17/02/2025
UNA MAONI AU MASWALI KUJUA HABARI ZA MICHEZO?
Tembelea website yetu ya www.sakaafyafitness.club Kisha ujisajijili ili upate majibu ya kitu chochote unachotaka kujua ili ikusaidie kiafya,burudani,uelewa nk kupitia wataalamu wetu waliopo wakisubiria MASWALI yako.tuna category tofauti na nyingi Kila swali lolote litajibiwa K**a vile
MCHAMBUZI WA MICHEZO.
SALAMA ngale atakujibu live swali lolote linalohusu michezo Bila kusubiria kipindi Cha redio au television
PHYSIOTHERAPYST
Maswali yote yanayohusu mazoezi tiba Kwa wagonjwa wa kiharusi(stroke)hapa unapata msaada na ushauri
COACHER
Wale vijana wenye vipaji vya kucheza mpira na michezo mingine ili kufikia mafanikio inatakiwa kupata maarifa Kwa njia mbalimbali hapa ni sehemu sahihi ya vijana kupata madini ya ujuzi kutoka Kwa makocha waliofuzu
TRAINER
Bila shaka umekua ukijiuliza kuhusu mazoezi Gani nifanye kutokana na Hali yako.uliza swali lolote utapata ushauri na majibu papo Kwa papo kutoka kwa wakufunzi wetu(Trainer)
NUTRITION
Uliza swali lolote linalohusu utaratibu upi ni sahihi au namna ipi ni Bora kula chakula Kwa mpangilio utapata majibu na ushauri chakula Gani ule na Kwa wakati Gani na chakula Gani usile ili kuboresha afya yako
OFFER --OFFER---OFFER
Kwa wateja 50 wa mwanzo kutumia huduma hii watajipatia Kamba ya mazoezi (jumping rope)Bure popote ulipo unatumiwa kwa uaminifu mkubwa
Kwa maelezo zaidi tupigie 0712007070 sakafya njoo TUCHEZE KIAFYA
07/02/2025
CHA -ZAMBI AFANYA DHAMBI alafu watu wa upande wa pili wanafuraha utafikiri wapo peponi vile
10/12/2024
Saka afya fitness club ni wadau wa michezo pia ambayo inaambatana na utimamu wa mwili.leo tar 10/12/2024 ilikua ni event kubwa ya wadau wa michezo.nikapata bahati ya kuwakilisha club yetu kwenye wiki ya michezo.kikubwa mada zilikua nyingi wachangiaji walichangia Kwa weledi pia waandaji walifafanua vizuri kuhusu michezo .nilichogundua kwenye semina hii inaonyesha tuko nyuma sana Kwa swala Zima la michezo inavyochukuliwa na jamii waandaaji wamezidi kufafanua kua japo wanachi wanapenda michezo na matokeo mazuri lkn hawafuati taratibu zake kiasi kwamba tunabaki palepale ukilinganisha na nnchi zingine.wakatuasa tubadili mtizamo hasa kwenye kutenda tusiietegemee serikali pekee yake.kwani serikali KAZI yake ni kuweka mazingira mazuri ambayo tayari wamefaulu kwenye Hilo. KAZI imebaki kwetu sisi K**a wananchi tukishirikiana sio maajabu wala miujiza kufanana matokeo au sio K**a kuwazidi nchi ambazo zinazoekana kua na mafanikio
Kwa maelezo Zaidi kuhusu michezo na MAZOEZI piga 0622500900
16/11/2024
Mmoja wa vijana wetu wanufaika wa ushauri wa Saka afya kuhusu mazoezi.ndugu Saleh amekua msitari wa mbele kuhakikisha anapambania kujenga afya yake kupitia mazoezi ninachompendea ni mvumilivu wa mazoezi.
Niwaase jamii tushiriki mazoezi Mara Kwa Mara usibweteke kwani ukiwa na tabia bwete unarutubisha mbolea ya maradhi nyemelezi kwenye mwili wako.itapelekea njia ya hospitali kua rafiki yako kuliko njia ya kazini.ndio maana nasema fanya mazoezi K**a unapata dawa vinginevyo utakula dawa K**a unavyokula chakula Kwa maelezo zaidi ya personal trainer piga 0622500900
12/11/2024
Ahsante sana mama.
