Tiba asili Ina nafasi katika michezo. Sikiliza hii
Albinism Awareness Marathon
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Albinism Awareness Marathon, Sports Event, Dar es Salaam.
Watu wenye Ualbino Wana uwezo zaidi wa kufanya makubwa hata zaidi ya wasio kuwa na Ualbino.
Yote yanawezekana kwa uwezo wa Mwenyezi MUNGU.
Ungana nao kwa kukimbia nao kuonyesha upendo kwao.
Kutoka maktaba hiyo
Katika kuhakikisha malengo ya Klabu yanatimia Albinism Sports Club ina itafanya ziara ya michezo ya Watu wenye Ualbino yenye lengo la kuibua,kukuza na kuendeleza Michezo na vipaji vya Watu wenye Ualbino ili kuandaa mchakato wa uanzishwaji wa mashindano mbalimbali ya kitaifa na Kimataifa ya Watu wenye Ualbino k**a yalivyo mashindano ya Paralympic, Special Olympic na Deaflympic ili yawape fursa mbalimbali walengwa kushiriki.
WITO KWA SERIKALI NA WADAU WA MAENDELEO YA MICHEZO KUUNGA MKONO KWA KUWEZESHA ZIARA HIYO.
WEZESHA ZIARA KUPITIA LIPA NAMBA M-PESA 5820773
JINA ALBINISM SPORTS CLUB
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam