Fmandinga2020
Karibuni sana tukuhudumie! Hapa utaweza kupata kuku kienyeji ,kuku kroiler ,Bata na Nguruwe nyama"pork",tunapatikana Chalinze,Pwani.
05/02/2026
30/01/2026
"Kabla ya yote tulipopangwa kwenye kundi hili kila timu ilifahamu ipo kwenye kundi gumu, sisi k**a Young Africans kazi yetu ni kupambana na kila timu ili kujiweka kwenye sehemu nzuri tunapaswa kuwa bora, makini na tayari kucheza mpira mzuri ili kuwa sehemu nzuri, kuhusu mechi ya kwanza ni kweli tulicheza vizuri lakini tulifanya makosa machache ambayo kwa ubora wa wapinzani wetu walituadhibu. Hapo kesho tunapaswa kuonesha ukuaji na ubora wetu pia ili kushinda" Pedro Goncalves
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kudiembe
Chalinze
P.O.BOX57
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 17:00 |
| Tuesday | 07:00 - 17:00 |
| Wednesday | 07:00 - 17:00 |
| Thursday | 07:00 - 17:00 |
| Friday | 07:00 - 17:00 |
| Saturday | 07:00 - 12:00 |