SokaLetu Tz

SokaLetu Tz

Share

Soka

16/11/2021

Kamata Ratiba Ya Soka Leo

AFRICA: World Cup - Qualificatio
16:00 Egypt - Gabon
16:00 Libya - Angola
16:00 Mozambique - Malawi
19:00 Algeria - Burkina Faso
19:00 Liberia - Central Africa
19:00 Nigeria - Cape Verde
22:00 Tunisia - Zambia
22:00 Camerooni - Ivory Coast
22:00 Mauritania - Equatorial Guinea
22:00 Morocco - Guinea

EUROPE: World Cup - Qualification

22:45 Bosnia & Herzegovina - Ukraine
22:45 Montenegro - Turkey
22:45 Czech Republic - Estonia
22:45 Gibraltar - Latvia
22:45 Finland - France
22:45 Netherlandas - Norway
22:45 Wales - Belgium

NORTH & CENTRAL AMERICA: World Cup - Qualification

01:00 Jamaica : USA

ASIA: World Cup - Qualification

15:00 Lebanon - United Arab Emirates
15:00 Vietnam - Saudi Arabia
18:00 China - Australia
18:00 Iraq - South Korea
18:00 Oman - Japan
19:00 Syria - Iran

SOUTH AMERICA: World Cup - Qualification

23:00 Bolivia - Uruguay
00:00 Venezuela - Peru
02:00 Colombia - Paraguay
02:30 Argentina - Brazil

16/11/2021

MFAHAMU KWA KIFUPI KOCHA WA VIUNGO WA

Inaonekana sio mtu wa mitandaoni sana huyu mwamba maana kumtafuta ni kazi sana ila nimepata machache juu yake Cv yake kocha mpya wa viungo wa Simba SC Tanzania

Daniel ni mhispania na ana elimu ya shahada ya utimamu wa mwili katika soka ambayo aliipata mwaka 2018 katika chuo kikuu cha Madridi

Lakini pia elimu ya uchambuzi juu ya viwango vya soka katika chuo kikuu cha polytechnic kilichopo Madridi na ana elimu ya utalaamu wa utimamu mwili ( UEFA Class A ) aliyoipata mwaka 2010 katika chuo kikuu cha Laguna kilichopo nchini Hispania.

Uzoefu katika soka: Mwahispania hiyo mwaka 2018-2019 alikuwa kocha msaidizi wa Real Madrdi Under 18 ambayo mwaka too timo hiyo ilikuwa mabingwa wa hispania.

Mwaka 2019-2020 alikuwa msaidizi wa viungo wa timu ya Rapid Bucharest ya Romania

Mwaka 2020-2021 alikuwa kocha msaidizi as viungo as timu is Politehical ya Romania pia na leo hii Daniel Castro ni mwanamsimbazi lakini ujio wa kocha huyo ni pendekezo la kocha mkuu wa klabu ya Simba Franco Martin Pablo.

16/11/2021

NAKUMBALI SANA MSUVA

" Namkubali sana Namkubali tangu akiwa Yanga. "MACHA" anasema siku amesajiliwa na Difaa El Jadida ya nchin Morocco alimpigia simu kumtakia kheri

Na kweli amesajiliwa sasa yupo Wydad ,Macha anasema Msuva Ana nidhamu na anajitambua sana ni mpambanaji pia.

Mwisho Gift Macha namalizia kwa kusema Nchi yetu ili ipige hatua inahitaji wachezaji wengi zaidi aina ya

18/04/2021

ADAM ADAM ASHINDWA MAJARIBIO LIBYA

-Kwa mujibu wa mtandao wa LibyanFootball Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea JKT Tanzania Adam Omar Adam (23) ameshindwa kupata nafasi ya kusajiliwa katika klabu ya ligi kuu ya Libya Al-Ittihad, baada ya kufanyiwa majaribio wiki kadhaa zilizopita.

