Morice Abraham ataendelea kubaki ndani ya Klabu ya Simba SC licha ya kuhitajika na klabu ya Yanga SC kumbuka Morice alisaini mkataba wa miezi sita tu ila k**a hatopapata ulaya ataendelea kusalia Simba kwa miaka miwili.
Fadhili Mramba official midfielder
Sports analyst
20/09/2025
Kuanzia jana Simba walianza kutafuta kocha mpya wa kurithi mikoba ya Fadlu.
Ukweli ni kwamba Fadlu amegoma kubadilisha msimamo wake,kuna uwezekano mkubwa Baada ya mechi ya leo ikatoka taarifa kwa umma.
Usiku wa kuamkia Leo Raja Casablanca wametimua kocha waoโฆ.huku Fadlu akitarajiwa kuchukua mikoba yake.
Simba Tayari wameanza kujiandaa na maisha mapya bila Fadlu
19/09/2025
Kiungo wa Simba SC Yusuph Kagoma atakosekana katika mchezo wa kesho wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United akitumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyoipata kwenye mchezo wa fainali ya Shirikisho dhidi ya RS Berkane
Fadlu aanze na nani pale kati?
05/09/2025
Kocha Mikel Arteta amemtaja kinda wa Arsenal Max Dowman kwenye kikosi cha Wanabunduki cha Champions League,
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 15 anaonekana tayari kucheza soka ya Ligi ya Mabingwa msimu huu.
Hata hivyo, mshambuliaji aliye na jeraha Gabriel Jesus ambaye alifanyiwa upasuaji wa goti hatacheza.
๐Mathys Tel wa Tottenham na Federico Chiesa wa Liverpool ni miongoni mwa watu mashuhuri waliokosekana kwenye vikosi vya wachezaji 25 vya vilabu vyao.
๐Manchester City imejumuisha makipa wanne akiwemo James Trafford na Gianluigi Donnarumma.
๐Chelsea wamemuacha Raheem Sterling nje ya kikosi chao
29/07/2025
Chumsa cha kwanza cha Mnyama hiki hapa๐ค๐ฅ
27/07/2025
๐ด UKWELI WOTE KUHUSU SAKATA LA ELIII MPANZU ๐งจ
Volkano amerudi BONGO ๐น๐ฟ kwa maandalizi ya msimu mpya!
โ๏ธ Mpanzu alisaini mkataba wa miaka miwili na Simba SC na tayari ameitumikia klabu kwa miezi sita, akibakisha mwaka mmoja na nusu.
๐ซ Hakuna kuondoka!
๐ฅ Volcano YUPO SANA!
๐Mpanzu is here to STAY!!
25/07/2025
๐๐๐๐ ๐๐๐๐: Vigogo wa Tanzania Simba SC wamekamilisha usajili wa Rushine De Reuck (29) kutoka Mamelodi Sundowns, wanaweza kuthibitisha. โ
Alitia saini mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la kuongeza mwaka wa ziada.
โ๏ธ Mchezaji anayefahamika sana kwa kocha mkuu Fadlu Davids, baada ya kufanya kazi pamoja Maritzburg United. Rushine huleta uzoefu, ukomavu, na matumizi mengi kwenye mstari wa nyuma.
๐ก๏ธ Akiwa Sundowns, alishinda mataji 8 - ikiwa ni pamoja na mataji 5 ya ligi.
๐ Mashabiki wa Simba mnachukuliaje usajili huu hii?
20/07/2025
KLABU ya MC Alger imewasilisha ombi rasmi la kutaka kumsajili Kibu Denis kutoka Simba SC.
Miamba hao wa Tanzania wanatarajiwa kuchukua muda wao kutathmini ofa hiyo kabla ya kufanya uamuzi.
19/07/2025
Simba SC wamepiga hatua haraka kutafuta mbadala wa Che Malone, dili lililokamilika mapema jana.
Beki anayekuja ana kiwango cha juu na anatarajiwa kuchukua jukumu la beki wa kati msimu ujao.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Posta Road
Bunda
MARA