25/05/2024
Chagua kitu Moja unataka .
1️⃣PESA.
2️⃣Fees.
3️⃣Bills.
UpeweTsh .400000 PROMOTION kutoka UNICEF FOUNDATION AWARDS Message Unicef Foundation Promotion on WhatsApp. https://wa.me/254112734860
11/03/2024
Ramadhani Kareem to all Muslims ☪️
08/03/2024
Awa ndio Super Woman 👠👠👠 wa Kagera Sugar Fan Hood
Happy Women's Day.
Ijumaa Njema na Weekend Njema.
07/03/2024
Leo ilikuwa mwendo wa TBT uko kiukweli tume furahi.
05/03/2024
Kila Kheri
Pamoja na figisu tulizo fanyiwa.
LINEUP
05/03/2024
Nionavyo Azam wanatutafuta la rohoni kiukweli. Kwa nini leo hawaoneshi mechi ya Kagera Sugar dhidi ya Namungo? Vifurushi tunalipia vya kazi gani??? Sio haki kabisa.
02/03/2024
Weekend Njema
na
Usiku Mwema.
FULLTIME
01/03/2024
Pumzika kwa Amani Mzee Ruksa Pole sana kwa wote walio fikwa na msiba huu Mungu awapeni nguvu na Subra wakati huu sisi Mashabiki na wachezaji wa 12 wa Kagera Sugar Fc tuna wapa pole sana kwa msiba huu.