Timu hiyo imeamua kumsajili mshambuliaji kutoka Tunisia Ali Alamri ambaye nae alifanyiwa majaribio.

08/04/2021

Kylian Mbappé amehusika katika mabao 42 katika mechi 43 za Champions League. Magoli 27, 15 Assists na ana miaka 22 tu.

08/04/2021

Wachambuzi wa Efm radio wanasema kwamba TFF inawaogopa Yanga sc.

“Sio Mwakalebela pekee aliyestahili adhabu ya kufungiwa na TFF hata mwenyekiti Msolla alitakiwa afungiwe ili iwe fundisho kutoka na kuishutumu TFF kuwa inawapendelea Simba na kwamba kuna Match fixing."- Jemedari Said

“TFF inawaogopa Yanga ndio maana inashindwa kuwafungia.

“Sio mbaya kiongozi wa (TFF) kuwa na mapenzi na timu fulani. Amekiri kwamba viongozi wengi wa (TFF) wanavinasaba na klabu ya Simba.

“Oscar Oscar, Geof Leah pia wameungana na Jemedari kulaani malalamishi ya Yanga sc.

“Pia wamesema kikundi kinachoitwa Yanga Whatsapp Makao makuu japo hakijasajiliwa na Yanga sc lakini klabu ya Yanga ilitakiwa kikichukulia hatua kwa kuwa wamekuwa wakizua tahaluki kutokana na mambo wanayoandika.

“Wametolea mfano kuhusu mlinda mlango Metacha Mnata kuwa taarifa za kwamba kasajiliwa Simba zilianzia kwenye group hilo.. Pia maswala ya maandamano yameanzia kwao.

“Wamesema isijekuwa hilo group linatumiwa na viongozi wa Yanga sc kwa kuwa halijasajiliwa wanazua mambo kwa makusudi baadae uongozi unakuja kukanusha.

“Mwisho, wamesisitiza kuwa adhabu aliyopewa Mwakalebela ni adhabu stahiki na hajaonewa amestahili kutokana na mambo aliyoongea kwenye press.

08/04/2021

-Mshambuliaji wa Klabu ya Al Ahly SC Walter Bwalya huenda akaukosa mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika siku ya Ijumaa dhidi ya Simba SC kutokana na majeraha aliyoyapata hapo jana jumatano wakiwa mazoezini.

04/04/2021

Ratiba ya kombe la shirikisho Afrika

03/04/2021

Timu zilizofuzu robo fainali mpaka sasa CAF Champions League ni.

👉Simba SC -Tanzania 🇹🇿
👉Al Ahly - Misri 🇪🇬
👉Mamelodi - Afrika Kusin 🇿🇦
👉Wydad AC - Morocco 🇲🇦
👉ES Tunis - Tunisia 🇹🇳
👉MC Alger - Algeria 🇩🇿

-Bado Timu mbili kundi "B" na kundi "C" ili kukamilisha ratiba za timu 8 zilizofuzu robo fainali.

03/04/2021

KUTOKA KWA BM3

“Daima nitamshukuru huyu jamaa na kwa kunitambulisha kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu.
❤ 🙏

03/04/2021

MATOKEO: LIGI YA MABINGWA ARIKA

FT: 🇹🇿 Simba SC 4-1 AS Vita Club 🇨🇩
Ft: 🇸🇩 Al Merreikh 2-2 Al Ahly 🇪🇬
FT: 🇿🇦 Kaizer Chiefs 1-0 Wydad AC 🇲🇦
FT: 🇸🇳 Teungueth FC 2-1 ES Tunis 🇹🇳
FT: 🇦🇴 Atletico Petroleos 0-1 Horoya AC 🇬🇳
FT: 🇩🇿 MC Alger 0-2 Zamalek SC 🇪🇬

03/04/2021

Klabu ya Polisi Tanzania imewasimamisha wachezaji wake sita kwa makosa ya utovu wa nidhamu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Ubungo
Dar Es Salaam