Mwl. Kasubi,z.

Mwl. Kasubi,z.

Share

Tafuta Pesa. Kwani hata Umasikini haununui Furaha

18/03/2026

CAF jamani CAF nyie

Klabu inayoshiriki Ligi Kuu Misri, Pharco FC imetangaza kususia kwa muda usiojulikana Mashindano yote yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

Klabu hiyo imethibitisha kwamba imesusia michuano yote ya CAF, ikiwa ni pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika, Kombe la Shirikisho la CAF, Kombe la CAF Super Cup, na Mashindano yoyote chini ya Shirikisho la soka Afrika.

Msimamo huu mkali unakuja kutokana na uamuzi wenye utata baada ya CAF kuitangaza Morocco kuwa washindi wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025.

Hata hivyo, kauli hiyo tangazo hilo limeibua hisia kwa sababu Pharco FC si washiriki wa mashindano ya CAF, maelezo ambayo yamesababisha wengi kuona tangazo hilo k**a lililojaa ucheshi.

15/03/2026

Nguvu moja

15/03/2026

Wazee wa Nguvu Moja🤣🤣

09/03/2026
09/03/2026

What is the meaning of love?

22/08/2025

🤫🤫🤫

14/07/2024

Ponda mali kifo chaja. Ama kweli pombe siyo maji

09/07/2024

Taarifa hizi hazina mashiko yoyote kwani ni propaganda za kuwapotezea tension wapinzani.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Biharamulo?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Biharamulo