Afisa Habari APJJC akitoa ufafanuzi na makaribisho kwa jamii kuhudhuria mazozi kutunza afya......
Arusha Polisi Jamii Jogging Club
Mazoezi haya yanafanyika kila siku ya jumamosi katika Jiji la Arusha
ARUSHA POLISI JAMII JOGGING CLUB ni kikundi kinachohusisha vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama, majeshi mbali mbali na Raia katika kufanya mazoezi pamoja na jogging.
Leo 18-04-2026 Arusha Polisi Jamii Jogging Club imefanya mazoezi ya GYM maeneo ya Musho {TES GYM}.
YETU #
-Lengo la mazoezi hayo ni kuweka mwili katika hali ya utayari na Afya nzuri muda wote
-APJJC inavipaji vingi, tunao mabondia, tunao wavuta kamba, tunao wanariadha, tunao wabeba vyuma vizito hawa wote misingi yao ni mazoezi.
-Kubadilisha mtizamo wa kifikra.
-Kuongeza ushiriki na Kuwafikia wanajamii kwa njia tofauti tofauti. -Utalii wa maeneo tofauti tofauti kwa ambao awajafika mushono leo ilikua sababu ya kufika huko k**a familia moja. Video za matukio kwenye mazoezi ya Gym
18/04/2026
Leo 18-04-2026
Arusha Polisi Jamii Jogging Club imefanya mazoezi ya GYM maeneo ya Musho {TES GYM}.
YETU #
-Lengo la mazoezi hayo ni kuweka mwili katika hali ya utayari na Afya nzuri muda wote
-APJJC inavipaji vingi, tunao mabondia, tunao wavuta kamba, tunao wanariadha, tunao wabeba vyuma vizito hawa wote misingi yao ni mazoezi.
-Kubadilisha mtizamo wa kifikra.
-Kuongeza ushiriki na Kuwafikia wanajamii kwa njia tofauti tofauti.
-Utalii wa maeneo tofauti tofauti kwa ambao awajafika mushono leo ilikua sababu ya kufika huko k**a familia moja.
Picha za matukio kwenye mazoezi ya Gym
Maisha ni mpangilio wa matukio na fikra zako mwenyewe.
Tulia ufikirie maisha unayotaka
FURAHA YETU NI USHIRIKIANO TULIOKO NAO SISI K**A JAMII MOJA KWENYE JIJI LETU LA KITALII.
Muunganiko wa jamii na vyombo vyote vya ulinzi na usalama pamoja na taasisi za serikali na binafsi imetupa kikundi hiki imara kabisaa mkoani Arusha.
karibu ujiunge nasi aujachelewa njoo inbox nikupe utaratibu
ASUBUHI NA MAPEMA::::::
EARLY IN MORNING
04/04/2026
Leo 4-4-2026 tumeshiriki mazoezi ya pamoja k**a ilivyodesturi yetu. Ilikua ni siku ya kipekee kwakua tumemaliza mazoezi salama bila majeruhi yoyote.
LADIES PENALTY
APJJC kwa ushirikiano na Mdamini wao America Seed iliandaa Bonanza kwa wanachama wa Arusha Polisi Jamii Jogging Club. Bonanza lilikua kati mashabiki wa Simba vs mashabiki wa Yanga.
Jumla ya Matukio manne makubwa yalifanyika kwa siku moja
1. Mpira wa miguu kwa wanachama wa APJJC legendary
2. Mpira wa miguu kwa viongozi na wanachama washangiliaji
3. Special penalties for Ladies {wadada} wa club
4. Tafrija fupi wakati wa jioni baada ya michezo yote.
Haya ni baadhi ya matukio katika bonanza
BONANZA LILIKUA MOTO SANA
Kila kiongozi alikua anapeperusha bendera ya timu yake hapa.
Atakaekuambia Gwanda na Buti avichezi mpira ajui morali ya football (just fun and jocking) maisha ayaitaji u serious saaaana,
21/03/2026
TUPO BEGA KWA BEGA KWENYE HILI
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
ARUSHA
Arusha