Bukoba jogging club

Bukoba jogging club

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bukoba jogging club, Sports, Bukoba.

Photos from Bukoba jogging club's post 30/05/2026

Mission done

Photos from Bukoba jogging club's post 17/05/2026

Familia ya bukoba jogging club kwenye majukumu yake ya kila jumamosi ya wiki

Photos from Bukoba jogging club's post 12/05/2026

Bukoba jogging club katika harakati zake za kuimalisha afya
Linapokuja swala la mazoezi basi hatuna utan na mtu

07/05/2026

*SOMA MPYA*

Bukoba jogging club katika kuhakikisha tunaifikia jamii yenye uhitaji.
Mwezi wa 7 mwaka huu tutakuwa na tukio maalumu la kuwapelekea chochote kitu watoto wetu,wadogo zetu,marafiki zetu,ndugu zetu....
Waliopo kwenye vituo vya kulea watoto yatima
Hivo basi wewe kaka,baba,mjombaa....
Unaombwa kuchangia chochote kitu ili tuweze kufikia lengo

NB
*ni heri zaidi kutoa kuliko kupokea*
Na Mungu akubariki

Kwa mwenye chochote tafadhali
Tuma kwa namba
0796778885 (*mpesa*)
Jina Victor Peter

*_Imetolewa na mwenyekiti wa bukoba jogging club Bi.Amina Mlacha._.*

02/05/2026

Familia inazidi kukua na kuongezeka
Watoto ni taifa la kesho

Photos from Bukoba jogging club's post 02/05/2026

2 may 2026
DONE✅️

02/05/2026

Jumamosi ya mwezi may tumeianza kwa kishindo kikubwaa
Chama kubwa
Chama la wana
Bukoba jogging club

26/04/2026

Happy Sunday!!
Greetings from bukoba jogging club

25/04/2026

Kazi na utu ,tunasonga mbele

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Bukoba?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Bukoba