18/08/2017
Nahitaj support na mchango wen Kimawazo na kwa kila anae jua na asiye jua mchezo wa KikapuTz
Tunategemea Kuanzisha kikos cha vijan wetu kuanzia Miaka 12 na kuendelea Wasichan na wavula kwa Nia ya kuwajenga ktk kujua mchezo huu wa
Kikapu
Rayyan Basketball@Team