kutotuondolea ile chemistry ya Wachezaji wetu la sivo tukikurupuka tutajimaliza wenyewe

Nimejikuta nawaza kwa sauti๐Ÿ”๐Ÿ”
๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ

29/09/2022

Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Young Africans tuna kila sababu ya kwenda Uwanjani kupata burudani na kuisapoti Klabu yetu kwenye mashindano yote msimu huu.

๐—๐˜‚๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜€๐—ถ | ๐—ง๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ต๐—ฒ ๐Ÿฌ๐Ÿด.๐Ÿญ๐Ÿฌ.๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฎ
kwa Mkapa moto utawaka๐Ÿ”ฐ



23/09/2022

Tunakwenda kuanzia nyumbani hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika


19/09/2022

Kunenepa kuendeleeeeeeeeeeeeeeee
Kuwa yanga raha bhana๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š

20/08/2022

Yanga hatupoi,gatuboi

Ft Costal Union 0-2 Yangaaaa

18/08/2022

Jambo La Nchi Kwa

๐˜’๐˜ข๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜บ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช...........


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Dar-es-Salaam
Arusha