twendebutiama

twendebutiama

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from twendebutiama, Sports, Butiama.

17/04/2026

๐Ÿ—“: 13 Aprili, 1922 Alizaliwa siku ya Mvua Kubwa, hivyo kupewa jina KAMBARAGE lenye maana MZIMU UNAOISHI KWENYE MVUA. Heri ya Kumbukizi ya Miaka 104 kwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1961 - 1985), Hayati Julius Kambarage Nyerere.


20/03/2026

Ujumuishaji wa makusudi unamaanisha kubuni kwa heshima na utu tangu hatua ya mwanzo. Katika Shule ya Msingi Sima A, Bariadi, maboresho ya miundombinu ya usafi yamebuniwa kwa kuzingatia mahitaji ya kila mwanafunzi, hususan wanafunzi wenye mahitaji maalum.

Vyoo hivi vya shimo havikujengwa k**a nyongeza ya baadaye, bali vimeundwa mahsusi kuhakikisha kuwa upatikanaji, usalama na utu vinakuwa viwango vya kawaida, si huduma za ziada. Ujumuishaji unahusu kuondoa vikwazo ili kila mtoto aweze kusonga, kujifunza na kukua kwa kujiamini.

Tunapobuni kwa makusudi, tunatambua kuwa mahitaji ya msingi k**a vile usafi salama na unaofikika ni nguzo muhimu ya mchakato wa ujifunzaji. Mpango huu, uliotekelezwa kwa ushirikiano wa Vodacom, TwendeButiama na Stanbic Bank, unaonesha matokeo chanya pale taasisi zinapojumuisha misingi ya ujumuishaji katika kila uamuziโ€”kuanzia hatua ya awali kabisa.





18/03/2026

Zamani tulikuwa tunapitia changamotoโ€ฆโ€ Ni maneno ya mwanafunzi wa Shule ya Msingi Madaraka, Butiama, akisimulia hali waliokuwa wakikabiliana nayo kila siku shuleni. Leo, simulizi hii inaanza kubadilika. Kupitia ujenzi wa matundu ya vyoo vya kisasa wanafunzi sasa wana nafasi ya kujifunza katika mazingira salama, na safi. Mazingira yanayochangia si tu afya zao, bali pia kujiamini na uwezo wao wa kuzingatia masomo. Mradi huu, uliotekelezwa kwa ushirikiano wa Twende Butiama na Stanbic Bank, unaonyesha umuhimu wa kusikiliza mahitaji ya jamii na kutoa suluhisho zinazogusa maisha halisi.

25/12/2025

What a joy it is to rideโ€ฆ.. together. Merry Christmas and Happy Holidays to our cycling family. Thank you for every mile, every smile, every moment. ๐ŸŽ‰๐ŸŽ„๐Ÿšด๐Ÿพ๐Ÿšด๐Ÿพโ€โ™€๏ธ

21/12/2025

One road ๐Ÿ›ฃ๏ธ |One purpose

At TwendeButiama we ride for peace, love and unity proving that Africa is stronger when we move forward together. ๐Ÿšด๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐ŸŒ๐Ÿค

19/12/2025

TwendeButiama:
Cycling for Education, Riding for the Future ๐Ÿšด๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ“š

Every pedal stroke carries a message of discipline, resilience, and commitment to learning.
By bringing cyclists closer to schools and communities, TwendeButiama shows children that education is a journey worth the effort, just like every pedal stroke at a time.

When we cycle with purpose, we motivate young minds to stay in school, dream bigger, and build a stronger future.






ABC Bicycle Company Limited
juliuskambaragenyerere
madarakanyerere
godfreymadaraka

Photos from twendebutiama's post 07/12/2025

Cycling Lovers, among our TwendeButiama partners are on their mission to climb Mount Kilimanjaro.
May the Almighty guide you to fulfill your Purpose.



16/11/2025

TwendeButiama ni Msafara wa Baiskeli wenye lengo la kumuenzi Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere.
Kila mwaka Oktoba 14, TwendeButiama huungana na watanzania na dunia kwa ujumla kwenye kumbukizi ya kifo chake kilichotokea Oktoba 14, 1999.

Ikiwa ni miaka 26 tangu kifo chake, TwendeButiama itaendelea kuhamasisha katika kuziishi falsafa zake kupitia elimu, afya na mazingira k**a moja ya falsafa zake za kupambana na maadui watatu wa maendeleo (Ujinga , Umasikini na Maradhi).

Nia yetu k**a TwendeButiama ni kuendelea kuibua hisia za watanzania na dunia kwa ujumla juu ya mchango wa Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere katika kudumisha amani, umoja, upendo, mshik**ano, uzalendo.

23/10/2025

Tunamuenzi Baba wa Taifa, kwa vitendo. akizungumzia juu ya msafara wa Twende Butiama kushirikisha vijana, na jinsi msafara huu ni darasa la historia hai.

โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”

Honoring the Father of the Nation is at the heart of the Tour. Here, talks about the Twende Butiama expedition engaging youth, and how this expedition is a living history classroom.

14/10/2025

On this Nyerere Day, we celebrate and honor Mwalimuโ€™s timeless call: to serve, to uplift, to unite. Through Twende Butiama, Vodacom Tanzania and partners bring that vision to life. Bridging health, education, and inclusion across Tanzania.

13/10/2025

Wiki hii, tunapoenda kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, tunarejea hadithi za ujasiri kwenye msafara wetu wa mwaka huu, k**a zile za wanawake *(wawili)* walioendesha baiskeli na kuvuka mikoa 11 ya Tanzania, wakithibitisha kuwa ujumuisho si tu upatikanaji, bali ni ushiriki.

Kutoka Dar es Salaam hadi Butiama, safari yao ni kielelezo cha umoja na nia njema vinavyoendesha Twende Butiama. Pamoja tunapanda, kwa afya, kwa elimu, na kwa mustakabali endelevu wa Tanzania.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Butiama?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Butiama