OMARY ABDI

OMARY ABDI

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from OMARY ABDI, Stadium, arena & sports venue, Dar es Salaam.

06/05/2026

Tupate faida hapa

Photos from OMARY ABDI's post 10/04/2026

Tupate faida

12/03/2026

Katika mechi kati ya Cruzeiro na Atlético Mineiro, kulizuka ugomvi mkubwa uwanjani ulihusisha wachezaji pamoja na benchi la ufundi, hali iliyosababisha machafuko makubwa.

Kwa sababu ya vurugu hizo, waamuzi walitoa kadi nyekundu 23, idadi ambayo imeweka rekodi mpya katika historia ya mpira wa miguu ya Brazil.

Rekodi ya awali ilikuwa kadi 22, iliyowekwa mwaka 1954 katika mchezo wa Portuguesa dhidi ya Botafogo.

12/03/2026

John na Happiness walikuwa wapenzi wa dhati kijijini kwao baada ya wote wawili kufeli mtihani wa darasa la saba.

John alikuwa na ndoto za kawaida za kijijini; alipanga kulima mashamba, kuchoma mkaa, na kujenga nyumba ndogo ili waweze kuishi pamoja na kulea watoto wao.

Hata hivyo, Happiness alikuwa na ndoto tofauti kabisa, kwani moyo wake ulitamani maisha ya mjini na anasa zake. Fursa ilipojitokeza kwa Happiness kwenda Dar es Salaam kufanya kazi za ndani, John alipatwa na hofu kubwa ya kumpoteza mpenzi wake.

Katika hali ya kukata tamaa, alijaribu mbinu ya kutaka kumpa Happiness mimba kabla hajaondoka ili "amfunge" asisahau kwao, lakini Happiness alikuwa mwerevu na alikwepa mtego huo kwa kukataa kukutana naye usiku wa safari yake.

Baada ya Happiness kuondoka na kufika Dar es Salaam, John alijitahidi kwa kila hali kuendeleza mawasiliano yao ili kulinda penzi lake.

Changamoto ilikuwa simu ya John ambayo betri yake ilikuwa mbovu na haikai na chaji kabisa. Kwa sababu alitaka kuongea na Happiness kila wakati, John alifanya jambo lililowaacha watu wengi na mshangao: alianza kutembea na jenereta dogo begani na mkononi akiliwasha na kuchomeka chaja ya simu yake popote alipoenda. Alikuwa ananunua petroli kila siku ili tu asikose nafasi ya kuchati na mpenzi wake, akiamini kuwa juhudi hizo zitamfanya Happiness aone thamani ya upendo wake hata akiwa mbali.

Hata hivyo, Happiness alipoanza kuonja maisha ya jiji, mambo yalianza kubadilika. Alianza kupata vyakula vitamu k**a chipsi, kupelekwa matembezi ya beach, na kuona maisha mapya ambayo yalimfanya ayaone maisha ya kijijini na John k**a mzigo.

Ili kujiondoa kwenye usumbufu wa John, Happiness aliamua kubadilisha namba ya simu na kukata mawasiliano kabisa. Habari hiyo ilimvunja moyo John kiasi cha kumfanya achanganyikiwe na kujaribu kujinyonga nyuma ya nyumba yao.

Kwa bahati aliokolewa, lakini viongozi wa mtaa walimpa adhabu ya viboko kwa kitendo hicho, jambo lililomfanya aone aibu na kuamua naye kukimbilia Dar es Salaam.

Maisha ya John jijini Dar es Salaam hayakuwa na dira k**a alivyotarajia mwanzo. Badala ya kumtafuta Happiness au kuanza maisha ya maendeleo alimkosa kwani hakuwa na mawasiliano naye, John alianza kazi ya kuosha magari na kutumia mapato yake kwenye starehe za pabu.

Alianza kuwa mtu wa wanawake wanaojiuza buku tatu Kila siku alitenga bajeti ya elfu tatu hali hiyo ilifanya asahau kabisa ndoto zake za kilimo na familia.

Leo hii, John amemsahau kabisa Happiness, lakini amekuwa mtu wa ajabu aliyepoteza mwelekeo wa maisha.

Ni kipi unajifunza hapa?

11/03/2026

Seneta wa Marekani Lindsey Graham ameonesha kutoridhishwa kwake na msimamo wa Saudi Arabia kuhusu mvutano na Iran.

Katika ujumbe aliouandika kupitia mtandao wa X (Twitter), alisema👇

Ubalozi wa United States nchini Saudi Arabia umelazimika kufunga shughuli zake, huku baadhi ya maafisa wakiondoka kutokana na mashambulizi ya Iran.

Amesema kwa kadri anavyofahamu, Saudi Arabia haitaki kutumia jeshi lake kupambana na utawala wa Iran, licha ya madai kuwa Iran imewaua Wamarekani.

Amehoji kuwa👉 “Kuna haja gani kwa Marekani kuwa na mkataba wa usalama na nchi hiyo k**a haitaki kupigana vita pamoja nasi?”

Ameongeza kuwa Saudia wanatoa matamko pekee bila kuchukua hatua za vitendo.

K**a Nilivyo waeleza Waarabu kwa sasa wameamka wanacho Subiri tu vita Imalizike waanze mchakato wa Kuvunja Mikataba Yote walio ingia na wamarekani k**a Wagonjwa wa Akili.

23/02/2026

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, atoa kauli kali kuhusu Israel na Marekani

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ametoa kauli kali kuhusu nafasi ya Israel katika siasa za kimataifa, akieleza imani yake kwamba taifa hilo halijitegemei kikamilifu, bali linachukuliwa kuwa mradi wa kigaidi unaoungwa mkono na Marekani.

Akizungumza katika mjadala kuhusu migogoro ya kimataifa na usalama wa dunia, Kim Jong Un alisema kuwa Israel hutumika k**a chombo cha kisiasa na kijeshi cha Washington katika kulinda na kuendeleza maslahi ya Marekani ya kimkakati katika eneo la Mashariki ya Kati.

Kwa mtazamo wake, uhusiano wa Israel na Marekani umeifanya Israel kuwa mshirika wa karibu wa sera za kijeshi na kisiasa za Marekani, na hivyo kushiriki moja kwa moja katika sera za kigaidi na migogoro ya ukanda huo.

Kauli hizo zinakuja wakati uhasama wa kisiasa katika eneo la Mashariki ya Kati unaendelea kuwa moja ya changamoto kuu za usalama wa kimataifa, na kumekuwa na mijadala mikali juu ya nafasi ya mataifa makubwa katika kuunda sera za mikoa hiyo.











15/01/2026

Bi mpemba leo kaamua
Kumdhalilisha mumewe

15/01/2026

Jifunze Sheria japo kwa ufupi utanishukuru

15/01/2026

Mama wa kipemba akimuumbua
Mumewe je huu ni ustarabu

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dar Es Salaam