Kwa kutuamini kupewa huduma yetu
Pichani mteja wetu mpya akipokea zawadi yake ya Kamba ya mazoezi (jump rope)baada ya kujiunga nasi kwenye safari ya matumaini mapya ya mazoezi ya viungo kupitia simu janja yake
Nitumie nafasi hii kuwaasa wananchi tuondoe visngizio Kwa kukwepa kushiriki mazoezi ya viungo
Kumbuka fanya mazoezi K**a unapata dawa vinginevyo utakula dawa K**a unavyokula chakula Kwa maelezo zaidi 0622500900
12/11/2024
Mteja wetu mpya akipokea zawadi yake ya Kamba ya kuruka( jump rope)baada ya kujiunga nasi kwenye hatua mpya yenye matumaini ya mazoezi ya viungo kupitia simu janja yake
Tunakutumia mazoezi utakayoweza kufanya Kwa dk 30 TU Tena mazoezi ya mwili mzima(full body workout pia tunakupa na zawadi ya jump rope K**a unavyoona hapo juu pichani.tunapatikana dar es salaam kwa wale wa mikoani tunatuma Kwa uaminifu mkubwa.kumbuka fanya mazoezi K**a unapata dawa vinginevyo utakula dawa K**a unavyokula chakula Kwa maelezo Zaidi 0622500900
09/11/2024
Wakati mwingine mpira tufananishe na maisha yetu ya Kila siku kwani huwezi kua na afya mzuri siku zote Bila kua dhaifu Aidha Kwa maradhi au Kwa kuchoka TU huwezi ukawa mfanya biashara Bila kukutana na panda shuka za hapa na pale.huwezi kua mkulima Bila kukutana na changamoto nk.hivyo yanga ilipofikia binafsi naona walipata mafua kidogo TU bado wako pazuri yanga ni miongoni mwa timu kubwa na itaendea kua hivyo.bila kusahau kuwakumbushajamii kushiriki mazoezi Mara Kwa mara kwa huduma ya personal trainer nicheki 0612500900
13/10/2024
Mimi nimejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura je wewe unasubiri nini?
Usisahau kushiriki mazoezi Mara Kwa Mara
Kwani fanya mazoezi K**a unapata dawa vinginevyo utakula dawa K**a unavyokula chakula
Personal trainer tupigie 0622500900
Au what's up fitness videos Kwa gharama ya sh 5,000 TU Kwa mwezi mzima na unapata ofa ya kupewa Kamba ya mazoezi ya kuruka(jump rope) Bure
17/07/2024
Uongozi wa wa Saka afya fitness club inaungana na wadau wa michezo walioguswa na kuthamini jitihada za Azam Media katika kutuheshimisha wa Tanzania katika kwenda na wakati.mengi umefanya lakini hili la kuleta usaidizi wa mwamuzi hakika umetatua utata na malalamiko mengi tunajua yatapungua K**a sio kwisha.watendaji wachukue hatua hii Kwa sherehe ili kujiandaa vyema matumizi yake isije ikatokea ya South Africa mamelod dhidi ya yanga kwani tulishuhudia badala ya kutumika VAR badala yake ikatumika ARV hakika hatutowaelewa
Kwa maelezo zaidi kuhusu mazoezi piga 0622 500900
15/03/2024
CERAGEM no mashine ya mazoezi tiba ni kifaa kisaidizi hasa kwa watu walioguswa na tatizo la kiafya ambao wana maradhi nyemelezi K**a vile stroke,kuumwa na viungo,nk unaweza kupata huduma hii kwa kufuata kkoo au kukodi hii mashine ukawanayo nyumbani ukaondokana na adha na usumbufu au ukanuanua ukatumia nyumbani.sasa tutakua na huduma hii kituo chetu Cha mazoezi kilichopo mbezi msakuzi kwa lipelanya.au tupigie 0622500900
11/03/2024
SAKA AFYA FITNESS CLUB.tunawapongeza timu za Simba na yanga pamoja na wapenzi wao kwa jumla kwa kufika robo fainali hakika mmeheshimisha taifa kutoa timu mbili kwa pamoja tuwatakie kheri wote kufanya vizuri kwa hatua zinazofuata .
Bila kusahau nitumie nafasi hii kuwakumbusha jamii kuhusu mazoezi
Fanya mazoezi K**a unapata dawa vinginevyo utakula dawa K**a unavyokula chakula kwa maelezo zaidi kuhusu mazoezi piga 0622500900 .bila kusahau kupata huduma ya personal trainer popote ulipo tunakuafuata