10/09/2022
Wasuda wapigwa na Kitu Kizito Kwa mkapa
Karibu Bongobasketball tuweze Kushare habari za Mchezo wa Kikapu Tanzania na dunia nzima,share choch
Karibu Bongobasketball tuweze Kushare habari za Mchezo wa Kikapu Tanzania na dunia nzima kwa Ujumla,Tujuzane mengi Kuhusu Basketball,share chochote Ulichonacho Kuhusu Mchezo wa Kikapu TANZANIA na Duniani
10/09/2022
Wasuda wapigwa na Kitu Kizito Kwa mkapa
31/08/2022
Je John John "Yes papaa" atatuokoa UGANDA?
31/08/2022
Halaand Apiga hatrick Ya Pili EPL.
ANABALAA HUYOO
ANABALAA HUYOO
23/03/2022
Aziz Andambwile Malafyale Fundi wa Mpira...Zile Burudani Alizo wapa NYASA BIG BULLETS Kipindi Yupo BLANTYRE MALAWI akawaonjesha MBEYA CITY,,LEO Kaamua Kumwaga Saaaana Mauwa Dimbani.. Mchezaji Mzuri Haitaji Kugusa Mipira Miiiingi,,,Touch zake Mbili Tu Uwanja Mzima Tukatamani kila Mali Ikija Apewe Yeye Tuenjoy Soka...Janja NI FUNDI wa Mpira na Hazina Ya NCHI...Asante KIM kwa Kumuamini na hajakuangusha... Unajua BOLI Mwanangu Nakuona mbali
25/02/2022
Hongera Sana
06/02/2022
Code Number 45
Jana na Leo
Anayoyafanya Akiwa Uwanjani K**a Angekuwa Mtu wenu wa Timu za Kariakoo Wachambuzi Mngemuimba USIKU NA MCHANA Mpaka Nyimbo Iwe Hitsong Ila Kwakuwa Mzawa Mnasubiri Awe mtovo wa Nidhamu ndio Mseme nae,,,Ooh "Wazawa Hawajitambui" mpeni HESHIMA yake Mapema Striker Wa Mpira,Hazina ya TAIFA ya Kujivunia kwa Sasa na Baadae.
19/11/2021
KILA HATUA DUA Kiungo Wa Mpira.....
11/11/2021
Kila la Kheri Stars
30/10/2021
Ramadhani "Fundi" Chombo "Redondo"
Moja ya Mkongwe anaendelea Kuwaaminisha watu Ng'ombe Hazeeki Maini,na Pia Mpira K**a Baiskel Tu Ukishajua umejua..CHOMBO bado Anajua Saaana Tu..Falsa za Kuwaita "Wazee" ,"Wahuni" Ni Falsa Za Kutaka kuwatoa Mchezoni Wazawa Wengi wanaoujua Mpira,Ila Fundi wa Mpira Kakataa kusikiliza maneno Yao na Anaongea kwa Vitendo Kupitia Miguu yake...Endeleeni kuwaimba Wageni ambao Kwenu hawazeeki,kwenu sio Wahuni,wacha watoto wa Mtaani Tumuimbe Rasta mtu Peace ✌️ FUNDI WA MPIRA
.
09/10/2021
Hongera TWIGA STARS
Timu ya Taifa ya Wanawake TANZANIA Imefanikiwa kuchukua Ubingwa wa COSAFA WOMEN Championships iliyofanyika Nchini SOUTHAFRICA Leo 09/10/2021.
Bao PEKEE La ENIKA lilitosha Kuwapatia Ubingwa stars Katika fainali Hiyo Dhidi ya Malawi
07/10/2021
Kufuzu World Cup Pamoto 🔥🔥🔥
Mpira Na Matokeo Yake ya Kikatili